Descargar Imprimir esta página

Briggs & Stratton 020633-00 Manual Del Usuario página 185

Publicidad

ONYO! Ukigusa kifaa kinachopunguza sauti ya eksozi
unaweza kuchomeka na kusababisha majeraha
makubwa. USIGUSE sehemu moto na EPUKA gesi moto
za eksozi. Ruhusu vifaa vipoe kabla uviguse.
ONYO! Ukiigusa chanzo ya nguvu za umeme inaweza
kusababisha mshtuko wa umeme au kukuchoma na
kuleta kifo au majeraha makubwa. USIWAHI fukiza
karibu na stima.
Ncha za Kufukiza Kielelezo 10
Ncha za kufukiza zinaweza kubadilishwa wakati mashine inayoosha kwa
kutumia shinikizo wakati kafyatulio kya bunduki ya mfukizo imefungwa.
Ili ubadilishe ncha za kufikuza:
1. Vuta nyuma shingo ya kiunganishi ya haraka na uvute nche
ya mfukizo itoke. Hifadhi ncha za vifukizo kwenye sahani ya
vifaa vya ziada.
2. Chagua ncha ya mfukizo unayopenda:
Kwa kusuuza kiasi (shinikizo ya chini na mtiririko wa
juu), chagua ncha nyeupe ya 40° (A).
Kwa kusuuza ya kawaida (shinikizo ya wastani na
mtiririko wa wastani), chagua ncha manjano ya 15° (B).
Kwa kusuuza kwa upeo (shinikizo ya upeo na mtiririko
uliopunguzwa), chagua ncha nyekundu ya 0° (C).
Kwa kuweka sabuni, chagua ncha nyeusi ya kufukiza
sabuni (D).
3. Vuta nyuma ukosi wa bomba, ingiza ncha mpay ya kufukiza na
uachilie. Vuta ncha ya kufukiza ili uhakikishe kuwa iko salama.
Vidokezo vya Matumizi
• Kwa kuosha bora kabisa, weka ncha ya kufukiza sentimita
20 hadi 61 (inchi 8 hadi 24) kutoka kwa sehemu inayooshwa.
• Ukipata ncha ya kufukiza karibu nawe, hasa ukitumia ncha
ya kufukizo ilio na shinikizo ya juu, unaweza kuharibu
sehemu inayosafishwa.
• USIFIKE karibu ya sentimita 15 (inchi 6) wakati unaosha
magurudumu.
Kutumia sabuni
ONYO! Kemikali inaweza kuchoma na kusababisha
kifo au majeraha makubwa. USITUMIE kemikali
inayochoma na mashine inayoosha kwa kutumia
shinikizo. Tumia sabuni salama PEKEE kwa mashine inayoosha
kwa kutumia shinikizo. Fuata maelekezo ya watengenezaji.
Ili utumie sabuni, fuata hatua zifuatazo:
1. Weka tubu ya kumwaga sabuni ndani ya kontena iliyo na
sabuni.
2. Weka ncha nyeusi ya kufukiza sabuni.
ILANI Sabuni haiwezi kuwekwa na ncha ya kufukiza iliyo na
shinikoza ya juu (Nyeupe, Manjano, au Nyekundu).
3. Weka sabuni kwa sehemu kavu, kuanzia sehemu ya chini ya
eneo hilo na uoshe kuelekea juu, kwa kufagia refu, kawaida,
na kufagia zinazopitana.
4. Ruhusu sabuni "kuloweka" vile watengenezaji wa sabuni
wameelekeza kabla ya kuosha na kusuuza.
ILANI Osha mfumo wa kumwaga sabuni baada ya kila matumizi
kwa kuweka tubu ndani ya ndoo ilio na maji safi, halufu utumie
mashine inayotumia shinikizo na ncha nyeusi ya kufukiza kwa
dakika 1 hadi 2.
Kusuuza Mashine Inayoosha Kwa Shinikizo
Kwa Kusuuza:
1. Toa ncha nyeusi ya kufukiza sabuni kutoka kwa ugani wa
bomba.
2. Chagua na uweke ncha ya kufukiza iliyo na shinikizo ya juu.
ONYO! Nywea kutoka bunduki ya mfukizo (29 N)
inaweza kukuangusha na kusababisha kifo au majeraha
makubwa. Tumia mashine inayoosha kwa kutumia
shinikizo kutoka sehemu ilio imara. Kuwa makini sana kama ni
lazima utumie mashine inayoosha kwa kutumia shinikizo kutoka
kwa juu ya ngazi, jukwaa, au maeneo kama hayo. Shikilia bunduki
ya mfukizo imara kwa mikono miwili wakati wa kutumia mfukizo wa
shinikizo ya juu ili uepuke kuumia wakati bunduki itanywea.
3. Weka mfukizo wa shinikizo iliyo juu kwa eneo dogo na uangalie
kama kuna uharibifu. Kama hakuna uharibifu, endelea kusuuza.
4. Anza kwa eneo la juu la kusuuzwa, ukielekea chini na vifagio
vinavyopitana jinsi ulifanya ukiosha.
Mbinu ya Kujipoesha (Kupunguza Joto)
Maji yanazozunguka kwa pampu yanaweza kufikia joto ya juu
inayozidi 51°C (125°F) kama unatumia mashine inayoosha kwa
kutumia shinikizo kwa dakika 3 hadi 5 bila kubonyeza kifyatulio
kwa bunduki. Mfumo unapoesha pampu kwa kumwaga maji
moto kwenye ardhi.
Zima Mashine Inayoosha kwa Kutumia
Shinikizo
1. Achilia kifyatulio cha bunduki ya mfukizo na uwache injine
itulie kwa dakika mbili.
2. Songeza transfoma ndogo ya gari hadi nafasi ya SLOW (
kisha nafasi ya STOP (
3. DAIMA elekeza bunduki ya mfukizo katika sehemu salama,
bonyeza kitufe nyekundu na ufinye kifyatulio ili uwachilie
shinikizo ilio juu, kila wakati unazima injini.
ONYO! Bunduki ya mfukizo inashikilia maji yaliyo na
shinikizo ya juu, hata wakati injini imezimwa na maji
hayatiririki, na inaweza sababisha majeraha makubwa.
Weka mpira wa maji ulio na shinikizo ya juu kwa pampu na bunduki
ya mfukizo wakati mfumo unashinikizwa. DAIMA elekeza bunduki
ya mfukizo katika mwelekeo salama, bonyeza kitufe nyekundu na
ufinye kifyatulio kwa bunduki ya mfukizo ili utoe shinikizo, kila
wakati unazima injini.
Baada ya Kila Matumizi
Maji hayapaswi kubaki katika kitengo hiki kwa muda mrefu.
Mchanga au madini yanaweza kusanyika juu ya sehemu za
pampu na kuilemaza pampu. Fuata taratibu hizi baada ya kila
matumizi:
1. Zima maji, na uache injini ipoe.
2. Toa mpira wa maji kutoka kwa bunduki na tundu la kutoa
kwenye pampu. Toa maji kutoka kwa mpira wa maji,
bunduki, na ugani wa bomba.
3. Weka ncha za kufukiza na mpira wa maji juu ya sahani
ya vifaa vya ziada. Weka bunduki ya mfukizo na ugani wa
bomba kwa nyaya.
4. Toa vioevu vyote kwa pampu kwa kuvuta mpini wa nywea
kama mara sita.
5. Hifadhi kitengo katika eneo safi na kavu.
ILANI Kama unahifadhi kwa zaidi ya siku 30, angalia Uhifadhi.
ONYO! Mafuta na mivuke yake yanaweza
kuwaka na kulipuka hivyo yanaweza kuchoma,
washa moto au mlipuko na kusababisha kifo au
majeraha makubwa. Wakati unahifadhi mafuta au vifaa na mafuta
katika tenki, hifadhi mbali na tanuru, majiko, Ya kuchemshia maji,
Ya kukausha nguo, au vifaa vingine vilivyo na mwanga wa
kujaribia au vyanzo vya moto kwa sababu vinaweza kuwasha
mivuke ya mafuta.
).
),
7 7

Publicidad

loading

Este manual también es adecuado para:

Bpw2500