Mfumo wa Upasuaji wa LL-CO
Shinikizo ya chini ya silinda: badilisha silinda iliyo na shinikizoya chini ya 650 psi
(45.70 kg/cm
Silinda iliyo na shinikizo juu ya 800 psi (56.25 kg/cm
Vali ya WASHA/ZIMA (ON/OFF) imefunguka nusu: Fungua vali hadi mwisho
Ziba kwenye waya au kwenye neli ya kuwasilisha: Rudisha kwa Wallach Surgical ili
warekebishe
Uchafu kwenye silinda ya ugavi: safisha waya na ubadilishe silinda ya ugavi
Uvujaji wa zana: kaza zana zote.
FAHAMU: Kwa habari kamili juu ya utunzaji wa silinda ya gesi iliyoshinikizwa, rejea kwa Chama cha
Gesi Iliyoshinikizwa, www.cganet.com, Imeli: cga@cganet.com
JINSI YA KUHIFADHI LL-CO
Sio lazima kutenganisha nira ya kuunganisha silinda kutoka kwa silinda kati ya taratibu.
1. Funga vali kuu ya silinda kabisa .
2. Toa shinikizo kwenye chombo kwa "KUZIMA" vali ya WASHA/ZIMA (ON/OFF) mpaka geji ya
shinikizo iteremke hadi "O"
3. Baada ya kuondoa ncha, funika neli ya ncha kwa vazi la kinga.
TAHADHARI: VIFAA VYA WALLACH VINAVYOTUMIKA TENA, NA NCHA ZA
VYOMBO VYA UPASUAJI ZINAZOWEZA KUONDOLEWA BAKTERIA ILI KUTUMIWA
TENA ZISITUMIWE BILA NGAO ZA NCHA ZA UPASUAJI AMBAZO HUTUPWA BAADA
YA MATUMIZI ILI KUZUIA MADHARA YAFUATAYO!
Ngao hutumika kama kinga ya kuzuia ncha ili isishikamane na tishu katika maeneo yasiokusudiwa.
Ncha hiyo inaweza kuvunja au kuachana ikiwa haijashikiliwa vizuri kwenye neli ya kinga; ngao
itahakikisha kuwa imeshikiliwa vyema.
Ncha haitaganda vizuri ikiwa imeunganishwa kwa ndani sana. Ngao inazuia jambo hili kutokea,
ikiwa kitanzi kwa ngao kimewekwa kwa usahihi ndani ya mifuo iliokaa juu ya ncha ya metali.
JINSI YA KUSAFISHA MFUMO WA LL-CO
Mfumo wa Wallach wa LL-CO
kuzuia au kuua viini vya maradhi. Vyombo ambavyo vyaweza kupanguzwa kwa kutumia utaratibu huu
ni mkono wa plastiki, mfereji mweupe wa gesi ya siliconi, kizuizi cha gesi na kiunganishi cha silinda
ya gesi. Mbinu zingine zinazo shirikisha joto, maji (kulowa kwa baridi) au mvuke
hazipendekezwi.
MAAGIZO YA KUSAFISHA KIHAMI CHA KIPIMA KIDONDA KWA KUTUMIA KEMIKALI KALI
Kihami cheupe cha kipima kidonda ambacho hupokea ncha za upasuaji kinaweza kuwa kimegusana na
utando telezi na ni lazima, kwa hivyo, kinalazimika kusafishwa, "kwa kufungwa kwa kitambaa na
kulowesha ndani ya kemikali kali ya kuzuia na kuua viini vya maradhi ili kusafishwa kwa muda
unaopendekezwa. Baada ya kusafishwa, kipima kidonda kioshwe na maji ya bomba na kukaushwa
kabla ya kutumika. Kama ilivyo katika taratibu zingine zote za usafishaji kwa kemikali kali, usafishaji
sahihi wa kipima kidonda ni muhimu ili kuhakikisha mafanikio ya baadaye ya kuzuia na kuua viini vya
1
maradhi."
1
Rutala, William A., Ph.D., M.P.H., David J. Weber, M.D., M.P.H., and the Healthcare Infection Control Practices
Advisory Committee (HICPAC), CDC Guideline for Disinfection and Sterilization in Healthcare Facilities, pg. 19, 2008.
37295 • Rev. B • 2/12
™ • Jinsi ya Kutumia Kifaa (Kiswahili / Swahili)
2
2
)
™
KATI YA TARATIBU
2
2
wa cryosurgical unaweza kupanguzwa kwa kutumia kemikali kali ya
2
50
2
): achilia gesi kutoka kwa silinda
Wallach Surgical Devices