Briggs & Stratton WP2-60 Manual Del Usuario página 208

Tabla de contenido

Publicidad

Idiomas disponibles
  • ES

Idiomas disponibles

  • ESPAÑOL, página 60
Kumwaga Kioevu Katika Pampu ya Maji
Kielelezo
14
1. Kutoa Kizibo cha Msukumo kutoka juu ya pampu.
2. Jaza pampu na maji safi hadi kiwango
kilichoonyeshwa.
3. Badilisha kizibo cha msukumo.
NOTISI Matumizi mabaya ya pampu ya kupiga maji
yaweza kuiharibu na kufupisha maisha yake.
• Hakikisha kuwa chumba cha pampu kimejazwa maji
kabla ya kungurumisha mtambo. Usiendeshe mtambo
huu bila ya kujaza maji ya msukumo.
Weka Kapu la Kuchuja Katika Chanzo cha
Maji Kielelezo
15
Weka kapu la kuchuja katika maji yatakayopigwa. Kapu
lazima lizame kikamilifu katika maji. Kupunguza ufyonzi
wa mchanga au uchafu, weka kapu la kuchuja juu ya
mawe makacha.
NOTISI Matumizi mabaya ya pampu ya kupiga maji
yaweza kuiharibu na kufupisha maisha yake.
• USIENDESHE KAMWE mtambo bila kapu la kuchujia
katika upande wa kufyonza.
• Usiweke kichujio katika mchanga ama uchafu - weka
katika ndoo au juu ya mawe.
• USIACHE pampu ingurume hadi ikawa kavu ama
uharibifu wa vikuku vya mpira utasababika. Usiendeshe
mtambo huu bila ya kujaza maji ya msukumo.
• USIFYONZE maji ya chumvi.
Kuwasha Pampu ya Maji Kielelezo
(Modeli za 073010 & 073011) Kielelezo
(Modeli za 073035) Kielelezo
Tumia maelekezo ya kuwasha yafuatayo:
1. Hakikisha mtambo uko juu ya sakafu tambarare na
chumba cha pampu kina maji.
2. Weka kizimi cha mafuta (S) kwa ON (I) kwa (G) hali
ya kamili.
3. Songesha leva ya kusakama (G) hadi katika mkao
wa (
) KUSAKAMA.
4. Elekeza swichi ya "washa/zima"(M) kwa nafasi ya
WASHA (I).
5. Sogeza kidhibiti cha kasi ya injini (L) upande wa (
HARAKA.
ONYO Kurudi kwa kamba ya kiasha mtambo
(kunywea haraka) kwaweza kuvuta mkono
kuuelekekeza kwenye mashine kwa kasi kuliko
unavyoweza kuachilia ambako kunaweza
sababisha kuvunjika kwa mkono, kuvunjika
mifupa, kupata miparuzo ama kuteguka na kusababisha
majeraha mabaya.
• Wakati unapowasha injini, vuta kamba polepole mpaka
pale ambapo utaweza kuhisi upinzani na kisha uvute
kwa haraka ili kuepuka kukataa kuwashwa kwa mtambo.
• Weka mikono na mwili mbali na pampu ya kumwaga.
• Hifadhi bomba la kumwaga kuzuia kugongwa.
6. Kamata nywea za kushughulikia (K) kisha vuta
taratibu hadi uhisi ugumu japo kiduchu. Vuta kipini
cha kasi ili kudhibiti mgandamizo, epuka kurudi kwa
nyuma na kuwasha mtambo.
7. Injini inapopata joto, songeza kikaba hewa (G) kwa
nafasi ya ENDESHA(
hewa kikiwa katika hali ya "RUN".
8
1
2
). Endesha mtambo kikaba
Inaweza chukuwa dakika kadha kwa pampu
NOTISI
kuanza kupiga maji..
Iwapo mtambo hauwaki baada ya mivuto 3
NOTISI
ya mpini, ama inazima baada ya kunguruma, hakikisha
mtambo uko juu ya sakafu tambarare na uangalie
kiwango cha oili katika fitokombo. Mtambo huu unaweza
kuwa na kifaa cha kuukinga dhidi ya kiwango cha
chini cha oili. Ikiwa hivyo, oili sharti iwe katika kiwango
kifaacho kwa mtambo kunguruma.
ONYO Joto la ekzosi/mivuke laweza kuwasha
maunzi ya kuwaka, majenzi ama
kuharibu mtungi wa mafuta, na
kusababisha kifo au majeraha
mabaya. Kugusana na eneo hili la
mafla kunaweza kusababisha kuungua na hivyo basi
kusababisha majeraha mabaya.
• Usiguse sehemu moto na EPUKA gesi moto zinazotolewa.
• Ruhusu vifaa vipoe kabla uviguse.
• Hakikisha kwamba uko mbali na pande zote za
kioshaji kwa presha kwa angaa mita 1.5 (5 ft.)
pamoja na sehemu ile ya juu.
Fanaka ya pampu inadhibitiwa na urekebishaji wa kasi
ya mtambo. Kuelekeza wenzo la kasi ya mtambo kwa
"HARAKA" (
) kutaongeza uzlishaji wa pampu, na
kuelekeza wenzo la kasi katika mtindo wa "POLEPOLE"
(
) kutapunguza uzalishaji.
Kuzima Pampu ya Maji
(Modeli za 073010 & 073011) Kielelezo
(Modeli za 073035) Kielelezo
1. Elekeza wenzo la kasi (L) kwa
POLEPOLE (
ONYO Mafuta na mivuke yake zina hatari ya
kuwaka na kulipuka na zaweza
kusababisha kuchomeka, moto ama
mlipuko unaoweza kusababisha maafa
au majeraha mabaya.
• USIZIME mtambo kwa kusogeza kikaba hewa kwa
msimamo wa CHOKE (
2. Elekeza swichi ya "washa/zima" (M) katika OFF (0)
)
kamili.
3. Weka kizimi cha mafuta kwa (S) hali ya OFF (0)
kamili.
Toa Maji na Kukausha Pampu
(Modeli za 073010 & 073011) Kielelezo
(Modeli za 073035) Kielelezo
1. Tenganisha na kutoa maji kwenye mabomba ya
kufyonza na kumwaga.
2. Toa kizibo cha kumwaga (E) katika kina cha pampu.
3. Toa kizibo cha kulowesha (A) kutoka juu ya pampu
na kukausha vifaa vya ndani vya pampu na maji safi.
4. Rudisha vizibo vyote viwili na kukaza kwa vidole.
1
2
) kamili.
).
1
2
BRIGGSandSTRATTON.COM

Publicidad

Tabla de contenido

Solución de problemas

loading

Este manual también es adecuado para:

Wp3-65Wp2-35073010-01073011-01073035-00

Tabla de contenido