Briggs & Stratton BPW4000 Manual Del Usuario página 200

Tabla de contenido

Publicidad

Idiomas disponibles
  • ES

Idiomas disponibles

  • ESPAÑOL, página 60
Ukarabati
Utaratibu wa Ukarabati
Fuata vipimo vya kila saa au kalenda, vyovyote vile vinavyokuja
mbele. Huduma ya mara kwa mara zaidi inahitajika wakati
unapoendesha kwenye hali mbaya zaidi.
Saa 5 za Kwanza
• Badilisha mafuta (oil) ya injini
Kila baada ya Saa 8 au Kila Siku
• Safisha chembechembe
• Kagua kiwango cha mafuta (oil) kwenye injini
Kila baada ya Saa 25 au Kila Mwaka
• Hudumia kisafishi cha hewa kwenye injini
Kila baada ya Saa 50 au Kila Mwaka
• Badilisha mafuta (oil) ya injini
• Kagua mafla
Kila baada ya Saa 100 au Kila Mwaka
• Plagi ya mwake ya kuhudumiwa
• Mfumo safi wa kupoza
Kila baada ya Saa 200 au miezi 3
• Badilisha mafuta (oil) ya pampu
1
Huduma hupatikana mara nyingi katika hali chafu au zenye vumbi.
3
Badilisha pampu ya mafuta (oil) baada ya saa za kwanza (50) za
utendakazi na kisha kila baada ya saa 200 au miezi 3 baada ya
hapo.
Mapendekezo ya Jumla
Ukarabati wa mara kwa mara utaboresha utendakazi na
kurefusha maisha kwa kioshaji kwa presha. Tazama wauzaji
wengine wa Utoaji Huduma hii Walioidhinishwa wa Briggs &
Stratton kwa kupata huduma.
Udhamini wa kioshaji kwa presha haujumlishi vitu, ambavyo
vimetumiwa vibaya au kupuuzwa na anayevitumia. Ili kupokea
thamani kamilifu kutoka kwenye udhamini huu, mtumizi lazima
akihifadhi kioshaji kwa presha kama alivyoelekezwa katika
kabrasha ili ukiwemo uifadhi kamilifu kama ulivyoelezewa katika
Uhifadhi.
ONYO Ili kuhakikisha usalama wa mashine, tumia tu vipuri
(spare parts) asilia kutoka kwenye mtengenezaji au mtengenezaji
aliyeidhinishwa. Endapo utakuwa na maswali yoyote kuhusu
kusawazisha vipuri hivi kwenye kioshaji kwa presha chako,
tafadhali tembelea tovuti yetu katika BRIGGSandSTRATTON.
COM.
Mpira wa Ukaguzi wa Ufyonzaji Sabuni
Mara kwa mara kagua mpira kwenye mfumo wa ufyonzaji sabuni
ambao unaweza kukwama kwenye uifadhi, sabuni iliyokauka au
madini yaliyomo ndani ya maji. Mpira huo wa ukaguzi unaweza
kukarabtiwa kwa kutekeleza yafuatayo:
1. Zima chanzo cha maji.
2. Ukiwa umezima injini na kuwachilia presha kutoka kwenye
mfumo, ondoa mpira wa maji unaofyonza sabuni kutoka
kwenye sehemu husika katika pumpu.
8
8
1
1
1
3
3. Kwa kutumia kifaa butu, kilichodhabiti chenye kipenyo
cha 2mm (7/64") au ndogo zaidi kwa angaa 25.4mm (1")
kwa urefu, kama vile Allen Wrench, chomeka kifaa hicho
polepole kwenye sehemu husika mpaka pale ambapo
utakapopata upinzani. Upinzani huo ndio mpira huu wa
ukaguzi.
4. Sukuma polepole mpaka pale ambapo utahisi mpira huo
ukisonga polepole,usisukume zaidi ya 3mm (1/8"). Presha
kidogo inaweza kuhitajika ili kuachilia mpira huo.
5. Rudia hatua za 4 na 5 kama itahitajika.
6. Weka upya mpira wa maji wa kufyonza sabuni kwenye
sehemu husika.
7. Tia dawa kwa kutumia PumpSaver kama ilivyofafanuliwa
katika Kuilinda Pampu wa uhifadhi ili kuzuia kuepuka hali
hiyo kutokea tena.
Ukarabati wa Ncha ya Mnyunyizo Mchoro 5
Safisha nje ya mnyunyizo ili kusahihisha presha ya kupindukia ya
pampu iliyosababishwa na ncha ya mnyunyizo iliyo fungamana:
1. Zima chanzo cha maji.
2. Ondoa ncha ya mnyunyizo kutoka kwenye sehemu ya
mwisho ya kirefusho cha pua.
3. Tumia klipu ndogo ya karatasi ili kuondoa chembechembe
zozote za kigeni ambazo zimeziba au zinazuia njia hiyo ya
mnyunyizo (B).
4. Weka upya ncha hiyo ya mnyunyizo kwenye kirefusho cha
pua.
Ukarabati wa Pete-O Mchoro 12
Matumizi ya kilainisho (mafuta au grisi iliyotengenezwa)
husaidia kuweka pete-o hizo vyama na kuboresha namna
vinavyofunga sehemu hiyo. Paka kilainishi kwenye pete-o kabla
ya kuunganisha mpira wa maji wa bustanini kwenye sehemu ya
kuingizia maji ya pampu (A), mpira wa maji wa presha ya juu hadi
kwenye sehemu ya kutolea maji ya pampu (B), mpira wa maji
wa presha ya juu (C), sehemu ya mbele ya mnyunyizo (D), na
kirefusho cha pua husika (E).
Nunua Mkoba wa Ukarabati wa Pete-O kwa Kuwasiliana na
Mwuzaji wa Aliyeidhinishwa kwa kutoa Huduma wa Briggs &
Stratton. Rejelea karatasi ya maelekezo iliyotolewa kwenye
mkoba huu ili kukarabati kitengo chako cha pete-o. USIWAHI
kukarabati miunganisho inayovuja kwa kinatishi cha aina yoyote.
Sawazisha pete-o au kinatishi.
Kubadilisha Pampu ya Mafuta(oil(
ARIFA Wakati unapobadilisha mafuta(oil) ya pampu, tumia tu
mafuta ya ubora wa juu ya SAE 30 weight oil. Usitumie nyongeza
zozote maalum.
1. Safisha eneo lililo karibu na plagi ya kutolea mafuta (oil)
kwenye sehemu ya chini ya pampu.
2. Ondoa plagi ya kutolea mafuta (oil). Toa mafuta yote kabisa
hadi kwenye mkebe ulioidhinishwa.
3. Wakati ambapo mafuta (oil) yote yatakuwa yameondolewa,
weka plagi ya kutoa mafuta (oil) na uikaze kabisa.
4. Safisha eneo linalozungukia kijiti kile cha mafuta (oil) ya
pampu. Ondoa kijiti na uijaze pampu hiyo kwa kutumia
mafuta (oil) pendekezwa (takribani 355 ml (12 oz.)) hadi
kwenye alama ya "Kujaa" kwenye kijiti husika.
5. Weka kijiti cha mafuta (oil) cha pampu.
6. Pangusa mafuta (oil) yoyote ambayo yamemwagika.
BRIGGSandSTRATTON.COM
BRIGGSandSTRATTON.COM

Publicidad

Tabla de contenido
loading

Tabla de contenido