2.
Weka uhusiano, springi na vidhibiti safi.
3.
Weka ene lililo karibu na nyuma ya mafla, iwapo ipo, huru kutokana na uchafu wowote
unaoweza kuwaka.
4.
Hakikisha mapezi ya kupoesha mafuta, iwapo yapo, yako huru kutokana na uchafu.
Baada ya kipindi cha muda, uchafu unaweza kukusanyika kwenye mapezi ya kupoesha
silinda na kusababisha injini kuwa moto kushinda kiasi. Uchafu huu hauwezi kuondolewa
bila kutokusanyika kwa kiasi fulani kwa injini. Ruhusu Mtoa Huduma wa Briggs & Stratton
Aliyeidhinishwa kukagua na kusafisha mfumo wa kupoesha hewa kama ilivyopendekezwa
kwenye Ratiba ya Udumishaji.
Uhifadhi
Onyo
Mafuta na mvuke wake unaweza kuwaka moto na kulipuka kwa haraka sana.
Moto au mlipuko unaweza kusababisha majeraha mabaya ya kuchomeka au kifo.
Wakati wa Kuhifadhi Mafuta Au Kifaa Kilicho na Mafuta Kwenye Tangi
•
Hifadhi mbali na tanuu, stovu, hita za kuchemshia maji, au vitu vingine ambavyo vina
taa za moto au vyanzo vya mwako kwa sababu vinaweza kuwasha moto kwenye
mvuke wa mafuta.
Mfumo wa Mafuta
Tazama Kielelezo: 20, 21
Kumbuka: Aina zingine za kifaa hiki zina tangi la mafuta la uhifadhi wima ambao unaruhusu
injini kuinama kwa ajili ya udumishaji au uhifadhi (C, Kielelezo 20). Usihifadhi ikiwa wima
wakati tangi la mafuta limejaa kupita kiwango cha alama ya kiwango cha mafuta (D), iwapo
kipo. Kwa maagizo zaidi, tazama mwongozo wa kifaa.
Hifadhi kiwango cha injini (mkao wa kawaida wa kuendesha). Jaza tangi la mafuta (A,
Kielelezo 21) kwa mafuta. Ili kuruhusu uvukizi wa mafuta, usijaze kupita chini ya shingo
la tangi la mafuta (B).
Mafuta yanaweza kuharibika yakihifadhiwa kwa zaidi ya siku 30. Mafuta yaliyoharibika
yanasababisha mabaki ya asidi na gundi kukusanyika katika mfumo wa mafuta au kwenye
sehemu muhimu za kabureta. Ili kuhifadhi usafi wa mafuta , tumia Fomula Iliyoboreshwa
ya Briggs & Stratton ya Fueli Matibabu & Vidhibiti, inayopatikana mahali popote ambapo
sehemu halisi za Briggs & Stratton zinauzwa.
Hakuna haja ya kumwaga petroli kutoka kwenye injini ikiwa kiimarishaji mafuta kimeongezwa
kulingana na maagizo. Endesha injini kwa dakika mbili (2) ili kueneza kiimarishaji kote
kwenye mfumo wa mafuta kabla ya kuhifadhi.
Ikiwa petroli ilio kwenye injini haijatibiwa kwa kiimarishaji mafuta, ni lazima imiminwe
kwenye kontena iliyoidhinishwa. Endesha injini hadi isimame kutokana na ukosefu wa
mafuta. Matumizi ya kiimarishaji mafuta kwenye kontena ya uhifadhi yanapendekezwa ili
kudumisha usafi.
Oili ya Injini
Wakati injini bado ina joto, badilisha oili ya injini. Tazama sehemu ya Badilisha Oili . Kwa
miundo ya Just Check & Add™ hauhitaji kubadilisha oili.
Utafutatuzi
Kwa usaidizi, wasiliana na mhudumu wa karibu au nenda kwenye
BRIGGSandSTRATTON.com au piga 1-800-233-3723 (Marekani).
Maelezo
Muundo: 110000
Unyonyaji Mafuta
Shimo
Mpigo
Kiwango cha Oili
Pengo la Plagi ya Spaki
Mkufu wa Plagi ya Spaki
Pengo la Hewa
Mwanya wa Vali ya Kuingiza Hewa
Mwanya wa Vali ya Ekzosi
10.69 ci (175 cc)
2.583 in (65,61 mm)
2.040 in (51,82 mm)
18 - 20 oz (,54 - ,59 L)
.020 in (,51 mm)
180 lb-in (20 Nm)
.010 - .014 in (,25 - ,36 mm)
.004 - .008 in (,10 - ,20 mm)
.004 - .008 in (,10 - ,20 mm)
Muundo: 120000
Unyonyaji Mafuta
Shimo
Mpigo
Kiwango cha Oili
Pengo la Plagi ya Spaki
Mkufu wa Plagi ya Spaki
Pengo la Hewa
Mwanya wa Vali ya Kuingiza Hewa
Mwanya wa Vali ya Ekzosi
Nguvu ya injini itapungua kwa 3.5% kwa kila futi 1,000 (mita 300) juu ya kiwango cha
bahari na 1% kwa kila 10° F (5.6° C) juu ya 77° F (25° C). Injini itaendesha kwa kuridhisha
katika pembe ya hadi 15°. Rejelea mwongozo wa mwendeshaji kli kufahamu viwango
salama vinavyoruhusiwa kwenye miteremko.
Sehemu za Udumishaji - Muundo: 110000, 120000
Sehemu za Udumishaji
Chujio la Hewa la Povu (Kielelezo 17)
Chujio la Hewa la Karatasi (Kielelezo 18)
Chujio la Hewa, Kisafishaji Hewa cha Awali, (Kielelezo 18)
Oili - SAE 30
Usafishaji & Uimarishaji Mafuta wa Fomula Kuu
Chujio la Mafuta
Plagi ya Spaki ya Kifaa Kisichopitisha Nishati
Kifaa cha Kutega Plagi ya Spaki
Kifaa cha kujaribu Spaki
Tunapendekeza kwamba umwone Muuzaji yeyote Aliyeidhinishwa wa Briggs & Stratton
ili kupata udumishaji na huduma zote za injini na sehemu za injini.
Ukadiriaji wa Nishati: Ukadiriaji wa pato la nishati kwa kila modeli ya injini ya petroli
imewekwa alama kwa kuzingatia SAE (Jumuiya ya Wahandisi wa Magari) msimbo J1940
Nishati ya Injini Ndogo & Utaratibu wa Ukadiriaji wa Toku, na umekadiriwa kwa kuzingatia
SAE J1995. Thamani ya toku inafikia 2600 RPM kwa injini hizi kwa "rpm" iliyowekwa
kwenye lebo na 3060 RPM kwa vingine vote; thamani ya nishati ya chaja inafikia 3600
RPM. Vizingo vya mapato ya nishati vinaweza kutazamwa katika
www.BRIGGSandSTRATTON.COM. Thamani halisi ya nishati inachukuliwa kwa eneo la
injini la kutolea injini na kisafishaji wa injini iliyosakinishwa ambapo thamani ya mapato ya
injini yanakusanywa bila viambatisho hivi. Mapato halisi ya nishati ya injini yatakuwa juu
kuliko nishati ya injini na yanaathiriwa na, miongoni mwa mambo mengine, hali iliyoko ya
kuendesha na utofauti wa injini hadi nyingine. Kwa kuwa mpangilio mpana wa bidhaa
ambayo injini imewekwa, injini ya petroli inaweza kuwa na mapato ya nishati iliyokadiriwa
wakati inatumika katika kifaa fulani cha nishati. Tofauti hii inatokana na sababu mbalimbali
zikijumuisha, lakini zisizokithi kwa, vijenzi mbalimbali vua injini (kisafishaji cha hewa, eneo
la injini la kutolea moshi, pampu ya fueli n.k.), upungufu wa utekelezaji, hali zilizoko za
kuendesha (hali joto, unyevunyevu, mwinuko), na utofauti wa injini hadi injini. Kutokana
na upungufu wa utengenezaji na viwango, Briggs & Stratton inaweza kubadilisha injini na
nishati iliyokadiriwa juu kwa injini hii.
Udhamini
Hakikisho la Injini ya Briggs & Stratton
Kuanzia Januari 2018
Hakikisho lenye Kipimo
Briggs & Stratton inatoa hakikisho kwamba, wakati wa kipindi cha hakikisho kilichobainishwa
hapa chini, itafanyia ukarabati au kubadilisha, bila malipo, sehemu yoyote ambayo ina
matatizo katika nyenzo au ufanyakazi au yote mawili. Gharama za usafirishaji bidhaa
zilizowasilishwa ili kufanyiwa ukarabati au kubadilishwa chini ya hakikisho hili ni lazima
zigharimiwe na mnunuzi. Hakikisho hili linatumika na liko chini ya vipindi vya muda na
masharti yaliyoelezwa hapa chini. Ili kupata huduma ya hakikisho, tafuta Muuzaji Huduma
Aliyeidhinishwa aliye karibu zaidi nawe kwenye ramani yetu ya kutafuta wauzaji kwenye
BRIGGSandSTRATTON.COM. Ni lazima mnunuzi awasiliane na Muuzaji Huduma
Aliyeidhinishwa, na kisha apeleke bidhaa kwa Muuzaji Huduma huyo Aliyeidhinishwa ili
kufanyiwa ukaguzi na majaribio.
Hakuna hakikisho lingine la haraka. Hakikisho zilizoashiriwa, ikiwa ni pamoja na lile
wa uuzaji na uzima kwa ajili ya dhumuni fulani, zina kipimo cha kipindi cha hakikisho
kilichoorodheshwa hapa chini, au kwa kiasi kilichoruhusiwa na sheria. Dhima ya
11.58 ci (190 cc)
2.688 in (68,28 mm)
2.040 in (51,82 mm)
18 - 20 oz (,54 - ,59 L)
.020 in (,51 mm)
180 lb-in (20 Nm)
.010 - .014 in (,25 - ,36 mm)
.004 - .008 in (,10 - ,20 mm)
.004 - .008 in (,10 - ,20 mm)
Nambari ya Sehemu
797301
795066, 5419
796254
100005
100117, 100120
298090, 5018
692051, 692720
89838, 5023
19368
53