Descargar Imprimir esta página

Briggs & Stratton BPW3000PX Manual De Instrucciones página 209

Publicidad

ILANI Ili kuhakikisha usalama wa mashine, tumia vipuri asili
tu kutoka kwa watengenezaji au vilivyothibitishwa na
watengenezaji. Kama una maswali kuhusu kubadilisha vipengele
katika mashine yako inayoosha kwa kutumia shinikizo, tafadhali
angalia tovuti yetu katika BRIGGSandSTRATTON.COM.
Mpira wa Kuchunguza Mfumo wa Kutoa Sabuni kwa Bomba
Angalia mara kwa mara mpira katika mfumo wa kutoa
sabuni kwa bomba, inaweza kwama kutoka hifadhi, sabuni
kavu, au madini kwa maji. Mpira wa Kuchunguza Mfumo
unaweza kutolewa kwa kufanya yafuatayo:
1. Zima maji.
2. Injini ikiwa imezimwa na shinikizo imetolewa kwa mfumo,
toa sabuni ya mpira wa maji kutoka nyaya iliyo kwa pampu.
3. Ukitumia chombo imara, isiyo na pembe kali na kipenyo
ya milimita 2 (inchi 7/64) au ndogo kwa angalau urefu
wa milimita 25.4 (inchi 1), kama vile bisibisi ya Allen,
ingiza chombo icho polepole katika nyaya mpaka uskikie
upinzani. Upinzani huo ni mpira wa kuchunguza.
4. Sukuma chini kwa mwendo wa pole hadi uskie mpira
ukisonga kidogo, sukuma na usipitishe milimita 3 (inchi
1/8). Shinikiza kidogo inaweza hitajika kutoa mpira.
5. Rudia hatua 3 na 4 kama inahitajika.
6. Rudisha mpira wa maji ulio na sabuni kwenye nyaya.
7. Itengeneza na PumpSaver kama ilivyoelezwa katika
Kuilinda Pampu wakati wa kuhifadhi ili kuzuia marudio.
Ukarabati wa Bomba Kielelezo
Safisha mabomba ili utoe shinikizo nyingi kwa pampu
iliyosababishwa na bomba iliyozibwa:
1. Zima maji.
2. Ondoa bomba saba ndani ya moja (A) kutoka ugani
wa bomba.
3. Tumia kigango ndogo kutoa nyenzo zinazoziba au
kuzuia bomba.
4. Rudisha bomba saba ndani ya moja katika ugani wa
bomba.
Ukarabati wa O-Ring Kielelezo
Matumizi ya mafuta (petroli au grisi sintentiki) husaidia
kuwekelea o-rings hivyo kuweka muhuri bora. Paka mafuta
kwa o-rings kabla ya kuweka mpira wa maji juu ya pampu
(A), mpira wa maji ulio na shinikizo ya juu (B), bunduki ya
mfukizo (C), na ugani wa bomba (D).
Nunua kifaa ya ukarabati ya O-Ring kwa kuwasiliana na
muuzaji aliyeidhinishwa wa Briggs & Stratton. Rejelea
karatasi ya maelekezo iliyowekwa kwa vifaa vya ukarabati
ili uhudumie o-rings kwa kitengo yako. KAMWE usikarabati
viungo vinavyovuja na muhuri wa aina yoyote. Badilisha
o-ring au muhuri.
5
12
Kuhifadhi
Kama huna mpango wa kutumia mashine inayoosha kwa
kutumia shinikizo kwa zaidi ya siku 30, lazima uandae injini
na pampu kwa ajili ya kuhifadhi.
Mwaga Sabuni Kutoka Kwa Tenki
1. Toa mpira wa maji ulio na sabuni kwenye pampu na
uweke kwa kontena.
2. Weka kontena chini ya tenki ya sabuni na ufungue
parafujo. Ondoa kifuniko ya tenki, songeza mashine
inayotumia shinikizo nyuma kidogo na umwage.
3. Unganisha mpira wa maji kwa pampu na ufunge
parafujo.
4. Ongeza lita 0.5 (aunzi 16.9) ya maji safi, kwa tenki na
ufunge kifuniko.
5. Osha tenki mpaka iwe tupu kwa kutumia mashine
inayoosha kwa kutumia shinikizo na bomba ya sabuni.
Kulinda Pampu
Ili kulinda pampu kutoka uharibifu unaosababishwa na
kukusanyika kwa madini au baridi, tumia PumpSaver kuzuia
uharibifu wa baridi na sisima mchi wa mashine na mihuri.
NOTICE Kushindwa kuilinda kitengo kutoka barida
itaiharibu pampu na kuifanya kitengo isiweze kutumika.
Uharibifu kwa sababu ya baridi haiko kwa udhamini.
Kulinda Mfumo wa Mafuta
Mafuta inaweza kuoza wakati imehifadhiwa kwa zaidi
ya siku 30. Mafuta yaliyooza husababisha asidi na fizi
kukusanyika katika mfumo wa mafuta au kwenye sehemu
muhimu za kabureta.
Hakuna haja ya kumwaga petroli kutoka injini kama
kiimarishaji cha mafuta ni kinaongezwa kwa mujibu wa
maelekezo. Endesha injini kwa dakika 2 ili kusambaa
kiimarishaji katika mfumo wa mafuta kabla ya kuhifadhi.
Kama petroli katika injini haijawahi kutibiwa na kiimarishaji cha
mafuta, ni lazima imwagwe katika kontena iliyoidhinishwa.
Endesha injini mpaka izime kutokana na ukosefu wa mafuta.
Matumizi ya kiimarishaji cha mafuta kwenye kontena ya
kuhifadhi inapendekezwa kwa ajili ya kudumisha us
Vidokezo Vingine vya Kuhifadhi
1. USIHIFADHI mafuta kutoka msimu mmoja hadi
mwingine ila iwe imetibiwa kama ilivyoelezwa katika
Mfumo Wa Kulinda Mafuta.
2. Funika kitengo na kifuniko kinachofaa na hakihifadhi
unyevu.
ONYO! Vifuniko za hifadhi zinaweza kusababisha
moto unaoweza kuleta kifo au majeraha makubwa.
USIWEKE kifuniko cha hifadhi juu ya mashine
inayoosha kwa kutumia shinikizo moto. Wacha vifaa vipoe
kwa muda wa kutosha kabla ya kuweka kifuniko juu yake.
3. Hifadhi kitengo katika eneo safi na kavu
afi.
9 9

Publicidad

Solución de problemas

loading

Este manual también es adecuado para:

020632-00