Briggs & Stratton 110000 Manual Del Operador página 45

Ocultar thumbs Ver también para 110000:
Tabla de contenido

Publicidad

Idiomas disponibles
  • ES

Idiomas disponibles

  • ESPAÑOL, página 15
Hakimili ya © Briggs & Stratton Corporation, Milwaukee, WI, Marekani. Haki zote
zimehifadhi.
Mwongozo huu una maelezo ya usalama kukufahamisha juu ya madhara na hatari
zinazohusiana na injini na jinsi ya kuyazuia. Pia una maelekezo kwa matumizi bora na
utunzaji wa injini. Kwa sababu Shirika la Briggs & Stratton haijui hususan injini hii itaendesha
kifaa kipi, ni muhimu kuwa usome na uelewe maelekezo haya na mifano ya kifaa. Hifadhi
maelekezo haya asili kwa marejeleo ya siku zijazo.
Kumbuka: Vielelezo na mifano kwenye mwongozo huu vimetolewa kwa marejeleo tu na
vinaweza kutofautiana na modeli yako maalum. Wasiliana na mtoa huduma wako iwapo
una maswali.
Kwa ubadilishaji wa sehemu au usaidizi wa kiufundi, rekodi hapa chini modeli, aina, na
nambari za msimbo za injini pamoja na tarehe ya ununuzi. Nambari hizi zinapatikana
kwenye injini yako (tazama sehemu ya Vipengele na Udhibiti ).
Tarehe ya Ununuzi
Modeli ya Injini - Aina - Kupunguza
Nambari Tambulishi ya Injini
Tafuta mwambaa upau wa 2D ulio kwenye
baadhi ya injini. Inapotazamwa kwa kifaa
kinachowezesha 2d, msimbo ulileta wavuti
wetu ambapo unaweza kufikai maelezo ya
auni kwa bidhaa hizi. Viwango vya data
vinatekelezwa. Baadhi ya nchi huenda zisiwe
na maelezo ya auni ya mtandaoni.
Usalama wa Opareta
Ishara ya Tahadhari ya Usalama na
Maneno ya Ishara
Alama ya tahadhari ya usalama
zinazoweza kusababisha jeraha la kibinafsi. Neno la ishara (HATARI, ONYO au
TAHADHARI) linatumika pamoja na alama ya tahadhari ili kuonyesha uwezekano wa
jeraha kuwa kubwa. Mbali na hayo, alama ya hatari inaweza kutumika kuwakilisha aina
ya hatari.
HATARI inaonyesha hatari ambayo isipoepukwa, inaweza kusababisha kifo au
jeraha kubwa.
HATARI inaonyesha hatari ambayo isipoepukwa, inaweza kusababisha kifo au
jeraha baya.
HATARI inaonyesha hatari ambayo isipoepukwa, inaweza kusababisha kifo au
jeraha dogo au wastani.
ILANI inaonyesha hali ambayo inaweza kusababisha uharibifu wa bidhaa.
Ishara na Maana ya Madhara
Ishara
Maana
Maelezo ya usalama
kuhusu madhara ambayo
yanaweza kutokea katika
majeraha ya kibinafsi.
Madhara ya moto
Madhara ya mshtuko
inatumiwa kutambua taarifa salama kuhusu hatari
Ishara
Maana
Soma na uelewe Mwongozo wa
Operator's kabla ya kuendesha
na kushughulikia kitengo.
Madhara ya mlipuko
Madhara ya mafushi ya sumu
Ishara
Maana
Madhara ya maeneo moto
Madhara ya kifaa
kilichofutwa - Vaa vilinda
macho.
Madhara ya jamidi
Madhara ya ukataji wa
viungo - sehemu
zinazosonga
Madhara ya majimaji yaliyo
moto
Ujumbe wa Usalama
Onyo
Vijenzi maalum vya bidhaa hii na vifuasi vyake husika vina kemikali zinazoulikana na
Jimbo la California kusababisha kansa, kasoro za uzazi, au madhara mingine ya
uzalishaji. Nawa mikono baada ya kushughulikia betri.
Onyo
Ekzosi ya injini kutoka kwenye bidhaa hii ina kemikali zinazoulikana na Jimbo la
California kusababisha kansa, kasoro za uzazi, au madhara mingine ya uzalishaji.
Onyo
Injini za Briggs & Stratton hazijabuniwa kwa na hazifai kutumiwa kuendesha: magari
madogo ya kujiburudisha; magari madogo ya mashindano, burudani, au magari ya
michezo ya ardhi ya maeneo yote (ATVs); pikipiki, magari yanayotembelea majini au
kwenye ardhi, bidhaa za ndege; au magari yanayotumiwa katika matukio ya mashindano
yasiyoidhinishwa na Briggs & Stratton. Kwa maelezo kuhusu bidhaa za mashindano
ya uendeshaji magari, tazama www.briggsracing.com. Kwa matumizi kwa mashirika
na ATV za upande kwa upande, tafadhali wasiliana na Kituo cha Utekelezaji Injini cha
Briggs & Stratton, 1-866-927-3349. Utekelezaji mbaya wa injini unaweza kusababaisha
majeraha mabaya au kifo.
Notisi
Injini hii ililetwa kutoka Briggs & Stratton bila mafuta. Kabla uweze kuwasha injini,
hakikisha umeongeza mafuta kulingana na maelekezo kwenye mwongozo huu. Iwapo
utawasha injini bila mafuta, itaharibika hadi kushindwa kukarabatiwa na hutafidiwa
chini ya udhamini huu.
Onyo
Fueli na mvuke wake unawaka na kulipuka hara sana.
Moto au mlipuko unaweza kusababisha kuchomeka vikali au kifo.
Wakati wa Kuongeza Mafuta
Zima injini na uruhusu injini kupoa angalau dakika 2 kabla ya kuondoa kifuniko cha
fueli.
Jaza tangi la fueli nje au katika eneo linaruhusu hewa kuingia vizuri.
Usijaze tangi la fueli kupita kiasi. Ili kuruhusu uvukizi wa mafuta, usijaze zaidi ya
chini mwa shingo ya tangi la mafuta.
Hakikisha kwamba mafuta yako mbali na cheche za moto, miali ya moto, taa zilizo
mbele ya mashine, joto, na vianzio vingine vya kuwasha.
Ishara
Maana
Madhara ya kelele - Ulinzi wa
masikio unapendekezwa kwa
matumizi ya muda mrefu.
Madhara ya mlipuko
Madhara kurudi nyuma kwa
haraka
Madhara ya Kemikali
Kupiga kutu
45

Publicidad

Tabla de contenido
loading

Este manual también es adecuado para:

120000140000

Tabla de contenido