Briggs & Stratton 110000 Manual Del Operario página 48

Ocultar thumbs Ver también para 110000:
Tabla de contenido

Publicidad

Idiomas disponibles
  • ES

Idiomas disponibles

  • ESPAÑOL, página 16
Usigongegonge gurudumu la kuongeza kasi ya injini kwa nyundo au kifaa kigumu
kwa sababu gurudumu la kuongeza kasi ya injini linaweza kuvunjika wakati wa
kuendesha.
Wakati wa kujaribu cheche:
Tumia kifaa kilichoidhinishwa cha kujaribu plagi ya spaki.
Usikague cheche na kiziba cheche imeondolewa.
Vipengele na Vidhibiti
Vidhibiti vya Injini
Linganisha mifano (Kielelezo: 1, 2, 3, 4, 5) na injini yako ili kujifahamisha na eneo la
vipengele na vidhibiti mbalimbali.
A.
Namba za Kutambulisha Injini Muundo - Aina - Msimbo
B.
Plagi ya Spaki
C.
Sehemu ya Kushika ya Kamba ya Kianzishaji
D.
Tangi na Kifuniko cha Mafuta
E.
Kisafishaji Hewa
F.
Kifaa cha Kupima Oili
G.
Kifuniko cha Kumwaga Oili
H.
Mafla, Kilinda Mafla (iwapo kipo), Kishika Spaki (iwapo kipo)
I.
Kidhibiti Injini (iwapo kipo)
J.
Chujio la Mafuta (iwapo lipo)
K.
Grili ya Kuingiza Hewa
L.
Vali ya Kufungia Mafuta (iwapo ipo)
M.
Chujio la Oili (iwapo lipo)
N.
Swichi ya Kusimamisha (iwapo ipo)
O.
Choki (iwapo ipo)
Ishara za Kudhibiti Injini na Maana
Ishara
Maana
Kasi ya injini - HARAKA
Kasi ya injini - SIMAMA
Kuwasha injini - Choki
IMEFUNGWA
Kifuniko cha Mafuta
Kizima fueli -
KILICHOFUNGULIWA
Kiwango cha mafuta - Upeo
Usijaze kupita kiasi
Uendeshaji
Mapendekezo ya Mafuta
Kiwango cha Mafuta: Tazama Vipimo Maalum sehemu.
48
Ishara
Maana
Kasi ya injini - POLEPOLE
WASHA - ZIMA
Kuwasha injini - Choki
IMEFUNGULIWA
Kizima fueli -
KILICHOFUNGWA
Notisi
Injini hii ililetwa kutoka Briggs & Stratton bila mafuta. Watengenezaji au wauzaji vifaa
huenda waliongeza mafuta kwenye injini. Kabla ya kuwasha injini kwa mara ya kwanza,
hakikisha umekagua kiwango cha mafuta na umeongeza mafuta kulingana na maagizo
kwenye mwongozo huu. Iwapo utawasha injini bila mafuta, itaharibika hadi kushindwa
kukarabatiwa na hutafidiwa chini ya udhamini huu.
Tunapendekeza matumizi ya mafuta Yaliyoidhinishwa na Udhamini wa Briggs & Stratton
kwa utendakazi bora. Mafuta mengine yaliyo na sabuni ya kiwango cha juu yanakubalika
iwapo yamebainishwa kwa huduma ya SF, SG, SH, SJ au ya juu zaidi. Usitumie vitegemezi
maalum.
Halijoto ya nje inatambua mnato sahihi wa mafuta wa injini. Tumia chati kuteua mnato
bora wa masafa ya halijoto ya nje inayotarajiwa. Injini katika vifaa vingi vya nje huendeshwa
vizuri na mafuta ya Kisinthetiki ya 5W-30. Kwa vifaa vinavyoendeshwa katika halijoto ,
mafuta ya Kisinthetiki ya Vanguard™ 15W-50 hutoa ulinzi bora zaidi.
A
SAE 30 - Chini ya 40 °F (4 °C) matumizi ya SAE 30 yatasababisha ugumu wa
kuwaka.
B
10W-30 - Juu ya 80 °F (27 °C) matumizi ya 10W-30 yanaweza kusababisha
uongezekaji wa matumizi ya mafuta. Angalia kiwango cha mafuta mara kwa mara.
C
5W-30
D
Sinthetiki 5W-30
E
Vanguard™ Synthetic 15W-50
Angalia au Ongeza Oili
Tazama Kielelezo: 6
Kabla ya kukagua au kuongeza mafuta
Hakikisha kuwa mtambo uko katika kiwango.
Safisha eneo la kujaza mafuta kutokana na uchafu wowote.
Tazama Vipimo Maalum sehemu ya uwezo wa mafuta.
Notisi
Injini hii ililetwa kutoka Briggs & Stratton bila mafuta. Watengenezaji au wauzaji kifaa
huenda waliongeza mafuta kwenye injini. Kabla ya kuwasha injini kwa mara ya kwanza,
hakikisha umekagua kiwango cha mafuta na umeongeza mafuta kulingana na maagizo
kwenye mwongozo huu. Iwapo utawasha injini bila mafuta, itaharibika hadi kushindwa
kukarabatiwa na hutafidiwa chini ya udhamini huu.
Kagua Kiwango cha Mafuta
1.
Ondoa kifaa cha kuangalia kiwango cha mafuta (A, Kielelezo 6) na upanguse kwa
kitambaa safi.
2.
Sakinisha na ukaze kifaa cha kuangalia kiwango cha mafuta (A, Kielelezo 6).
3.
Ondoa kifaa cha kupima mafuta na ukague kiwango cha mafuta. Kiwango sahihi cha
mafuta kiko juu ya kiashiria kilichojaa (B, Kielelezo 6) kwenye kifaa cha kupimia
kiwango cha mafuta.
Ongeza Mafuta
1.
Iwapo kiwango cha mafuta kiko chini, ongeza mafuta kwenye eneo la mafuta la injini
taratibu (C, Kielelezo 6). Usijaze kupita kiasi. Baada ya kuongeza mafuta, subiri
dakika moja na kisha uangalie kiwango cha mafuta.
2.
Sakinisha upya na ukaze kifaa cha kuangalia kiwango cha mafuta (A, Kielelezo 6).
Mapendekezo ya Fueli
Lazima fueli ikithi mahitaji haya:
BRIGGSandSTRATTON.com

Publicidad

Tabla de contenido
loading

Este manual también es adecuado para:

120000

Tabla de contenido