Briggs & Stratton 030722-00 Manual Del Usuario página 51

Tabla de contenido

Publicidad

Idiomas disponibles
  • ES

Idiomas disponibles

  • ESPAÑOL, página 18
Kutatua Matatizo
Tatizo
Injini inanguruma, lakini
hakuna umeme wa AC
unatolewa.
Injini inafanya kazi vizuri
ikiwa bila kazi lakini
"inalemaa" vitumizi
vinapounganishwa.
Injini haiwaki, inawaka
na kunguruma vibaya na
kuzima inaponguruma.
Kwa masuala mengine yote, mwone muuzaji wa Briggs & Stratton Aliyeidhinishwa.
Maelezo
Wati* . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . Wati 6,900
Wati za Kuanzisha** . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . Wati 8,500
Volti za AC zikiwa Volti 230. . . . . . . . . . . . . . . . . 30 Amps
Mizunguko . . . . . . . . . . . . . . . . . .
Awamu . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . Awamu ya Kwanza
Unyonyaji mafuta . . . . . . . . . . . . . . . 25.63 cu. in.(420 cc)
Pengo la Plagi ya Spaki . . . . . . . . . . 0.030 in. (0.76 mm)
Kiwango cha Mafuta . . . Galoni 7.5 U.S. Gallons (Lita 28.4)
Kiwango cha Oili . . . . . . . . . . . . Aunzi 36 (Lita 1.0 Liters)
Sehemu za Udumishaji za Kawaida
Chupa ya Oili ya Injini . . . . . . . . . . 100005E au 100007E
Chupa ya Oili ya Synthetic . . . . . . . . . . . . . . . . 100007W
Kiimarishaji Mafuta . . . . . . . . . . . . . . .992380 au 992381
Kwa orodha kamili ya sehemu na michoro, tafadhali tembelea BRIGGSandSTRATTON.COM.
Vipimo vya Umeme: Kipimo kamili cha umeme kwa miundo ya injini za petroli kimewekwa kulingana na SAE (Jamii ya
Wahandisi wa Magari) msimbo J1940 Utaratibu wa Kipimo cha Umeme & Mkufu wa Injini Ndogo na umepimwa kulingana
na SAEJ1995. Viwango vya mkufu vinafikia 2600 RPM kwa injini zenye "rpm" iliyowekwa kwenye lebo na 3060 RPM kwa injini
zingine zote; viwango vya nguvu ya injini vinafikia 3600 RPM. Vizingo vya umeme kamili vinaweza kutazamwa katika www.
BRIGGSandSTRATTON.COM. Viwango jumla vya umeme vinachukuliwa ekzosi na kisafishaji hewa zikiwa zimewekwa ilhali
viwango vya umeme jumla vinachukuliwa bila vipengee hivi kuwekwa. Nguvu kamili halisi ya injini itakuwa juu zaidi kuliko nishati ya
injini na yanaathiriwa na, miongoni mwa mambo mengine, hali iliyoko ya kuendesha na utofauti wa injini hadi nyingine. Kukiwa na
bidhaa nyingi ambazo zimewekwa injini, injini ya petroli huenda ikakosa kufikia kadirio la nguvu kamili inapotumiwa katika kifaa cha
umeme. Tofauti hii inatokana na vipengele mbalimbali zikijumuisha, lakini sio tu, vijenzi mbalimbali vya injini (kisafishajicha hewa,
ekzosi, kuchaji, upunguzaji halijoto, kabureta, pampu ya mafuta, n.k), vipimo vya matumizi, hali zilizoko za kuendesha (halijoto,
unyevunyevu, mwinuko),na utofauti kati ya injini moja hadi injini nyingine. Kutokana na vipimo vya utengenezaji nauwezo, Briggs &
Stratton wanaweza kuibadilisha injini hii kwa injini iliyo na nguvu nyingi zaidi.
* Jenereta ikilingana na ISO 8528-13:2016, injini inayoendeshwa kwa umeme wa AC --Sehemu 13: Usalama.
** Kulingana na Briggs & Stratton 628K, Wati za Kuanzisha zinawakilisha nguvu za kiumeme za saa hiyo hiyo ambazo jenereta
ile inaweza kutoa ili kuwasha mota za umeme. Wati za Kuanzisha haziwakilishi umeme unaohitajika kuendelea kuendesha vifaa
vya umeme vilivyounganishwa. Wati za Kuanzisha ndiyo umeme wa juu zaidi unaoweza kusambazwa saa hiyo hiyo unapowasha
injini, zikipigwa mara na volteji iliyopimwa ya jenereta.
Sababu
1. Swichi moja ya kukata umeme iko
wazi.
2. Kuna muunganisho mbaya au kuna
nyaya zenye kasoro.
3. Kifaa kilichounganishwa kina kasoro.
1. Jenereta imewekewa uzito kupita
kiasi.
1. Swichi ya kuwasha iko katika eneo
linaloonyesha ZIMA (OFF) (0).
2. Vali ya mafuta iko katika eneo
linaloonyesha ZIMA (OFF) (0).
3. Kiwango cha oili kiko chini.
4. Mafuta yameisha.
5. Waya ya plagi ya spaki
haijaunganishwa na plagi ya spaki.
6. Mafuta yamefurika.
7. Chaji ya betri iko chini.
50 Hz katika 3000 rpm
Suluhu
1. Anzisha upya swichi ya kukata
umeme.
2. Kagua na ukarabati
3. Unganisha kifaa kingine ambacho
hakina kasoro.
1. Ondoa vitumizi kutoka kwa
jenereta.
1.Zungusha swichi hadi eneo
linaloonyesha RUN (ENDESHA)(I).
2. Weka vali ya mafuta eneo
linaloonyesha WASHA (ON) (I).
3. Jaza kasha la shafti kwa kiwango
sahihi au uweke jenereta kwenye
eneo tambarare.
4. Jaza tangi la mafuta.
5. Unganisha waya na plagi ya spaki.
6. Subiri dakika 5 na ujaribu kuwasha
injini tena.
7. Chaji betri kwa saa 24.
9

Publicidad

Tabla de contenido
loading

Este manual también es adecuado para:

8500ea

Tabla de contenido