Ishara za Kudhibiti Injini na Maana
Kasi ya injini - HARAKA
Kasi ya injini - SIMAMA
Kuwasha injini - Choki
IMEFUNGWA
Kifuniko cha Mafuta
Kizima fueli -
KILICHOFUNGULIWA
Kiwango cha mafuta -
Upeo
Usijaze kupita kiasi
Oparesheni
Mapendekezo ya Oili
Kiwango cha Oili: Tazama sehenmu ya Vipimo.
Notisi
Injini hii ililetwa kutoka Briggs & Stratton bila oili. Watengenezaji au wauzaji vifaa
huenda waliongeza mafuta kwenyeinjini. Kabla ya kuwasha injini kwa mara ya
kwanza, hakikisha umekagua kiwango cha oili na uongeze oili kulingana na maagizo
kwenye mwongozo huu. Iwapo utawasha injini bila mafuta, itaharibika hadi kushindwa
kukarabatiwa na hutafidiwa chini ya udhamini huu.
Tunapendekeza matumizi ya oili Zilizoidhinishwa na Hakikisho la Briggs & Stratton
kupata utendakazi bora. Oili nyingine za usafishaji zinakubalika ikiwa zimebainishwa
kwa huduma ya SF, SG, SH, SJ au ya juu zaidi. Usitumie vitegemezi maalum.
Hali joto ya nje inabainisha mnato sahihi wa oili kwa injini. Tumia chati kuchagua mnato
bora zaidi kwa hali joto ya nje inayotarajiwa. Injini katika vifaa vingi vya nje zinafanya
kazi vyema zikitumia oili ya 5W-30 Synthetic. Kwa vifaa vinavyoendeshwa katika joto la
®
juu, oili ya Vanguard
15W-50 Synthetic inatoa ulindaji bora.
A
SAE 30 - Chini ya 40 °F (4 °C) matumizi ya SAE 30 yatasababisha ugumu wa
kuwasha.
B
10W-30 - Juu ya 80 °F (27 °C) matumizi ya 10W-30 yanaweza kusababisha
ongezeko la matumizi ya oili. Kagua kiwango cha oili mara nyingi zaidi.
C
5W-30
D
Sinthetiki 5W-30
E
®
Vanguard
Synthetic 15W-50
Angalia Kiwango cha Mafuta
Tazama Kielelezo: 3
Kasi ya injini - POLEPOLE
Kabla kuongeza au kuangalia mafuta
WASHA - ZIMA
1.
2.
3.
Kuwasha injini - Choki
4.
IMEFUNGULIWA
5.
Mfumo wa Ulinzi wa Chini wa Mafuta
Kizima fueli -
KILICHOFUNGW
(iwapo upo)
Baadhi ya modeli zina kihisio cha mafuta ya chini. Iwapo mafuta yako chini, kihisio aidha
kitaamilisha mwangaza wa tahadhari au kusimamisha injini. Simamisha injini na ufuate
hatua hizi kabla ya kuwasha tena injini.
Mapendekezo ya Fueli
Lazima fueli ikithi mahitaji haya:
Notisi
mafuta kwenye petroli au kurekebisha injini ili kuendesha fueli mbadala. Usitumie fueli
isiyoidhinishwa itaharibu vipengele vya injini, ambavyo havitashughulikiwa chini ya
®
udhamini.
ili
Ili kulinda mfumo wa fueli kutokana na utengenezaji wa gundi, changanya kiimarishaji
cha fueli kwenye fueli. Tazama Hifadhi . Fueli zote sio sawa. Iwapo matatizo ya
kuanza au utendakazi yatatokea, badilisha mtoaji fueli au badilisha chapa. Injini hii
imeidhinishwa kuendesha kutumia petroli. Mfumo wa kudhibiti uchafuzi wa injini hii ni
EM (Marekebisho ya Injini).
Mwinuko wa Juu
Katika mwinuko wa zaidi ya futi 5,000 (mita1524), kiwango cha chini cha okteni 85 /85
AKI (89 RON) petroli inakubaliwa.
Kwa injini iliyo na kabureta, marekebisho ya mwinuko wa juu yanahitajika ili kudumisha
utendakazi. Oparesheni bila marekebisho unaweza kusababisha kupunguka kwa
utendakazi, matumizi ya fueli yalioongezeka, na uchafuzi ulioongezeka. Wasiliana na
Mtoa Huduma wa Briggs & Stratton Aliyeidhibishwa kwa maelezo ya marekebisho ya
mwinuko wa juu. Oparesheni wa injini katika mwinuko wa chini ya futi 2,500 (mita 762)
na marekebisho ya mwinuko wa juu hayapendekezwi.
Kwa injini za Uinjizaji wa Fueli wa Kielektriki (EFI), hakuna marekebisho ya mwinuko wa
juu yanahitajika.
Ongeza Mafuta
Tazama Kelelezo: 4
Fueli na mvuke wako unawaka na kulipuka haraka sana.
Moto au mlipuko unaweza kusababisha kuchomeka vikali au kifo.
Wakati wa kuongeza fueli
• Hakikisha injini iko kwenye kiwango.
• Safisha eneo la kujaza mafuta kutoka na uchafu wowote.
Ondoa kifaa cha kuanga mafuta (A, Kielelezo 3) na ukipanguse kwa kitambaa safi.
Sakinisha kifaa cha kuangalia mafuta (A, Kielelezo 3). Usigeuze au kukaza.
Ondoa kifaa cha kupima mafuta na ukague kiwango cha mafuta. Kiwango sahihi
cha mafuta kiko juu ya kiashiria (B, Kielelezo 3) kwenye kifaa cha kupima mafuta.
Iwapo kiwango cha mafuta kiko chini, kwa utaratibu ongeza mafuta kwenye eneo
la mfuta (C, Kielelezo 3). Jaza hadi sehemu ya kufurika.
Sakinisha upya na ukaze kifaa cha kupima mafuta (A, Kielelezo 3).
• Hakikisha injini iko katika sehemu laini.
• Angalia kiwango cha mafuta. Tazama sehemu Kuangalia Kiwango cha Mafuta.
• Iwapo kiwango cha mafuta kiko chini, ongeza kiwango sahihi cha mafuta. Washa
injini na uhakikishe mwangaza wa tahadhari (iwapo upo) haujaamilishwa.
• Iwapo kiwango cha mafuta hakiko chini, usiwashe injini. Wasiliana na Mtoa
Huduma wa Briggs & Stratton Aliyeidhinishwa ili kurekebisha matatizo ya mafuta.
• Petroli safi, freshi, yasiyo na isiyo na lead.
• Kiwango cha chini cha 87 okteni/87 AKI (91 RON). Matumizi ya mwinuko wa juu,
tazama hapa chini.
• Petroli iliyo na hadi ethanoli 10% (gasohol) inakubalika.
Usitumie petroli isiyoidhinishwa, kama vile E15 na E85. Usichanaganye
Onyo
• Zima injini na uruhusu injini kupoa angalau dakika 2 kabla ya kuondoa kifuniko cha
fueli.
• Jaza tangi la fueli nje au katika eneo linaruhusu hewa kuingia vizuri.
• Usijaze tangi la fueli kupita kiasi. Ili kuruhusu upanukaji wa fueli, usijaze kupita
chini ya shingo la tangi la fueli.
• Hifadhi fueli mbali na cheche, miale iliyo wazi, taa za mwongozo, joto na vyanzo
vingine vya uwakaji.
39