Briggs & Stratton BPW4000 Manual Del Usuario página 203

Tabla de contenido

Publicidad

Idiomas disponibles
  • ES

Idiomas disponibles

  • ESPAÑOL, página 60
Briggs & Stratton inathamini kwamba wakati wa kipindi cha udhamini kilichobainishwa hapa chini, itaweza kukarabati na au kusawazisha, bila malipo, sehemu
yoyote ambayo ina kasoro katika hali yake au hali ya kutengenezwa au vyote. Ada za uchukuzi kwenye bidhaa zilizowasilishwa kwa minajili ya kukarabatiwa
au kusawazishwa kulingana na udhamini huu lazima igharamiwe na mnunuzi. Udhamini huu ni bora na unao uhusiano na vipindi vya muda na hali zilizotajwa
hapa chini. Kwa minajili ya hudumu ya udhamini, pata Mwuzaji Aliyeidhinishwa wa kutoa Huduma aliye karibu zaidi katika ramani yetu ya kupata Mwuzaji katika
BRIGGSandSTRATTON.com. Mnunuzi lazima awasiliane na Mwuzaji wa Huduma Aliyeidhinishwa, na kumpelekea Mwuzaji huyo wa Huduma Aliyeidhinishwa
kwa ukaguzi na upimaji.
Hakuna udhamini wowote wa moja kwa moja. Udhamini uliorejelewa, ukiwemo huo wa kuuzika na kuwepo kwa kusudio fulani, ni finyu kwenye
kipindi cha udhamini kilichoorodheshwa hapa chini, au kufikia kiwango kinachoruhusiwa na sheria. Hasara inayotokana na uharibifu wa kisadfa
au unaosababishwa na sababu zinazojulikana hazijajumuishwa kwenye kiwango cha kutojumuishwa ambacho kinaruhusiwa na sheria. Baadhi ya
mataifa au nchi haziruhusu ufinyu wa kwa muda gani udhamini uliorejelewa unadumu, na baadhi ya mataifa au nchi haziruhusu kutojumuishwa au upungufu wa
hasara ya sadfa au inayotokana na hali fulani, ili upungufu uliotajwa hapo juu na kutojumuishwa huenda kusitumike kwako. Udhamini huu unakupa haki mahsusi
za kisheria na unaweza pia kuwa na haki nyingine ambazo zinaweza kutofautiana kutoka katika taifa hadi taifa au nchi hadi nchi.**
Kipengee
Mtambo
Injini*
Betri (kama imeshughulikiwa)
* Hutumika katika injini za Briggs & Stratton pekee. Kujumuisha kwa udhamini kwenye injini ziso-Briggs & Stratton unatolewa na mtengenezaji wa injini hiyo.
Viungo vinavyohusiana na utoaji moshi vinajumuisha na taarifa ya Udhamini wa Utoaji Moshi.
** Nchini Australia- Bidhaa zetu zinanunuliwa kwa udhamini ambao hauwezi kujumuishwa kulingana na Sheria ya Mtumizi ya Australia. Unastahili kusawazishiwa
au kurudishiwa hela zako kwa kushindikana kukubwa na kwa kufidhia kwa upungufu au hasara yoyote nyingine inayoweza kutabirika kwa njia ya kueleweka.
Unastahili pia kuwa na bidhaa zilizokarabatiwa au kusawazishwa kama bidhaa hizo zitashindwa kuwa katika ubora unaokubalika na kushindwa huku hakusababishi
kushindikana kukubwa. Kutokana na huduma ya udhamini, pata Mwuzaji wa Huduma Aliyeidhinishwa na aliye karibu nawe katika ramani yetu ya kupata mwuzaji
kwenye BRIGGSandSTRATTON.COM, au kwa kupiga simu nambari 1300 274 447, au kwa kutuma baruapepe au kwa kutuandikia katika salesenquires@
briggsandstratton.com.au, Briggs & Stratton Australia Pty Ltd, 1 Moorebank Avenue, NSW, Australia, 2170.
Kipindi hiki cha udhamini kinaanzia tarehe ya ununuzi na mnunuzi wa kwanza au mtumizi wa kibashara. "Matumizi ya mtumizi" yanamaamisha matumizi ya
nyumbani anapoishi mtu binafsi na mtumizi rejareja. "Matumizi ya kibiashara" yanamaanisha matumizi yote mengine, yakiwemo matumizi ya kibiashara, makusudio
ya kuzalisha mapato au kukodisha. Pindi tu bidhaa imepitia matumizi ya biashara, itaweza kuchukuliwa kuwa bidhaa ya matumizi ya kibiashara kwa makusudio ya
udhamini huu.
Ili kuhakikisha kujumuishwa kwa haraka na kamilifu kwa udhamini huu, sajili bidhaa yako katika tovuti iliyotajwa hapo juu au katika www.onlineproductregistration.
com, au tuma kwenye baruapepe kadi iliyo kamilifu ya usajili (kama umepewa), au piga simu nambari 1-800-743-4115 (Nchini MAREKANI).
Hifadhi vyema ithibati yako ya risiti ya ununuzi. Kama utatoa ithibati ya asilia ya ununuzi wakati ambapo huduma ya udhamini imeombwa, tarehe ya utengenezaji
wa bidhaa itaweza kutumiwa ili kuamua kipindi cha udhamini. Usajili wa bidhaa hauitajiki katika kupokea huduma ya udhamini kwenye bidhaa za Briggs & Stratton.
Huduma ya udhamini inapatikana tu kupitia katika Wauzaji wa Huduma Walioidhinishwa kutoka Briggs & Stratton. Udhamini huu unajumuisha tu kasoro katika
vifaa au uundaji wa bidhaa hizi. Haijumuishi hasara au uharibifu unaosababishwa na matumizi yasiyofaa au matumizi mabaya, ukarabati usiofaa au utengenezaji,
kuchujuka kwa kawaida au mafuta mabaya au ambayo hayajaidhinishwa.
Matumizi Yasiyofaa na Matumizi Mabaya - Matumizi yanayofaa na yaliyonuiwa ya bidhaa hii yamefafanuliwa katika Kabrasha la Mtumiaji. Kwa kutumia
bidhaa hii kwa njia ambayo haijafafanuliwa katika Kabrasha la Mtumiaji au kwa kutumia bidhaa hii baada ya kuharibika hakutajumuishwa katika udhamini huu.
Kujumuishwa kuwa udhamini huu hakutaweza kutolewa pia kama nambari ya usajili kwenye bidhaa hii imeondolewa au bidhaa hii ina kasoro au imebadilishwa kwa
njia yoyote,
au kama bidhaa hii inayo ithibati ya matumizi mabaya kama vile uharibifu mbaya au uharibifu unaotokana na kuchunjika kwa maji/kemikali.
Ukarabati au Utengenezaji Usio Sahihi - Bidhaa hii lazima ihifadhiwe kulingana na taratibu na mipangilio iliyoelezewa katika Kabrasha la Mtumiaji na
kukarabatiwa au kutengenezwa kwa kutumia vipuri halisi za Briggs & Stratton au vinginevyo. Uharibifu unaosababishwa na ukosefu wa ukarabati au matumizi ya
vipuri viso-asilia haujajumuishwa katika udhamini huu.
Kuchujuka kwa Kawaida - Kama mitambo mingi ya kiufundi, kitengo chako kitaweza kuchujuka ata kikikarabatiwa kwa njia sahihi. Udhamini huu haujumuishi
ukarabati wakati ambapo matumizi ya kawaida yamesababisha kuchujuka kwa sehemu ya mtambo huu au mtambo wowote. Ukarabati na vitu vinavyochujuka
kama vile vichungio, mishipi, mundu(blades) za kukatia, na padi za breki (isipokuwa padi za breki za injini) vyote havijajumuishwa kwenye udhamini kutokana na
kipengele cha kuchujuka pekee, isipokuwa endapo sababu itakuwa kasoro kwenye nyenzo au utengenezwaji wake.
Mafuta yaliyoharibika au Yasiyoidhinishwa - Ili kufanya kazi kwa usahihi, bidhaa hii inahitaji mafuta safi yanayotii mpangilio uliobainishwa kwenye Kabrasha
la Mtumiaji. Uharibifu wa injini au mtambo uliosababishwa na mafuta mabaya au matumizi ya mafuta hayajaidhinishwa (kama vile E15 au E85 ethanol blends)
hayajajumuishwa kwenye udhamini huu.
Kutojumuishwa Kwingine - Udhamini huu haujumuishi uharibifu kutokana na ajali, matumizi mabaya, marekebisho, mabadiliko, ukarabati usiosahihi, kuganda
au kudorora kwa kemikali. Viambatisho au nyongeza ambavyo havikuunganishwa asilia kwenye bidhaa hii vyote havijajumuishwa pia. Hakuna udhamini
unaojumuishwa katika mtambo uliotumiwa kwenye nguvi za umeme za kimsingi badala ya nguvu za umeme za utoaji huduma au kwenye mtambo uliotumiwa
katika matumizi ya kupatia uhai wahusika. Udhamini huu haujumuishi mitambo au injini zilizotumiwa, zilizokarabatiwa upya, zilizotumiwa tena, au za maonyesho.
Udhamini huu haujumuishi pia kushindikana kunakotokana na vitendo vya Mungu na nguvu nyingine ya matukio yaliyo zaidi ya udhibiti wa mtengenezaji.
SERA YA UDHAMINI YA BIDHAA ZA BRIGGS & STRATTON
UDHAMINI FINYU
KIPINDI CHA UDHAMINI
Matumizi ya Mtumizi
KUHUSU UDHAMINI WAKO
Matumizi ya Kibiashara
Miezi 24
Miezi 3
Miezi 24
Miezi 12
Miezi 3
Hamna
Januari 2014
80010169_SW Rev -
11
11

Publicidad

Tabla de contenido
loading

Tabla de contenido