Briggs & Stratton BPW1700 Manual De Instrucciones página 201

Tabla de contenido

Publicidad

Idiomas disponibles
  • ES

Idiomas disponibles

  • ESPAÑOL, página 58
ILANI Ikiwa una maswali kuhusu matumizi yaliyonuiwa
kifaa hiki, muulize muuzaji au uwasiliane na kituo rasmi cha
huduma kilichoidhinishwa. USIWAHI kuendesha vifaa vilivyo
na kasoro au ambavyo sehemu zao hazipo au zilizopotea, au
visivyo na vyombo vyao vya usalama au vifuniko. USIPUUZE
chombo chochote cha usalama kilicho kwenye mashine hii.
USIREKEBISHE shinikizo-kisafishaji hiki kwa namna yoyote ile.
Kifaa hiki kimeundwa kutumika na sehemu zilizoidhinishwa za
Bidhaa za Kiumeme za Briggs & Stratton PEKEE.
Chombo Kibebekacho cha Usalama wa Mkondo wa Umeme
Shinikizo-kisafishaji hiki kina Chombo wa Usalama cha
Mkondo wa Umeme Kibebekacho (PRCD) iliyowekwa
kwenye kizibo cha kamba inayosambaza umeme. Chombo
hiki hutoa usalama zaidi unakukinga kutokana na hatari ya
mshtuko wa umeme. PRCD ile hutoa 10 mA ya usalama.
Kuzima Kiotomatiki
Kihisi kitatambua kuongezeka kwa shinikizo unapoachilia
au kufunga kikaba kifaa-kifukizi. Kihisi kile kitasababisha
kuzima kwa injini/mtambo ule kwa muda ambao kikaba
kifaa-kifukizi kile kimeachiliwa au kufungwa. Ikiwa injini/
mtambo ule utaendelea kuwaka wakati kikaba kifaa-kifukizi
kile kimeachiliwa au kufungwa, USITUMIE MASHINE ILE.
Wasiliana na mhudumu aliyeidhinishwa wa Briggs & Stratton.
ILANI Swichi kuu lazima iwe katika hali ya OFF yaani
kuzimwa (0) wakati shinikizo-kisafishaji hakitumiki.
Utumiaji Kupindukia wa Mtambo
Chombo cha usalama cha kuzuia utumiaji kupindukia huzima
injini/mtambo kiotomatiki ikiwa una moto mwingi au ukivuta
umeme kupindukia. Kifaa kile kikikatiza umeme, tenga umeme
kwa kubonyeza swichi kuu kiwe katika hali ya OFF (0) yaani
kuzimwa. Acha kifaa kipoea kwa muda wa dakika 30 na
uwashe swichi kuu iwe ON (I) yaani katika hali ya kuwashwa.
Utupaji wa EU
Ishara hii inaonyesha kuwa mmiliki wa betri na
vifaa vya kiumeme au kielektroniki hapaswi kutupa
bidhaa hii na taka taka ambazo hazijachambuliwa
za manispaa. Bidhaa hii inafaa kutupwa kwenye
maeneo yanayofaa ili kulinda mazingira. Tafadhali wasiliana
na Briggs & Stratton au mwuzaji wako wa bidhaa reja reja
wa ndani kwa maelezo zaidi kuhusu utupaji.
Sifa na Vidhibiti
A
Kifaa-Kifukizi
B
Ekstensheni ya Nozeli ya Chuma
C
Ncha za Kufukizia (3)
D
Kiachiliaji Shinikizo la Juu
E
Kamba ya Nguvu za Umeme w/
PRCD
F
Mtungi wa Maji
G
Mtungi wa Sabuni
Picha ya
1
H
Ghuba ya Maji
J
Mpira wa Shinikizo la Juu
K
Lebo ya Utambuzi
L
Swichi kuu ya ON/OFF
M
Kijiti-kipini cha Plastiki w/ Ncha
ya Turbo
N
Bunduki Iachiliayo Mvuke w/
Burashi
Uendeshaji
Uunganishaji wa Mpira wa Maji na Maji Yatokapo
Picha ya
2 3 4 5 6
ILANI Tumia maji baridi PEKEE (yaliyo chini ya 38°C (100°F)).
1. Kwa kubonyeza kitufe chekundu (2,A) kwenye bunduki-
kiachiliaji, ingiza mpira wa shinikizo la juu (2,B) kwenye
bunduki-kiachiliaji hadi isitirike pahali pake.
2. Ambatanisha mpira wa shinikizo la juu (3,A) kwenye
mfereji (3,B) na ukaze.
ILANI Hakikisha asili ya maji ile inaweza kusambaza
maji katika kiwango cha bubujiko kinachozidi 11.4 LPM
(3.0 GPM) na 0.14-0.55 MPa (1.4-5.5 BAR or 20-80 PSI)
mwishoni mwa mpira wa maji wa shambani.
3. Pitisha maji yale kwenye mpira wa maji wa shambani
ili yasafishe mabaki/uchafu ulio mle ndani.
ILANI Utumiaji kizuia bubujiko lisirudi nyuma kwenye
ghuba ya pampu huenda ukasababisha kuharibika kwa
pampu ile. LAZIMA kuwepo na 3 m. (10 ft.) ya mpira wa
maji wa shambani ambayo haijazuiliwa kati ya ghuba ya
shinikizo-kisafishaji na kizuia bubujiko lisirudi nyuma.
ONYO! Maji ambayo yamepita kwenye kizuia
bubujiko lisirudi nyuma yanachukuliwa kuwa
yasiyoweza kubebeka.
4. Unganisha mpira wa maji (4,A) (bila kupita
15 m (50 ft.)) kwenye ghuba ya maji (4,B) na ukaze.
5. Washa maji iwe ON, elekeza bunduki-kiachilia kwenye
eneo salama, bonyeza kitufe kinachofunga kikabaji
(2,C), kisha ufinye kikabaji kuachilia mfumo wa hewa.
6. Ingiza kijiti-kipini (5,A) kwenye kifaa-kifukizi (5,B), weka
shinikizo ukielekea ndani, na ufurukute kijiti-kipini katika geuzi
la kushoto-kulia la 1/4 hadi isitirike kisalama mahali pake.
ILANI Kwa ekstesheni ya nozeli ya chuma, vuta ukirudi
nyuma kwenye kola ya kijiti-kipini (6,A), ingiza ncha ya
kufukizia inayotakikana (6,B), na uachilie kola. Vuta ncha
ya kufukukizia mara nyingi ili isitirike kisalama mahali pake.
Kuwasha Shinikizo-Kisafishaji
ONYO! Kifukizo huenda kimwagike au kisukume vitu
na kusababisha jeraha sugu. Daima valia miwani ya
usalama (ya kukinga miagiko iliyo na kemikali)
inayoambatana na matakwa ya ANSI Z87.1 unapotumia au
unapokuwa karibu na kifaa hiki.
1. Bonyeza swichi kuu (1,L) ili iwe katika hali ya OFF (0) (9,A).
ONYO! Hatari ya kupigwa na mshtuko wa
umeme. Matumizi ya ekstensheni huweza
kusababisha mshtuko wa umeme au michomo
inayosababisha kifo au jeraha sugu. USITUMIE
ekstensheni kuendeshea shinikizo-kisafishaji hiki cha
umeme. Mzunguko wa umeme wa nyumbani au
ekstensheni yako huenda isiwe na chombo cha usalama
wa mkondo wa umeme kibebekacho yaani (PRCD).
Picha ya
1 7 8 9
5 5

Publicidad

Tabla de contenido
loading

Este manual también es adecuado para:

020628-00020673-00

Tabla de contenido