Operesheni
Hatua ya 1: Eneo Salama
Kabla ya kuwasha jenereta hii, kuna mambo mawili
muhimu ya usalama kuhusu sumu ya kaboni monoksidi
na moto ambayo sharti yashughulikiwe.
Eneo la Matumizi ya Jenereta Nyepesi ili
KUPUNGUZA HATARI YA SUMU YA KABONI
MONOKSIDI
ONYO! Eksozi ya injini ina kaboni monoksidi,
gesi ya sumu ambayo inaweza kukuua wewe
kwa dakika kadhaa. Huwezi kuinusa, kuiona,
ama kuionja. Hata kama huwezi kunusa mvuke wa
eksozi, unaweza bado kuwa katika hatari ya kuipumua
kaboni monoksidi.
• Tumia mtambo huu nje pekee mbali sana na
madirisha, milango na matundu ili kupunguza hatari
ya mvuke wa kaboni monoksidi kukusanyika na kuleta
uwezekano wa kusambazwa kwenye maeneo ya
makazi.
• Simika kamsa ya kaboni monoksidi inayotumia betri
au kamsa ya kaboni monoksidi ya plagi na betri ya
ziada kuambatana na maelekezo ya mtengenezaji.
Kamsa za moshi haziwezi kugundua gesi ya kaboni
monoksidi.
• Usitumie kifaa hiki ndani ya nyumba, gereji, vyumba
ya chini ya ardhi, ubati, vibanda, au majengo mengine
yaliyobanwa hata kama unatumia vipepeo ama
kufungua milango na madirisha kwa hewa. Kaboni
monoksidi inaweza kujaa haraka katika nafasi hizi na
inaweza tuwama kwa masaa, hata baada ya bidhaa hii
imezimika.
• Daima weka mtambo huu kuelekea upepo unakovuma
na kuelekeza eksozi mbali na makazi.
Ukianza kujihisi mgonjwa, mwenye kizunguzungu, au
mdhaifu unapotumia kifaa hiki, enda kwa hewa safi mara
moja. Mwone daktari. Unaweza kuwa na sumu ya kaboni
monoksidi.
TUMIA NJE - EPUKA SUMU YA KABONI MONOKSIDI
USE OUTDOORS - AVOID CARBON MONOXIDE POISONING
KITULIZO
MUFFLER
elekeza mbali
point away
na nyumba
from home
Eneo la Kuendeshea Jenereta Nyepesi ili
KUPUNGUZA HATARI YA MOTO
ONYO! Joto/gesi zinazotolewa zinaweza
kusababisha kuwashwa kwa moto, vibanda au
uharibifu wa tangi ya mafuta na hivyo basi
kusabaisha moto, na kuishia kuleta vifo au majeraha
mabaya.
• Jenereta nyepesi sharti iwe angalau mt. 1.5 (ft.5)
kutoka kwa jengo lolote, mining'inio, miti, madirisha,
milango, viingilio vya kuta, vichaka, ama mimea ya cm
30.5 (in.12 ) kwa urefu.
• Usiiweke jenereta inayobebeka chini ya staha au
aina nyingine ya muundo ambayo inaweza kuziba
mtiririko wa hewa. Kamsa ya moshi lazima iwekwa
na kudumishwa ndani ya nyumba kwa mujibu wa
maelekezo/mapendekezo ya mtengenezaji.
• Kamsa za moshi haziwezi kugundua gesi ya kaboni
monoksidi.
• Usiweke jenereta nyepesi kwa njia yoyote isipokuwa
ile iliyopendekezwa.
Mita 1.5 (futiv5 ) min.
KITULIZO
Mita 1.5
(futiv5 ) min.
KAMSA YA (ZA) KABONI
CARBON MONOXIDE ALARM(S)
MONOKSIDI
Install carbon monoxide alarms inside
Weka kamsa ya kaboni monoksidi ndani
your home. Without working carbon
ya nyumba yako. Bila ya kamsa ya ka-
monoxide alarms, you will not realize
boni monoksidi, hutagundua unakuwa
you are getting sick and dying from
mgonjwa na unaelekea kufa kwa sumu
carbon monoxide poisoning.
ya kaboni monoksidi.
5