Briggs & Stratton WP2-60 Manual Del Usuario página 210

Tabla de contenido

Publicidad

Idiomas disponibles
  • ES

Idiomas disponibles

  • ESPAÑOL, página 60
Kutatua Matatizo
Tatizo
Sababisha
Pampu
1. Pampu haijawekwa maji.
kutopiga maji
2. Bomba la kufyonza limefungika,
au kupiga maji
kubonyea, kuharibika, ni refu sana ama
kidogo wakati
duara ya ndani ni ndogo sana.
pampu ya maji
3. Kichujio hakijazama kikamilifu.
inapotumika
4. Bomba la kufyonza linavuja hewa kwa
kiunganishi.
5. Kichujio kimeziba.
6. Kimo cha kilele ni kirefu sana ama kifupi
sana.
7. Wenzo la kasi ya mtambo liko katika
sehemu ya "SLOW".
Mtambo
1. Swichi imeelekezwa kwa "OFF" (0).
haungurumi;
2. Kizimi cha mafuta kimeelekezwa kwa
hauna nguvu;
nafasi ya OFF (0).
unanguruma
3. Kisafisha hewa ni kichafu.
na kukacha;
4. Mafuta yamekwisha.
unazima kama
5. Petroli iliyoharibika au kuchanganyika na maji.
umewashwa
6. Waya ya kiziba cheche haijaunganishwa
ama "kuwinda"
na kiziba cheche.
au kusita.
7. Kizibo cha cheche kibaya.
8. Kuna mafuta mengi katika hewa/
mchanganyiko wa mafuta ukisababisha
hali ya "kufurika".
9. Kabureta haiko kwa laini yake.
Injini inazimika
Mafuta yameisha.
wakati
inaendeshwa.
Ubainishaji wa Kifaa
Modeli 073010
Ubainishaji wa Pampu ya Maji
Kipenyo cha Shimo la Mvuto na Utoaji . . .50 mm (2 in)
Kichwa cha Kiwango cha Juu zaidi cha Mvuto * 8 m (26 ft)
Kichwa cha Kiwango cha Juu zaidi cha Utoaji * 25 m (82 ft)
Kiwango cha Juu zaidi cha Utoaji * 600 l/min (159 US gal/min)
Ubainishaji wa Injini
Unyonyaji Mafuta . . . . . . . . . . . . . . . .206 cc (12.48 in
Kiwango cha Oili . . . . . . . . . . . . . . . . . . . 0.59 l (20 oz)
Modeli 073011
Ubainishaji wa Pampu ya Maji
Kipenyo cha Shimo la Mvuto na Utoaji . . .76 mm (3 in)
Kichwa cha Kiwango cha Juu zaidi cha Mvuto * 8 m (26 ft)
Kichwa cha Kiwango cha Juu zaidi cha Utoaji * 25 m (82 ft)
Kiwango cha Juu zaidi cha Utoaji * 939 l/min (248 US gal/min)
Ubainishaji wa Injini
Unyonyaji Mafuta . . . . . . . . . . . . . . . .206 cc (12.48 in
Kiwango cha Oili . . . . . . . . . . . . . . . . . . . 0.59 l (20 oz)
Vipuri Enevu
Chupa ya Mafuta (oil) ya Injini . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . 100005E au 100007E
Chupa ya Oili Mbadala. . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . 100007W
Kidhibiti cha Mafuta . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . 992380 au 992381
Upimaji Wa Nguvu Ya Stima: Pato la nguvu binafsi kwa mtu binafsi mifano ya injini ya petroli ni kinachoitwa kwa mujibu wa SAE (Society of vya magari
Wahandisi) kificho J1940 Small Engine Power & Torque Upimaji Utaratibu, na ni lilipimwa kwa mujibu wa SAE J1995. Thamani ya toku inafikia 2600
RPM kwa injini hizi kwa "rpm" iliyowekwa kwenye lebo na 3060 RPM kwa vingine vote; thamani ya nishati ya chaja inafikia 3600 RPM. Vizingo vya
mapato ya nishati vinaweza kutazamwa katika www.BRIGGSandSTRATTON.COM. Thamani halisi ya nishati inachukuliwa kwa eneo la injini la kutolea
injini na kisafishaji wa injini iliyosakinishwa ambapo thamani ya mapato ya injini yanakusanywa bila viambatisho hivi. Mapato halisi ya nishati ya injini
yatakuwa juu kuliko nishati ya injini na yanaathiriwa na, miongoni mwa mambo mengine, hali iliyoko ya kuendesha na utofauti wa injini hadi nyingine.
Kulingana na mpangilio mpana wa bidhaa ambapo injini zimepangwa, injini ya petroli huenda isitoe nguvu ya jumla iliyokadiriwa inapotumiwa katika kifaa
fulani cha nguvu. Utofauti unatokana na mseto wa mambo yakiwemo, lakini si tu, mseto wa viungo vya injini (kisafishaji cha hewa, kitoaji moshi, kuchaji,
kupoa, kabyureta, pampu ya mafuta, nk), upungufu wa matumizi, hali bora za undeshwaji (halijoto, hali ya unyevunyevu, uwepo wa milima), na utofauti
wa injini-hadi-injini. Kutokana na upungufu wa kiasi ya utengenezaji, Briggs & Stratton wanaweza kuibadilisha injini iliyo na nguvu nyingi zaidi.
* Pampu hii ya maji imekadiriwa kwa mujibu wa kiwangogezi wa Briggs & Stratton 621K.
10
Sahihisho
1. Jaza chumba cha pampu na maji na kuanzisha
pampu.
2. Badilisha bomba la kufyonza wala la kumwaga.
3. Zamisha kichujio kilicho mwishoni mwa
bomba la kufyonza ndani ya maji kabisa.
4. Badilisha kipete cha mpira kama hakipo ama
kimeharibika. Kaza kiunganishi cha bomba na
bano.
5. Toa uchafu kwenye kichujio.
6. Hamisha pampu/ama mabomba kubadilisha
kimo.
7. Elekeza wenzo la kasi ya mtambo katika
kiwango cha "FAST".
1. Bofya swichi kwa hali ya ON (I) kuwaka.
2. Elekeza kizimi cha mafuta kwa "ON" (I).
3. Safisha ama ubadilishe kisafisha hewa.
4. Subiri dakika mbili halafu ujaze mafuta.
5. Mwaga petroli kutoka kwa tanki na kabureta;
jaza na mafuta safi.
6. Unganisha waya ya kiziba cheche.
7. Badilisha plagi ua kuwasha.
8. Subiri dakika 5 na kuwasha mtambo.
9. Wasiliana na kituo cha huduma
kilichoidinishwa.
Subiri dakika mbili halafu ujaze mafuta.
Modeli 073035
Ubainishaji wa Pampu ya Maji
Kipenyo cha Shimo la Mvuto na Utoaji . . . 50mm (2 in)
Kichwa cha Kiwango cha Juu zaidi cha Mvuto * 8 m (26 ft)
Kichwa cha Kiwango cha Juu zaidi cha Utoaji * 25 m (82 ft)
Kiwango cha Juu zaidi cha Utoaji * 435 l/min (115 US gal/min)
Ubainishaji wa Injini
)
Unyonyaji Mafuta . . . . . . . . . . . . . . . . .127 cc (7.74 in
3
Kiwango cha Oili . . . . . . . . . . . . . . . . . . . 0.59 l (20 oz)
)
3
BRIGGSandSTRATTON.COM
)
3

Publicidad

Tabla de contenido

Solución de problemas

loading

Este manual también es adecuado para:

Wp3-65Wp2-35073010-01073011-01073035-00

Tabla de contenido