Briggs & Stratton BPW1700 Manual De Instrucciones página 203

Tabla de contenido

Publicidad

Idiomas disponibles
  • ES

Idiomas disponibles

  • ESPAÑOL, página 58
Uendeshaji Ukitumia
Maagizo ya Kuardhisha
Shinikizo-kisafishaji hiki lazima kiardhishwe. Kikiharibika
au kupata hitilafu yoyote, kuardhisha hutoa njia ya ukataaji
wa chini zaidi wa mkondo wa umeme ili kupunguza hatari
ya mshtuko wa umeme. Shinikizo-kisafishaji hiki kina
kamba ambayo ina kondakta inayoardhisha kifaa na kizibo
kilichoardhishwa. Kizibo kile lazima kiingizwe kwenye asili
ya umeme iliyosakinishwa vizuri kabisa na kuardhishwa
kulingana na sheria na kanuni za ndani.
ONYO! Uunganishi mbaya wa kondakta ya
kuardhisha huweza kusababisha hatari ya mshtuko
wa umeme. Usirekebishe kizibo cha shinikizo-
kisafishaji. Iwapo hakitoshei kwenye asili ile ya umeme,
hakikisha fundi wa umeme ameweka asili ipasayo. USITUMIE
aina yoyote ya adapta yoyote kwenye shinikizo-kisafishaji hiki.
ILANI Tumia maji safi yaliyochungwa kabisa PEKEE.
USITUMIE maji maji mengine yanayoweza kuwaka moto
au kuziba mfumo ule.
1. Ondoa kifuniko cha mtungi wa maji na tubu kwenye
mtungi wa maji (1,F).
2. Jaza mtungi na maji safi yaliyochungwa vizuri kabisa.
ILANI Ili kuhakikisha uendeshaji mzuri wa shinikizo-kisafishaji,
tumia maji safi yaliyochungwa vizuri kabisa. Mabaki ya mawe
ya chokaa huenda yakaathiri usambazaji wa mvuke katika
vipindi vya uendeshaji wa kawaida, kusababisha mivujo
ya maji, uzibaji wa nozeli na mpira wa shinikizo-kisafishaji).
Haya yakitokea, tafadhali wasiliana na Mhudumu wa Briggs
& Stratton aliyeidhinishwa. USITUMIE maji maji mengine
yanayoweza kuwaka moto au kuziba mfumo ule.
3. Weka tubu ya kufyonza na kifuniko kwenye mtungi wa maji.
ONYO! Maeneo moto na mvuke utolewao
na bunduki-iachiliayo mvuke huweza
kusababisha michomo isabishayo jeraha
sugu. UIGUSE jeti ya mvuke au mwisho wa nozeli kwa
mikono wakati wa utumiaji. Acha kifaa kipoe kabla ya
kukigusa. DAIMA elekeza bunduki-iachiliayo mvuke kwenye
eneo salama wakati mfumo unafanya kazi. USIELEKEZE
bunduki-iachiliayo mvuke kwa watu au wanyama.
ILANI Si lazima Mpira wa maji wa shamabani na mpira
wa shinikizo la juu iunganishwe ili kutumia mvuke.
4. Fanya hatua 1 - 5 kwenye Kuwasha Shinikizo-Kisafishaji.
5. Geuza swichi kuu iwe katika hali ya STEAM function
yaani uendeshaji unaotumia mvuke (II) (9,C) na usubiri
kwa SEKUNDE 60 ili mvuke ujae na ufanye kazi vizuri.
ILANI Wakati kikabaji bunduki-iachiliayo mvuke kimefinywa
kwa mara ya kwanza, kiwango kidogo cha maji huenda
kitangulie mvuke. DAIMA elekeza bunduki-iachiliayo mvuke
kwenye eneo salama.
ILANI Usiwahi acha mtungi wa maji ukaisha maji kabisa
kabisa. Jaza upya mtungi ule wakati kiwango cha maji
kifikapo 1/4 ya mjao. Uendeshaji shinikizo-kisafishaji bila
maji huweza kuharibu pampu ya kujazia bwela.
6. Elekeza bunduki-iachiliayo kwenye eneo salama,
ondoa kifunga kikabaji na ufinye kikabaji. Mvuke
utaachiliwa kupitia nozeli ile.
Mvuke
1 9
Baada ya Kila Matumizi
Maji hayapaswi kubakia kwenye kifaa kile kwa vipindi virefu
vya muda. Mabaki ya mchanga au madini huenda yakabakia
kwenye sehemu za pampu ile na "kuzuia" ufanyaji kazi wa
pampu. Fuata taratibu zifuatazao baada ya kila matumizi:
1. Ondoa yaliyomo kwenye mtungi wa sabuni (1G, 10),
ongeza lita 0.5 (0.5 quart) ya maji, na uendeshe kwa
dakika 1-2 na ncha nyeusi ya kifukizia. Ondoa maji
kwenye mtungi wa sabuni.
2. Bonyeza swichi kuu ya ON/OFF yaani kuwasha/
kuzima (1,L) iwe katika hali ya OFF (0) (9,A). Ondoa
kizibo cha kamba ya nguvu za umeme umemeni.
3. Funga asili ya maji/mfereji. Elekeza bunduki-iachiliayo
kwenye eneo salama, finya kitufe kifungacho kikabaji,
na ufinye kikabaji ili uachilie shinikizo lililotekwa.
4. Tenga mpira wa maji wa shambani kwenye ghuba ya
maji. Tenga mpira wa shinikizo la juu kwenye bunduki-
iachiliayo, na kiachiliacho shinikizo la juu.
5. Ondoa maji kwenye mpira na kifaa-kifukizi, pangusa
maeneo yote ya nje.
6. Ondoa maji kwenye pampu kwa kugeuza kifaa kile
kwa upande wake wa kulia (ghuba ya maji ikiangalia
chini) kwa dakika mbili. Pindua kifaa kile na ufinye
kiachiliacho shinikizo la juu kwa dakika zingine mbili.
7. Hifadhi mpira wa shinikizo la juu (1,J) chini ya mtungi
wa maji.
8. Hifadhi kifaa-kifukizi na kijiti-kipini cha plastiki kwenye
vishikiliaji. Hifadhi ncha za kufukizia kwenye kishikiliaji
kwenye kijiti-kipini cha chuma. Angalia Sifa na Vidhibiti.
9. Hifadhi kifaa kile katika eneo safi, lililokauka.
10. Iwapo unakihifadhi kwa zaidi ya siku 30, angalia
Uhifadhi.
Udumishaji
Mapendekezo ya Kawaida
Udumishaji wa kiumeme utaboresha utendakazi wa shinikizo-
kisafishaji na kukipa maisha marefu. Muone Mhudumu yeyote
wa Briggs & Stratton Aliyeidhinishwa kwa utoaji huduma.
USIWARUHUSU watoto wasafishe au kuidumisha bila usimamizi.
Udhamini wa shinikizo-kisafishaji hiki kitumiacho umeme
haushughulikii vyombo vilivyotumiwa vibaya na mtumiaji au
vilivyoharibika kutokana na ajiza ya mtumiaji. Ili upate thamani
kamili ya udhamini, mtumiaji lazima adumishe shinikizo-
kisafishaji hiki kama ilivyoelezwa kwenye mwongozo huu,
ikiwemo uhifadhi ufaao kama ilivyoainishwa kwenye Uhifadhi.
ONYO! Ili kuhakikisha usalama wa mashine, tumia
sehemu-geuzi asilia kutoka kwa mtengenezaji ama
zilizoidhinishwa na mtengenezaji. Iwapo una maswali
yoyote kuhusu ugeuzaji wa vijenzi vya shinikizo-kisafishaji chako,
tafadhali tembelea tovuti yetu kwenye BRIGGSandSTRATTON.
COM.Ikiwa kamba imeharibika, tembelea Kituo cha Huduma
Kilichoidhinishwa na Briggs & Stratton.
1
9 10
7 7

Publicidad

Tabla de contenido
loading

Este manual también es adecuado para:

020628-00020673-00

Tabla de contenido