SIOUX P4500 Manual Del Usuario página 250

Tabla de contenido

Publicidad

Idiomas disponibles
  • ES

Idiomas disponibles

  • ESPAÑOL, página 74
Hudumia Plagi ya Spaki Kielelezo
Kubadilisha plagi ya spaki kutaiwezesha injini yako
kuwasha kwa urahisi na kunguruma vyema zaidi.
1. Legeza skrubu mbili za kifuniko cha udumishaji (1,
K) na uondoe kifuniko cha kando cha udumishaji.
2. Safisha sehemu iliyo na kiziba cheche na kutoa
kifuko cha kiziba cheche (10).
3. Ondoa plagi ya spaki na uikague.
4. Badilisha spaki ya plagi ikiwa elektrodi zimegubikwa,
zimeungua au kaulo imevunjika. Tumia plagi ya
spaki ya kubadilisha inayopendekezwa pekee.
Tazama Sehemu za Udumishaji za Kawaida.
5. Kagua pengo la elektrodi (11) ukitumia geji na
usawazishe pengo la plagi ya spaki hadi kiwango
kilichopendekezwa cha pengo ikiwa inahitajika
(tazama Vipimo Maalum).
6. Weka plagi ya spaki na ukaze kabisa. Rejesha
kifuko cha plagi ya spaki.
7. Rudisha kifuniko cha kukarabati na kukaza skrubu
kwa mkono.
Kagua Kishika Cheche
Kagua kishika cheche kama kuna uharibifu au mzibo wa
kaboni. Iwapo kuna uharibifu au usafishaji unahitajika,
mtembelee Muuzaji Huduma Aliyeidhinishwa wa Briggs
& Stratton.
ONYO! Kugusana na eneo hili la mafla
kunaweza kusababisha kuchomeka na
hivyo basi kupelekea majeraha mabaya.
• Kuwa makini na maonyo yaliyo kwenye jenereta.
• Usiguse sehemu moto.
10
Uhifadhi
1 10 11
Ikiwa unahifadhi kifaa hiki kwa zaidi ya siku 30, tumia
miongozo ifuatayo ili kukiandaa kwa uhifadhi.
Maagizo ya Uhifadhi wa Muda Mrefu
1. Safisha jenereta kama ilivyoainishwa kwa Kusafisha.
2. Badilisha oili ya injini wakati injini ingali na
3. Tibu au umwage mafuta kutoka kwenye
Mafuta yaliyoharibika yanaweza kusababisha mabaki ya
asidi na gundi kutengenezeka kwenye mfumo wa mafuta
au kwenye sehemu muhimu za kabureta. Ili kuweza
mafuta yakiwa safi, tumia kisawazishaji mafuta.
Hakuna haja ya kumwaga petroli kutoka kwenye injini
ikiwa kiimarishaji mafuta kimeongezwa kulingana
na maagizo. Washa injini kwa dakika 2 kuzungusha
kisawashaji katika mfumo wote wa mafuta kabla ya
kukiweka.
Ikiwa petroli ndani ya injini haijatibiwa kwa kiimarishaji
mafuta, ni lazima imwagwe kwenye kontena
iliyoidhinishwa. Kisha uendeshe injini hadi isimame
kutokana na ukosefu wa mafuta. Matumizi ya kiimarishaji
mafuta kwenye kontena ya uhifadhi yanapendekezwa ili
kudumisha usafi.
• Unapohifadhi mafuta au kifaa chenye mafuta kwenye
tangi, hifadhi mbali na tanuu, stovu, hita za kuchemshia
maji, vifaa vya kukausha nguo au vitu vingine ambavyo
vina taa za moto au vyanzo vya mwako kwa sababu
vinaweza kuwasha moto kwenye mivuke ya mafuta.
• Unapomwaga mafuta, zima injini na uwache injini
ipoe kwa angalau dakika 2 kabla ya kuondoa kifuniko
cha mafuta. Legeza kifuniko hicho polepole ili kutoa
shinikizo kwenye tangi. Mwanga mafuta ukiwa nje ya
nyumba. Weka mafuta mbali na spaki, moto ulio wazi,
taa za gesi, joto, na vyanzo vingine vya mwako.
• Kagua mifereji ya mafuta, tangi, kifuniko, na vijenzi
mara kwa mara kama kuna nyufa au uvujaji. Badilisha
kama itahitajika.
4. Chaji betri kama ilivyobainishwa katika Udumishaji
5. Hifadhi jenereta katika mahali safi na pakavu na
• Usiweke kifuniko cha uhifadhi juu ya jenereta ambayo
ni moto au inayoguruma. Subiri vifaa vipoe kwa muda
tosha kabla ya kuweka kifuniko juu yake.
joto, mwaga mafuta utoka kwenye kifuniko cha
kasha la shafti kombo. Jaza ukitumia ya ubora
unaopendekezwa. Tazama Kubadilisha Oili ya Injini.
jenereta kwa sababu mafuta yanaweza kuganda
yanapohifadhwa kwa zaidi ya siku 30.
ONYO! Mafuta na mivuke yake yanaweza
kuwaka moto na kulipuka na kusababisha
kuchomeka, moto au mlipuko na kupelekea kifo
au majeraha mabaya.
Betri.
uifunike ukitumia kinga mwafaka ambayo haitasitiri
unyevunyevu.
ONYO! Vifuniko vya uhifadhi vinaweza
kusababisha moto na hatimaye kifo au
majeraha mabaya.
BRIGGSandSTRATTON.COM

Publicidad

Tabla de contenido
loading

Este manual también es adecuado para:

030806-00

Tabla de contenido