Utatuzi
Tatizo
Pampu ina shida zifuatazo:
Kushindwa kuzalisha shinikizo,
shinikizo zisizokuwa na uhakika,
kelele nyingi, kupoteza shinikizo,
kiwango cha maji kilicho chini.
Sabuni inashindwa kuchanganyika
na mfukizo.
Injini inaenda vizuri wakati hakuna
mzigo lakini inakwama wakati
mzigo unaongezwa.
Injini haiwaki, inazimika wakati
wa inatumika au inawaka na
kunguruma vibaya.
Kwa masuala mengine yote, mwone muuzaji wa Briggs & Stratton.
Vipengele Maalum
Kiwango cha ju zaidi cha shinikizo inayoachiliwa . . . . 20.7 MPa* (3,000 PSI or 207 BAR) @ 9.1 liters/min (2.4 GPM)
Kiwango cha juu zaidi cha kutiririka . . . . . . . . . . . . . 17.9 MPa (2,600 PSI au 179 BAR) @ 10.6 lita/dakika* (2.8 GPM)
Temprecha ya Maji ya Juu . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . .38°C (100°F)
Usambazaji. . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . 208 cc (12.69 cu. in.)
Pengo ya Spaki Plagi . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . milimita 0.76 (0.030 in.)
Kiwango cha juu zaidi cha Mafuta. . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . lita 2.8 (3.0 Qt.)
Kiasi cha Mafuta . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . lita 0.6(aunzi 20)
Shinikizo cha Sauti @ 3 m . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . .90 dBA §
Vifaa vya Huduma
Vifaa vya Ukarabati wa O-Ring . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . .705002
Pazia ya Kuingiza Maji . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . .B2384GS
Chupa ya Mafuta ya Injini . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . 100005E
PumpSaver. . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . 6039
Upimaji Wa Nguvu Ya Stima: Upimaji wa nguvu yote kwa ujumla ya injini ya petroli imewekewa lebo kulingana na kodi ya SAE (Society of
Automotive Engineers) J1940 mfumo wa kupima nguvu ya injini ndogo, na ilipimwa kwa mujibu wa SAE J1995. Viwango vya msongonyo
hupatikana katika 2600 RPM kwa injini ambazo zina "rpm" zilizotajwa kwenye lebo na 3060 RPM kwa ajili ya ziingine zote; viwango vya nguvu
ya farasi hupatikana katika 3600 RPM. Vizingo vya nguvu jumla vinaweza kutazamwa kwa www.BRIGGSandSTRATTON.COM. Matokeo ya
nguvu yanachukuliwa na eksozi na kichujio cha hewa zikitumika ilhali nguvu jumla zinapatwa bila kuziongeza. Nguvu ya injini kwa ujumla itakuwa
nyingi kuliko nguvu ya injini na inaathiriwa na mazingira ya operesheni na tofauti ya injini zinazotimika. Kutokana na upana wa bidhaa ambazo
injini zimewekwa, injini za petroli zinawezekana zisitoe nguvu zilizopimiwa nayo wakati zimetumika katika kifaa kinachotumia nguvu yake. Utofauti
unatokana na mseto wa mambo yakiwemo, lakini si tu, mseto wa viungo vya injini (kisafishaji cha hewa, kitoaji moshi, kuchaji, kupoa, kabyureta,
pampu ya mafuta, nk), upungufu wa matumizi, hali bora za undeshwaji (halijoto, hali ya unyevunyevu, uwepo wa milima), na utofauti wa injini-hadi-
injini. Kutokana na upungufu wa utengenezaji, Briggs & Stratton inaweza kusawazisha injini iliyo na nguvu za juu zaidi kwa injini hii.
* kioshaji cha shinikizo hiki kimesawazishwa kulingana na Chama cha Watengenezaji wa Vioshaji vya Presha (PWMA) kiwango PW101-
2010(Upimaji na usawazishaji Utendaji wa Vioshaji vya Presha).
§ Viwango bora vilivyopimwa kulingana na Tasmanian Taratibu za Usimamizi wa Kimazingira na Udhibiti wa Uchafuzi wa Hewa (Sauti Mbalimbali).
10
10
Sababisho
1. Ncha ya Kufukiza ya shinikizo kidogo
imewekwa.
2. Tundu la kuingiza maji limezibwa.
3. Upungufu wa maji.
4. Mpira wa maji unaoleta maji umekunjana au
unavuja.
5. Pazia ya mpira wa maji unaoleta maji
imezibwa.
6. Maji yanayosambazwa yako juu ya 38°C
(100°F).
7. Mpira wa maji ulio na shinikizo ya juu
imezibwa au inavuja.
8. Bunduki ya mfukizo inavuja.
9. Ncha ya Kufukiza imezibwa.
1. Tubu ya kutoa sabuni haijachovya.
2. Tubu ya sabuni imezibwa ama imepasuka.
3. Ncha ya Kufukiza ya shinikizo ya juu
imewekwa.
4. Angalia kama mpira umekwama katika
mfumo wa sabuni.
Kasi ya injini ni ya polepole zaidi.
1. Swichi ya injini iko katika nafasi ya OFF (0).
2. Kiwango ya chini ya mafuta.
3. Mafuta yameisha.
4. Waya ya spaki plagi haikuwa
imeshikanishwana spaki plagi yenyewe.
5. Mafuriko.
Sahihisho
1. Badilisha na ncha ya kufukiza iliyo na
shinikizo ya juu.
2. Safisha tundu la kuingizia maji.
3. Patiana mtiririko wa maji unaotosha.
4. Nyoosha mpira wa maji, weka kiraka kwa
sehemu inayovuja.
5. Angalia na usafishe pazia ya tundu la mpira
wa maji.
6. Sambaza maji yaliyo baridi.
7. Toa uchafu kwa tundu la kutoa la mpira wa
maji, badilisha kama inavuja.
8. Badilisha bunduki ya mfukizo.
9. Safisha ncha ya kufukiza.
1. Weka tubu ya kutoa sabuni kwa sabuni.
2. Safisha au badilisha tubu ya kutoa
sabuni.
3. Badilisha na ncha ya kufukiza nyeusi.
4. Kagua mpira wa ufyonzaji wa sabuni.
Songeza wenzo ya transfoma ndogo ya gari
hadi kwa nafasi ya(
)FAST.
1. Weka swichi ya injini kwa nafasi ya ON (I).
2. Jaza kifuniko ya fitokombo kwa kiwango
sahihi.
3. Jaza tenki ya mafuta.
4. Unganisha wire kwa kizibaji cha cheche
5. Subiri dakika 5 na washa injini tena.
BRIGGSandSTRATTON.COM
BRIGGSandSTRATTON.COM