Briggs & Stratton BPW1700 Manual De Instrucciones página 200

Tabla de contenido

Publicidad

Idiomas disponibles
  • ES

Idiomas disponibles

  • ESPAÑOL, página 58
Yaliyomo
Ishara za Usalama na Udhibiti. . . . . . . . . . . . . . . . . . 4
Maelezo Kuhusu Kifaa . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . 4
Sifa na Vidhibiti . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . 5
Uendeshaji . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . 5
Udumishaji. . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . 7
Uhifadhi . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . 8
Utafutaji Sababu za Hitilafu . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . 9
Vipengele . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . 9
Udhamani . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . 11
Ishara za Usalama na Udhibiti
Ishara ya tahadhari ya kiusalama huonyesha uwezekano wa hatari
ya jeraha kwa mtu binafsi. Ishara ya usalama huenda ikatumika
kuwakilisha aina ya hatari. ONYO inaashiria hatari ambayo,
isipoepukwa, huenda ikasababisha kifo au jeraha sugu. ILANI
huangazia vitendo visivyohusiana na jeraha kwa mtu binafsi.
Soma Mwongozo
Mchomo wa
Eneo
Kemikali
Moto
Tahadhari ya
Uingizaji
Ugiligili
Mvuke
Maji
Yasiyobebeka
Usiwahi jifukizia, kufukizia wengine, wanyama,
asili za umeme, au kifaa kile chenyewe.
Mashine hii haijaundwa kutumiwa na watu (wakiwemo
watoto) walio na ulemavu wa kimwili, kihisia, au
kiakili, au wasio na ujuzi wala uzoefu isipokuwa
wakisimamiwa na kupewa maelezo kuhusu uendeshaji
salama na uelewaji wa hatari husika.
4
4
Kuanguka
Moto
Mshtuko wa
Vifaa
Umeme
Vipaavyo
Mchomo wa
Usalama
Mvuke
On-
Kuwasha
Kuzima
ONYO
• Mashine hii imeundwa ili itumie sabuni
au ditajenti ya kusafishia iliyotolewa au
kupendekezwa na mtengenezaji. Utumiaji wa
sabuni/ditajenti au kemikali zingine huenda
ukaathiri pakubwa usalama wa mashine hii.
• Jeti za shinikizo la juu huenda zikawa hatari
zikitumiwa vibaya. Jeti ile haipaswi kuelekezwa
kwa watu, vifaa vitumiavyo umeme vilivyo
umemeni au mashine hii yenyewe.
• Usitumie mashine hii pahali ambapo watu wepo
isipokuwa kama wamevalia nguo za usalama.
• Usielekeze jeti kwako au kwa wengine kwa
minajili ya kusafishia nguo au viatu.
• Hatari ya kulipuka – Usifukize maji maji
yanayoshika moto.
• Vifaa vya kusafishia vinavyotumia shinikizo la
juu havipaswi kutumiwa na watoto au wasio na
uzoefu wala ujuzi wa kuvitumia.
• Mipira ya maji ya shinikizo la juu, vishikiliaji na
visitiri ni muhimu kwa usalama wa mashine
hii. Tumia mipira ya maji, vishikiliaji na visitiri
vilivyopendekezwa na mtengenezaji.
• Ili uhakikishe usalama wa mashine, tumia
vigeuzi asilia vinavyotoka kwa mtengenezaji au
kuidhinishwa na mtengenezaji.
• Maji yaliyobubujika kupitia kwenye vizuia
mabubujiko yanayorudi nyuma huchukuliwa
kuwa yasiyobebeka.
• Ondoa kizibo umemeni ili kukatiza nguvu za umeme
wakati wa kusafisha kifaa chenyewe, kukirekebisha/
kukidumisha na unapogeuza sehemu husika.
• Usitumie mashine hii ikiwa kamba ya umeme au
sehemu muhimu za mashine hii zimeharibika, k.mf.
Off-
vyombo vya usalama, mipira ya maji ya shinikizo la
juu, bunduki ya kikabaji.
• Usitumie ekstensheni kuendeshea shughuli
za kiumeme za kisafishaji hiki cha umeme
kitumiacho shinikizo.
• Daima zima swichi kuu unapoacha kushughulikia
mashine ile au wakati ambapo hauitumii.
Maelezo Kuhusu Kifaa
Soma mwongozo huu kwa makini ili ujifahamishe
vyema kuhusu shinikizo-kisafishaji. Jifahamishe
kuhusu jinsi ya kukitumia, mapungufu yake, na
hatari zozote husika. Ila maelekezo ya awali ya
kumbukumbu baadaye.
Shinikizo-kisafishaji hiki kinachotumia umeme hufanya kazi
kwa upeo wa 10.0 MPa (100 BAR) ama 1,450 PSI (kwa
kila paundi ya inch square)) na kwa kiwango cha bubujiko
cha 7.0 LPM (lita kila dakika)(1.8 GPM (galani kila dakika)).
Jitihada zote zimejumuishwa ili kuhakikisha kuwa maelezo
yapatikanayo katika mwongozo huu ni sahihi na ya sasa.
Hata hivyo, tuna haki ya kubadilisha, kugeuza, au kuboresha
bidhaa hii na hati hii wakati wowote bila kutoa ilani ya awali.
BRIGGSandSTRATTON.COM
BRIGGSandSTRATTON.COM

Publicidad

Tabla de contenido
loading

Este manual también es adecuado para:

020628-00020673-00

Tabla de contenido