Briggs & Stratton BPW4000 Manual Del Usuario página 196

Tabla de contenido

Publicidad

Idiomas disponibles
  • ES

Idiomas disponibles

  • ESPAÑOL, página 60
Yaliyomo
Ufafanuzi wa Mitambo . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . 4
Mkusanyiko . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . 4
Vipengele na Vidhibiti. . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . 4
Ishara ya Usalama na Udhibiti. . . . . . . . . . . . . . . . . . 4
Operesheni . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . 5
Ukarabati . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . 8
Hifadhi . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . 8
Utatuzi . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . 9
Virejelewa . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . 9
Udhamini . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . 10
Ufafanuzi wa Mitambo
Soma kabrasha hili kwa umakinifu na uzoeane na
kioshaji kwa presha. Jua matumizi yake, upungufu
wake, na hatari zozozte zinazohusika. Hifadhi
maelekezo haya asilia kwa marejeleo ya siku zijazo.
Kioshaji kwa presha hiki kinafanya kazi katika kiwango cha juu
cha 27.6 MPa (4000 PSI) na kima cha mtiririrko cha kufikia lita
15.14 (galani 4.0) kwa dakika. Mfumo huu wa makazi wenye
ubora wa juu unayo magurudumu yenye sentimita 30.5 (12"),
pampu ya triplex iliyo na pistoni za chuma za pua, mfumo
otomatiki wa kupoza, mfumo wa kufyonza sabuni, ncha za
mnyunyizo za kuunganisha kwa haraka, mpira wa maji mzito
wenye mita 15.24 (50') na zaidi
Mashine haya hayajaundwa ili kutumiwa na watu (wakiwemo
watoto) walio na uwezo pungufu wa kimwili, kihisia au kiakili, au
wanao ukosefu wa uzoefu na maarifa.
Kila jitihada imefanywa ili kuhakikisha kwamba taarifa katika
kabrasha ili ni sahihi na ya hivi punde zaidi. Hata hivyo,
tunahifadhi haki ya kubadilisha, kurekebisha, au vinginevyo
kuboresha bidhaa hii na waraka huu wakati wowote bila arifa ya
mapema.
ARIFA Kama unayo maswali kuhusu matumizi yaliyonuiwa,
mwulize mwuzaji au wasiliana na kituo cha huduma kinachofaa.
USIWAHI kutumia mashine haya yakiwa na sehemu zilizovunjika
au zinazokosekana, au bila ya sehemu yake inayoyafunika
au vifuniko. USIPUUZE kifaa chochote cha usalama katika
mashine haya. USIBADILISHE kioshaji kwa presha kwa njia
yoyote ile. Mtambo huu umeundwa kutumiwa pamoja na vipuri
vilivyoidhinishwa kutoka kwa Briggs & Stratton Power Products
PEKEE.
Uchukuzi
Wakati unaposafirisha mitambo kwa gari au trela, hakikisha kuwa
tangi la mafuta ni TUPU au zima valvu ya mafuta, kama unao
uwezo, hadi kwenye sehemu hiyo ya ZIMWA (0). USIWEKE injini
au mitambo katika hali ambayo itasababisha mafuta kumwagika.
Uunganishwaji
Ambatisha Kishikio Mchoro
1. Weka kishikio (1, A) kwenye visaidizi (1, B) na ulinganishe
mashimo .
2. Chomeka komeo zinazohusika (2, A) kwenye mashimo
yaliyo sehemu ya nyuma ya kifaa chenyewe, ambatisha na
kishikio cha plastiki (2, B) na ukaze.
4
4
Vipengele na Vidhibiti Mchoro
Ishara ya Usalama na Udhibiti
Ishara ya usalama wa onyo inaonyesha hatari ya jeraha la kibinafsi
inayoweza kufanyika. Ishara ya usalama inaweza kutumiwa ili
kuwakilisha aina ya hatari. ONYO inaonyesha hatari ambayo, kama
haitaepukwa, inaweza kusababisha kifo au jeraha mbaya. ARIFA
huangazia mazoea yasiyohusiana na jeraha la kibinafsi.
Sehemu Songevu
1
2
Sehemu ya Onyo Mchoro 4
Sehemu ya onyo inawekwa kwenye mtambo wako ili
kukufahamisha kuhusu hatari za usalama zinazoweza kufanyika.
Kama sehemu hiyo itaharibiwa au kukosa kusomeka, isawazishe
kwa kuwasiliana na mwuzaji wako wa bidhaa za Briggs & Stratton
aliye karibu nawe ili kupata nyingine mpya.
A
Tangi la Mafuta
B
Kichujio cha Hewa
C
Leva ya Throto
D
Leva ya Kusakama
E
Kiwashi cha Waya
F
Pampu
G
Mfumo Otomatiki wa
Kupoza
H
Sehemu ya Kuingizia Maji
J
Neva ya Kufyonza Sabuni
Ishara ya Tahadhari
Kabrasha la
ya Usalama
Maelekezo
Mishtuko ya
Kuanguka
Kielektriki
Moto
Mlipuko
Vitu Vinavyoruka
Sakama
Endesha
Mafuta
Mafuta
Hayaingii
Yanaingia
K
Sehemu ya Kutolea
Presha ya Juu
L
Lebo ya Utambulisho
M
Kuvuja kwa Mafuta(oil)
N
Kujaza Mafuta(oil)
P
Sehemu ya Onyo
R
Mpira wa Maji wa Presha
ya Juu
S
Kirefusho cha Pua kilicho
na Unganisho la Haraka
T
Vidokezo vya Mnyunyizo
U
Sehemu ya mbele ya
Mnyunyizo
Moshi wenye
Sumu
Kuingiza kwa
Sehemu Moto
Mafuta
Kurudi nyuma
Kurushwa
Kuungua kwa
Haraka
Kemikali
Sitisha
Polepole
!
Kagua Kiwango
Usiwashe
cha Mafuta
Injini
BRIGGSandSTRATTON.COM
BRIGGSandSTRATTON.COM
3

Publicidad

Tabla de contenido
loading

Tabla de contenido