• Usigonge gurudumu la kuongeza kasi ya injini kwa nyundo au kifaa kigumu
kwa sababu gurudumu la kuongeza kasi ya injini linaweza kuvunjika wakati wa
kuendesha.
Wakati wa kujaribu cheche:
• Tumia kijaribio cha kuziba cheche kilichoidhinishwa.
• Usikague injini wakati kuziba cheche imeondolewa.
Huduma ya Udhibiti wa Mafukizo
Udumishaji, ubadilishaji, au ukarabati wa vifaa na mifumo ya kudhibiti mafukizo
unaweza kutekelezwa na kituo chochote au mtu yeyote wa kukarabati injini. Hata
hivyo, ili kupata huduma ya kudhibiti mafukizo ya "bila malipo", ni lazima kazi ifanywe na
mtoa huduma aliyeidhinishwa na kiwanda. Tazama Taarifa ya Udhibiti wa Mafukizo.
Ratiba ya Udumishaji
Saa 5 za Kwanza
• Badilisha mafuta
Kila Baada ya Saa 8 au Kila siku
• Angalia kiwango cha mafuta ya injini
• Safasha maeneo yaliyo karibu na mafla na vidhibiti
• Safisha grili ya kuingiza hewa
Kila Baada ya Saa 25 au Kila mwaka
• Safisha kichuja chewa
1
• Safisha kichujio cha mwanzo
1
Kila Baada ya Saa 50 au Kila mwaka
• Badilisha mafuta ya injini
• Angalia mafla na kidhibiti cheche
Kila baada ya Saa 100
• Badilisha gia ya kupunguza mafuta (iwapo ipo)
Kila mwaka
• Badilisha kuziba cheche
• Badilisha kichuja fueli
• Badilisha kisafishaji cha mwanzo
• Safisha mfumo wa kupoesha hewa
1
Katika hali ya vumbi au uchafu unaosambazwa na hewa upo, safisha mara kwa
mara.
Kabureta na Kasi ya Injini
Kamwe usifanye marekebisho kwenye kabureta au kasi ya injini. Kabureta iliwekwa
kwenye kiwanda kufanya kazi kwa ufanisi chini ya masharti mengi. Usihitilafiane na
springi ya kidhibiti, uhusiano au sehemu nyingine ili kubadilisha kasi ya injini. Iwapo
marekebisho yoyote yanahitajika wasiliana na Mtoa Huduma wa Briggs & Stratton
Aliyeidhinishwa kwa huduma.
Notisi
Mtengenezaji wa kifaa hubainisha kasi ya juu ya injini kama ilivyosakinishwa
kwenye kifaa. Usizidi kasi hii. Iwapo huna uhakika kasi ya juu ya kifaa hiki ni ipi, au
kasi ya injini imewekwa kwa kutoka kwenye kiwanda, wasiliana na Mtoa Huduma wa
Briggs & Stratton Aliyeidhinishwa kwa usaidizi. Kwa oparesheni salama na sahihi ya
kifaa, kasi ya injini inafaa kurekebishwa na mtaalam wa huduma aliyehitimu tu.
Shughulikia Kuziba Cheche
Tazama Kielelezo: 6
Angalia nafasi iliyo (A, Kielelezo 6) na kipimo (B). Iwapo ni muhimu, weka upya nafasi.
Sakinisha na ukaze kuziba cheche katika toku iliyopendekezwa. Kwa uwekaji wa nafasi
au toku, tazama Vipimo sehemu .
Kumbuka: Katika baadhi ya maeneo, sheria ya ndani huhitaji kutumia kuziba cheche
ambayo haipitishi nishati ili kupunga ishara za kuwaka. Iwapo injini hii ilikuwa na kuziba
cheche ambayo haipitishi nishati mwanzoni, tumia aina sawa kwa ubadilishaji.
1
Shughulikia Mfumo wa Eneo la kutolea
moshi
Onyo
Injini inayoendesha inazalisha joto. Sehemu za injini, hususan mafla, huwa
moto zaidi.
Kuchomeka vikali kunaweza kusababishwa unapogusana nazo.
Uchafu unaoweza kuwaka, kama vile majani, nyasi, brashi n.k. unaweza
kushika moto.
• Ruhusu mafla, silinda na mapezi ya injini kupoa kabla ya kugusa.
• Ondoa uchafu uliokusanyika kutoka kwenye eneo la mafla na eneo la silinda.
• Ni ukiukaji wa Msimbo wa Rasilimali wa Umma wa California, Sehemu ya 4442,
kutumia au kuendesha injini katika eneo linazungukwa na msitu, lililozungukwa na
brashi, au lililo na nyasi isipokuwa mfumo wa eneo la kutolea moshi una kishika
cheche, kama ilivyofafanuliwa kwenye Sehemu ya 4442, iliyodumishwa kwenye
mpangilio wenye ufanisi wa kufanya kazi. Mamlaka mengine ya Majimbo au
shirikisho yanaweza kuwa sheria sawa. Wasiliana na mtengenezaji wa kifaa asili,
muuzaji wa rejareja, au mtoa huduma ili kupata kishika cheche kilichobuniwa kwa
mfumo wa eneo la kutolea moshi uliosakinishwa kwenye injini hii.
Ondoa uchafu uliokusanyika kutoka kwenye mafla na eneo la silinda. Kagua mafla kwa
nyufa, kutia kutu, au uharibifu mwingine. Ondoa kifaa cha kusonga au kishika cheche,
iwapo kipo, na ukague kwa uharibifu au uzuiaji wa kaboni. Iwapo uaribifu utapatikana,
sakinisha sehemu za ubadilishaji kabla ya kuendesha.
Onyo
Sehemu za ubadilishaji lazima ziwe sawa na zilizosakinishwa katika eneo sawa
kama sehemu asili. Sehemu zingine huenda zisitekeleze vilevile, zinaweza kuharibu
kitengo, na inaweza kusababisha majeraha.
Badilisha Mafuta ya Injini
Tazama Kelelezo: 7, 8
Mafuta yaliyotumiwa bidhaa taka yenye madhara na lazima itupwe vizuri. Usitupe
pamoja na taka ya nyumbani. Wasiliana na mamlaka yako ya ndani, kituo cha usaidizi
au mtoa huduma kwa utupaji/kutumia upya salama kwa bidhaa.
Ondoa Mafuta
1.
Injini ikiwa bado ina joto, tenganisha waya wa kiziba cheche (D, Kielelezo 7) na
uhifadhi mbali na kiziba cheche (E).
2.
Ondoa kifaa cha kupima mafuta (A, Kielelezo 8).
3.
Ondoa kiziba cha kutoa mafuta (F, Kielelezo 8). Weka mafuta kwenye kontena
iliyoidhinishwa.
Kumbuka: Viziba cheche mbalimbali vya kutoa mafuta (G, Kielelezo 8) vinasakinishwa
kwenye injini.
4.
Baada ya mafuta kutolewa, sakinisha na ukaze kiziba cha kutoa mafuta (F,
Kielelezo 8).
Ongeza Mafuta
• Hakikisha injini iko katika kiwango.
• Safisha eneo la kujaza mafuta kutokana na uchafu wowote.
• Tazama Vipimo katika eneo la kiwango cha mafuta.
1.
Ondoa kifaa cha kuangalia kiwango cha mafuta na upanguse kwa kitambaa safi
(A, Kielelezo 8).
2.
Polepole weka mafuta kwenye eneo la kuweka mafuta la injini (C, Kielelezo 8).
Jaza hadi sehemu ya kufurika.
3.
Sakinisha kifaa cha kupima mafuta (A, Kielelezo 8). Usigeuze au kukaza.
4.
Ondoa kifaa cha kupima mafuta na ukague kiwango cha mafuta. Kiwango sahihi
cha mafuta ni ju ya kiashiria cha kilichojaa (B, Kielelezo 8) kwenye kifaa cha
kupima mafuta.
5.
Sakinisha upya na ukazi kifaa cha kupima mafuta (A, Kielelezo 8).
6.
Unganisha waya ya kuziba cheche (D, Kielelezo 7) kwenye kuziba cheche (E).
Badilisha Mafuta ya Kupunguza Gia
Tazama Kelelezo: 9, 10
Upunguzaji Gia wa 6:1 (Kielelezo 9)
41