Onyo
Uvutaji nyuma wa haraka wa kamba ya kianzishi (kuvuta nyuma kwa haraka) kutavuta
mkono kuelekea kwenye injini haraka kuliko unavyoweza kuachilia. Mifupa ilivyovunjika,
kuvunjika kwa mifupa mikuuu, michubuko, mishtuko inaweza kutokea. Wakati wa
kuwasha injini, vuta kamba ya kianzishi polepole hadi uhisi upinzani na kisha vuta haraka
ili kuzuia kurudi nyuma kwa haraka.
8.
Kuanza kwa Umeme, iwapo kupo kwa Ufunguo wa Usalama (F): Sukuma katika
ufunguo wa usalama (F, Kielelezo 7). Sukuma swichi ya kuanza kwa muda mfupi
(G). Mtambo ukianza, achilia swichi ya kuanza.
9.
Kuanza kwa Umeme, iwapo kuna Swichi ya Ufunguo wa Otomatiki (F): Geuza
ufunguo wa swichi (H, Kielelezo 8) kwenye eneo la kuanza. Mtambo ukianza, achilia
swichi ya ufunguo.
Notisi
Ili kurefusha maisha ya kianzishi, tumia misururu mifupi ya kuanzisha (kiwango
cha juu cha sekunde tano). Subiri dakika moja kati ya mizunguko inayoanza.
10.
Wakati injini inapochemka, sogeza kidhibiti cha choki (B, Kielelezo 7) kwenye eneo
la kuendesha.
Kumbuka: Iwapo mtambo hautaanza baada ya majaribio ya kurudia, nenda kwenye
BRIGGSandSTRATTON.com au wasiliana na mhudumu wako wa karibu au piga simu
1-800-233-3723 (Marekani).
Simamisha Injini
Onyo
Fueli na mvuke wake unawaka na kulipuka hara sana.
Moto au mlipuko unaweza kusababisha kuchomeka vikali au kifo.
•
Usiruhusu hewa kuingia kwenye kabureta ili kusimamisha injini.
1.
Kidhibiti cha Transfoma ndogo, iwapo kipo: Sogeza kidhibiti cha transfoma ndogo
(C, Kielelezo 7) hadi polepole kisha kwenye eneo la kusimamisha.
Zima Swichi iwapo ipo: Sogeza swichi ya kusimamisha (D, Kielelezo 7) kwenye
eneo la kusimamisha.
Ufunguo wa Usalama, iwapo upo: Ondoa ufunguo wa usalama (F, Kielelezo 7) na
uweke katika sehemu salama kutokana na ufikiaji wa watoto.
Kibonye cha Swichi, iwapo kipo: Sogeza swichi ya ufunguo (H, Kielelezo 8) kwenye
eneo la zima. Ondoa ufunguo na uhifadhi katika sehemu salama kutokana na ufikiaji
wa watoto.
2.
Baada ya mtambo kusimama, sogeza kizima fueli (A, Kielelezo 7) kwenye eneo
lililofungwa.
Udumishaji
Notisi
Iwapo injini imeinamishwa wakati wa udumishaji, tangi la fueli, iwapo liko
kwenye injini, lazima liwe tupu na upande wa kuziba cheche lazima uwe juu. Iwapo
tangi la fueli sio tupu na iwapo injini imeinamishwa katika mwelekeo mwingine, inaweza
kuwa vigumu kuwaka kwa sababu ya mafuta au petroli kuchafua kuchuja hewa na/au
kuziba cheche.
Onyo
Wakati unapotekeleza udumishaji unaohitaji kitengo kuinamishwa, tangi la fueli, iwapo
limewekwa kwenye injini, lazima liwe tupu au fueli inaweza kumwagika nje na
kusababisha moto au mlipuko.
Tunapendekeza kuwa umwone Mtoa Huduma yeyote wa Briggs & Stratton Aliyeidhinishwa
kwa udumishaji na huduma zote za injini na sehemu za injini.
Notisi
Vijenzi vyote vilivyotumiwa kujenga injini hii lazima visalie sawa kwa uendeshaji
bora.
Onyo
Cheche zisizotarajiwa zinaweza kusababisha moto au mshtuko wa kielektriki.
Uwashaji usiotarajiwa unaweza kusababisha kunaswa, kukatwa kwa viungo kwa
kiwewe, au majeraha makali ya ukataji wa ngozi.
Madhara ya moto
Kabla ya kutekeleza marekebisho au ukarabati:
•
Tenganisha waya ya kuziba cheche na uhifadhi mbali na kuziba cheche.
•
Tenganisha betri katika mwisho wa chanya (injini zilizo na kiwashaji wa kielektriki
tu.)
•
Tumia zana sahihi tu.
•
Usihitilifiane na springi ya kithibiti, viunganishi au sehemu zingine ili kuongeza kasi
ya injini.
•
Sehemu za ubadilishaji lazima ziwe sawa na zilizosakinishwa katika eneo sawa
kama sehemu asili. Sehemu zingine huenda zisitekeleze vilevile, zinaweza kuharibu
kitengo, na inaweza kusababisha majeraha.
•
Usigonge gurudumu la kuongeza kasi ya injini kwa nyundo au kifaa kigumu kwa
sababu gurudumu la kuongeza kasi ya injini linaweza kuvunjika wakati wa kuendesha.
Wakati wa kujaribu cheche:
•
Tumia kijaribio cha kuziba cheche kilichoidhinishwa.
•
Usikague injini wakati kuziba cheche imeondolewa.
Huduma ya Udhibiti wa Uchafuzi
Udumishaji, ubadilishaji, au ukarabati wa vifaa vya kudhibiti uchafuzi na mifumo
inaweza kutekelezwa na mtu binafsi au uzinduaji wowote wa ukarabati wa injini ya
nje ya barabarani. Hata hivyo, ili kupata huduma ya kudhibiti uchafuzi ya "" bila malipo,
lazima kazi ifanywe na mtoa huduma aliyeidhinishwa na kiwanda. Tazama Taarifa ya
Udhibiti wa Uchafuzi.
Ratiba ya Udumishaji
Saa 5 za Kwanza
•
Badilisha mafuta
Kila Baada ya Saa 8 au Kila siku
•
Angalia kiwango cha mafuta ya injini
•
Safisha maeneo yaliyo karibu na mafla na vidhibiti
•
Safisha grili ya kuingiza hewa
Kila Baada ya Saa 25 au Kila mwaka
1
•
Safisha kichuja chewa
•
Safisha kisafishaji cha mwanzo (iwapo kipo)
Kila Baada ya Saa 50 au Kila mwaka
•
Badilisha mafuta ya injini
•
Shughulikia mfumo wa eneo la injini la kutolea moshi
Kila baada ya Saa 100
•
Badilisha gia ya kupunguza mafuta (iwapo ipo)
Kila mwaka
•
Badilisha kuziba cheche
•
Badilisha kichujio cha hewa
•
Badilisha kisafishaji cha mwanzo (iwapo kipo)
•
Badilisha kichujio cha mafuta (iwapo kipo)
•
Shughulikia mfumo wa fueli
•
Shughulikia mfumo wa kupoesha
2
•
Angalia uondoaji wa vali
1
Katika hali ya vumbi au uchafu unaosambazwa na hewa upo, safisha mara kwa
mara.
2
Haihitajiki isipokuwa matatizo ya utenda kazi wa injini yametambuliwa.
1
1
49