Snapper 2691382-00 Manual Del Operador página 101

Ocultar thumbs Ver también para 2691382-00:
Tabla de contenido

Publicidad

Idiomas disponibles
  • ES

Idiomas disponibles

  • ESPAÑOL, página 31
Lebo za Usalama na Maelekezo
Jumbe zote za HATARI, ONYO, TAHADHARI na maelekezo
kwenye kiendeshi na mashine yako ya kukatia nyasi zinastahili
kusomwa na kufuatiliwa kwa makini. Majeraha binafsi ya kimwili
yanaweza kutokea wakati maagizo haya hayafuatwi. Maelezo
haya ni kwa usalama wako na ni ya maana sana! Alama za
usalama hapo chini zipo katika kifaa chako na mashine ya
kukatia nyasi.
A
C
E
G
I
Maagizo ya Usalama - 7101166
A. Onyo: Soma Mwongozo wa Mwendeshaji. Soma na uelewe
Mwongozo wa Mwendeshaji kabla ya kutumia mashine hii.
B. Onyo: Ondoa Ufunguo Kabla ya Kuihudumia. Ondoa
ufunguo na urejelee maelezo ya kiufundi kabla ya kufanya
ukarabati au matengenezo.
C. Hatari: Vitu Vinavyorushwa. Mashine hii inaweza kutupa vitu
na vifusi. Tumia kifaa mbali na watu wengine.
D. Hatari: Kukata viungo. Mashine hii inaweza kukata viungo.
Wakati injini inaguruma weka kifaa mbali na watu wengine
na watoto.
E. Hatari: Usikate nyasi kwa kurudi nyuma ispokuwa
inapohitajika. Tazama chini na nyuma – kabla na wakati wa
kurudi nyuma.
F. Hatari: Hatari ya Moto. Usiongeze mafuta wakati injini ipo
moto au inaguruma. Zima injini na uruhusu ipowe kwa dakika
5 kabla ya kuongeza mafuta.
G. Hatari: Mashine Kupinduka. Usitumie mashine hii kwenye
miteremko inayozidi 10°.
H. Hatari: Sumu ya Monoksidi ya Kaboni. Usiendeshe injini
katika maeneo yasiyo na mahali pa kuingiza hewa.
I. Tahadhari: Lemaza bapa za mashine ya kukatia nyasi na
usimamishe mwendo wa mbele kabla ya kukekwa gia ya
kurudi nyuma.
Ikiwa alama zozote kati ya hizi zitapotea au kuharibika,
zibadilishe mara moja. Angalia muuzaji aliyeidhinishwa kwa
mabadilisho.
Lebo hizi hubandikwa kwa urahisi na hutumika kama
ukumbusho wako wa kuona wakati wote, na kwa wengine
watakao tumia kifaa, ili kufuata maelekezo ya usalama ambayo
ni lazima kwa usalama, na uendeshaji wa ufanisi.
B
A
D
B
F
H
A. Hatari: Kukata viungo. Deki hii ya kukatia nyasi inaweza
kukata viungo. Weka mikono na miguu mbali na bapa.
B. Hatari: Vitu Vinavyorushwa. Mashine hii inaweza kutupa vitu
na vifusi. Tumia kifaa mbali na watu wengine.
Hatari: Hatari ya Kukatwa Viungo na Vitu Vinavyorushwa.
Usikate nyasi bila chuti ya kutoa nyasi au kikamata nyasi.
Onyo la Deki - 7100739
Onyo - 7101167
13
sw

Publicidad

Tabla de contenido
loading

Este manual también es adecuado para:

2691383-00

Tabla de contenido