Mfumo wa Upasuaji wa LL-CO
HUDUMA NA UREKEBISHAJI WA CHOMBO
Kwenye tukio la hitilafu, zima vali kuu ya silinda ya gesi kabisa mara moja. Toanisha chombo kutoka
kwa silinda ya gesi. Piga simu kwa kiwanda kwa kutumia namba ya simu ifuatayo (203) 799-2000 na
uombe msaada kutoka kwa Idara ya Utumishi.
Kifaa hiki hakina sehemu yo yote ambayo mtumizi anaweza kujifanyia marekebisho.
Ikiwa chombo kinahitaji marekebisho, safisha chombo kwa makini na ukihifadhi kwenye kijisanduku
cha kinga. Andika barua ya kufafanua matatizo ya chombo na vile vile kuuliza bei ya kurekebisha
chombo. Usijaribu kujitengenezea wewe mwenyewe chombo ambacho kinahitaji marekebisho kwa
sababu utapoteza uthibitisho wako.
MAELEZO YA ALAMA
Leisegang Feinmechanik GmbH
Leibnizstraße 32
D-10625, Berlin GERMANY
™
LL-CO
ni alama ya biashara ya Wallach Surgical Devices
2
© 2012 Wallach Surgical Devices
37295 • Rev. B • 2/12
™ • Jinsi ya Kutumia Kifaa (Kiswahili / Swahili)
2
SURGICAL DEVICES
95 Corporate Drive
Trumbull, CT 06611 USA
Simu: (203) 799-2000
Faksi: (203) 799-2002
wallach@wallachsurgical.com
www.wallachsurgical.com
Nambari ya kuagiza tena
Nambari kwenye Mfululizo
ANGALIA:
Tazama Maelezo ya Matumizi.
Haina Ulimbo wa Mpira
52
Kwa Matumizi ya Wataalam
Pekee
Bidhaa Inafuata Maelezo ya
Kifaa cha Matibabu
93/42/EEC
Mwakilishi aliye na idhini
katika Jumuiya ya Ulaya.
Wallach Surgical Devices