Hatua ya 2: Oili na Mafuta
Mapendekezo ya Mafuta Kielelezo
Tunapendekeza matumizi ya mafuta ya Briggs & Stratton
yaliyo na Udhamini Uliothibitishwa kwa ajili ya utendaji
bora. Oili zingine za mtakaso za hali ya juu zakubalika
bora zimeainishwa kwa huduma SF ama ya juu. Usitumie
nyongeza maalum.
Joto ya nje huamua mnato sahihi wa mafuta unaotumika
kwa injini. Tumia chati kuchagua mnato bora kwa ajili ya
joto ya nje inayotarajiwa.
* Chini ya 4°C (40°F) matumizi ya SAE 30 itasababisha ugumu
wakati wa kuwasha.
** Zaidi ya 27°C (80°F) matumizi ya 10W30 yanaweza
kusababisha kuongezeka kwa matumizi ya mafuta. Angalia
Kiwango cha mafuta mara nyingi zaidi.
Kuangalia/Kuongeza Oili ya Mtambo Kielelezo
Kiwango cha mafuta lazima ichunguzwe kabla ya
matumizi au angalau kila baada ya masaa nane ya
operesheni. Dumisha kiwango cha mafuta.
1. Hakikisha jenereta imewekwa juu ya sakafu batobato.
2. Legeza skurubu za kifuniko cha ukarabati na kutoa
kifuniko.
3. Safisha sehemu ya kijazio cha oili na kuondoa
kifuniko cha kijazio cha oili.
4. Dhibitisha oili iko katika hali ya kufurika kwa mdomo
wa kijazio oili.
5. Iwapo itahitajika, ukitumia mpare, mwaga oili
polepole katika kipenyo cha kujazia oili kufikia
kiwango cha kufurika katika kijazio oili.
6. Badilisha na kukaza kifuniko cha kijazio oili.
7. Badilisha kifuniko ya kukarabati na parafujo
zilizokazwa na mikono.
ILANI Usijaribu kupiga moto au kuwasha mtambo
kama haUjahadimiwa na oili iliyoidhinishwa. Hii inaweza
kuharibu injini.
Ongeza Mafuta Mchoro
Lazima mafuta yatimize mahitaji haya:
• Petroli safi, freshi, isiyo na risasi na iliyo na angalau
octane 87.
• Petroli iliyo na hadi 10% ya ethano inakubalika.
ILANI Usichanganye oili na petroli ama kukarabati
mtambo ili utumie mafuta mbadala. Usitumie petroli
ambayo haijaidhinishwa kama vile E15 na E85. Mafuta
yasiyoidhinishwa yanaweza kuharibu jenereta na
kubatilisha udhamini.
Angalia Mwinuko wa Juu wa m 1,524 (ft.5,000) na zadi.
ONYO! Mafuta na mivuke yake
yanaweza kuwaka na kulipuka hivyo
yanaweza kuchoma, washa moto au
mlipuko na kusababisha kifo au majeraha makubwa.
• Usiongeze mafuta wakati mtambo unatumika.
• Zima mtambo na kuacha upoe angalau dakika 2 kabla
ya kutoa kifuniko cha mafuta.
• Jazia mtungi wa mafuta nje. Usimwage mafuta nje
ya mtungi. Kama mafuta imemwagika, subiri hadi iwe
mvuke kabla ya kuanza injini.
• Weka mafuta mbali na cheche, moto ulio wazi, taa za
gesi, joto, na vyanzo vingine vya moto.
• Angalia mistari ya mafuta, mtungi,kifuniko na
vidubwasha mara kwa mara kwa mipasuko au mvujo.
Badilisha kama inabidi.
• Usivute wala kuwasha sigara.
6
2
3 4 5
1 6
1. Toa kifuniko polepole (1,A) ili kupunguza shinikizo
katika tank.
2. Polpole ongeza mafuta yasiyo na risasi kufikia
kiashiria chekundu cha kiwango cha mafuta (6,A)
katika mtugi wa mafuta. Jihadhari usijaze kupitisha
kiashiria cha kiwango. Hii inaruhusu nafasi mwafaka
kwa upanuzi wa mafuta.
3. Weka kifuniko ya mafuta na uwache mafuta yote
yaliomwagika yawe mvuke kabla uwashe injini.
Mwinuko wa Juu
Kwa miinuko zaidi ya m 1524 (ft.5,000), mafuta ya
angalau octane 85 yanakubalika. Ili ufuate sheria
za kuzalisha uchafu, marekebisho ya mwinuko wa
juu unahitajika. Operesheni bila marekebisho haya
yatasababisha upungufu kwa utekelezaji, kuongezeka
kwa matumizi ya mafuta, na kuongezeka kwa uzalishaji
wa uchafu.
Angalia muuzaji wa Briggs & Stratton aliyethibitishwa
kwa maelezo zaidi kuhusu marekebisho ya miinuko
ya juu. Operesheni ya injini katika mwinuko chini
ya mita 762 (futi 2,500) na vifaa vya miinuko ya juu
haijapendekezwa.
Kusafirisha
Unaposafirisha mtambo kwa gari ama trela, bofya swichi
yake katika hali ya kuzimwa, OFF (0). Usiinamishe
mtambo katika pembe itakayosababisha mafuta
kumwagika.
Hatua ya 3: Kuasha Jenereta Kielelezo
Chomoa vyombo vyote vya umeme vilivyounganishwa na
jenereta. Tumia maelekezo yafuatayo ya kuwasha:
1. Hakikisha mtambo uko nje juu ya sakafu batobato.
ILANI Kutotumia mtambo juu ya sakafu batobato
kwaweza kusabisha mtambo kuzima.
2. Songeza wenzo wa kinyonga pumzi (B) hadi nafasi
ya CHOKE (
).
ILANI Kwa injini moto, hakikisha wengo iko katika
nafasi ya katika RUN (
3. Weka swichi ya mtambo (G) katika hali ya ON (I)
kuwaka.
ILANI Kusaidia kuwasha mtamboa kwa mara ya
kwanza, ama baada ya kuishiwa na mafuta, au baada ya
kuiweka kwa mda mrefu, jaza mtungi kama ilivyoelezwa
katika Ongeza Mafuta. Huenda ikachukua safari kadha
za kuasha ili kutoa pumzi katika mtungi wa mafuta.
4. Twaa mpini-nywea (E) na kuvuta polepole hadi uhisi
ugumu duni Kisha uvute kwa kasi ili uwashe injine.
5. Mtambo unapopata joto, sogeza kikaba hewa
polepole kwa hali ya RUN (
ILANI Kifaa hiki kimehamiwa na kiashiria cha oili
duni. Iwapo oili ya mtambo itateremka kupita kiwango
kilichowekwa, swichi ya oili itazima mtambo. Angalia
Kiashirio cha Oili Kidogo
QPT (QUIET POWER TECHNOLOGY™)
Hulka hii inboresha unywaji wa mafuta. Wakati swichi ya
QPT (C) inawashwa, mtambo unaongeza kasi vitumizi
vinapounganishwa, na kupunguza kasi vinapongólewa.
Swichi inapozimwa, mtambo utakimbia kwa kasi.
).
) kuwasha
BRIGGSandSTRATTON.COM
1