Snapper 2691382-00 Manual Del Operador página 106

Ocultar thumbs Ver también para 2691382-00:
Tabla de contenido

Publicidad

Idiomas disponibles
  • ES

Idiomas disponibles

  • ESPAÑOL, página 31
Kuwezesha Ubapa wa Mashine ya Kukatia
Nyasi
!
Baada ya kulemaza ubapa, unafaa usimame ndani ya sekunde
3 au chache. Ikiwa ubapa utaendelea kuzunguka baada ya
sekunde 3, badi breki ya ubapa inafaa irekebishwe. Rudisha
mashine kwa muuzaji aliyeidhinishwa kuwa urekebishaji.
USIENDELEE kuendesha mashine hadi breki ya ubapa
irekebishwe na ifanye kazi ipasavyo.
1. Injini ikiendelea kuguruma, sogeza kidhibiti cha kasi ya injini
kwenye sehemu ya "HARAKA".
2. Sogeza mbele Wenzo wa ubapa
kwenye mkao wa "IMEWASHWA", kisha bonyeza
pedali za bapa
ili ushikilie Wenzo wa ubapa katika
(B)
mkao wa "IMEWASHWA".
Kuweka Uendeshaji wa Magurudumu
1. Injini ikiwa inaguruma, sogeza kidhibiti cha kasi ya injini
kwenye sehemu ya "HARAKA".
2. Kanyaga padeli ya klachi/breki
3. Weka Wenzo wa kuweka gia
mwanya wa kwanza wa kusonga mbele
4. Wachilia padeli ya klachi/breki ili ianze kusogea mbele.
5. Wakati wa kusogea mbele, Wenzo wa kubadilisha gia
unaweza kuwekwa katika kasi yoyote unayotaka ya
kuenda mbele bila kubonyeza pedali ya klachi/breki.
KUMBUKA: Kwa matokeo bora ya kukata, sogeza Wenzo wa
kupindua gia katika kasi ya kosonga polepole na kidhibiti cha kasi
ya injini kwa mkao wa haraka. Mchanganyiko huu utawezesha
ubapa wa mashine ya kukatia nyasi kuinua nyasi ikiendelea
kukata vizuri na kwa usawa.
!
USIENDESHE bapa za kukata ukirudi nyuma. SIMAMISHA
BAPA ZA KUKATA. ANGALIA na UONE nyuma na chini
ukitafuta watoto, wanyama kipenzi na uwezekano wa hatari
kabla na wakati unarudi nyuma.
Kuzima Injini,
Uendeshaji wa Magurudumu na Ubapa wa
Mashine ya Kukatia Nyasi
!
USIIWACHE mashine ikiguruma. SIMAMISHA Bapa. ZIMA
injini. Weka gia kwa gia huru na uweke breki ya kuegesha.
Ondoa ufunguo.
Injini
1. Zima injini kwa kuzungusha ufunguo
kwa mkao wa "IMEZIMWA".
Uendeshaji wa Magurudumu
1. Simamisha mwendo wa Kiendeshi Injini cha Nyuma
kwa kusukuma pedali ya klachi/breki kabisa
ili kutekeleza breki.
ya 6)
18
ONYO
(A, Picha ya 11)
(A, Picha ya 6)
(A, Picha ya 12)
.
(B)
ONYO
ONYO
(A, Mfano wa 13)
(A, Picha
Ubapa wa Mashine ya Kukatia Nyasi
1. Komesha ubapa wa kukatia nyasi kwa kuachilia pedali
za ubapa
ubapa
!
!
Baada ya kulemaza ubapa, unafaa usimame ndani ya sekunde
3 au chache. Ikiwa ubapa utaendelea kuzunguka baada ya
sekunde 3, badi breki ya ubapa inafaa irekebishwe. Rudisha
mashine kwa muuzaji aliyeidhinishwa kuwa urekebishaji.
USIENDELEE kuendesha mashine hadi breki ya ubapa
irekebishwe na ifanye kazi ipasavyo.
Kuweka Breki ya Kuegesha
1. Ili kuweka breki ya kuegesha, kanyaga kabisa pedali ya
klachi/breki
kuegesha
pedali ya klachi/breki. Kizuizi katika lachi ya breki ya
kuegesha itawezesha breki ya kuegesha.
!
.
USIEGESHE mashine kwenye miteremko.
kwenye
2. Achilia breki ya kuegesha kwa kukanyaga kabisa
pedali ya klachi/breki
ya kuegesha
huru bila kuguswa.
Usogezaji wa Urefu wa Kukata
1. Rekebisha urefu wa kukata kwa kuinua au kupunguza
Wenzo wa kuinua deki
ya urefu wa kukata unaotaka
Mtambo wa Kuzuia Kurudi Nyuma
!
Mashine hii ya kukatia nyasi ina Mtambo wa Kuzuia Kurudi
nyuma, ambao unazuia mashine hii ya kukatia nyasi dhidi ya
kurudi nyuma ubapa ukiendeshwa. Hata hivyo, ikiwa unatumia
misheni yako ya kukatia nyasi karibu na barabara au unatumia
viambatano ambavyo vinahitaji kurudi nyuma, kuna Wenzo wa
kubatilisha uliotolewa. Wenzo huu utaruhusu matumizi ya kurudi
nyuma hadi pedali za ubapa ziachiliwe, ambapo mfumo utarudi
katika hali yake ya Kuzuia Kurudi Nyuma.
Kipengele hiki hakistahili kuchaguliwa isipokuwa uwe na uhakika
kabisa kwamba hakuna watoto au watu wengine walio karibu
katika eneo la kukata nyasi na kwamba watoto wote wako mbali
!
na wanaangaliwa na mtu mzima anayewajibika.
Kubatilisha Mtambo wa Kuzuia Kurudi Nyuma
1. Zima mashine. Komesha bapa.
2. Kanyaga na ushikilie Wenzo wa Kubatilisha
ya 17)
3. Kanyaga na ushikilie Pedali za Bapa. Achilia Wenzo
wa Kubatilisha.
4. Sogeza mbele Wenzo wa ubapa kwa mkao wa
"IMEWASHWA".
au kwa kusogeza Wenzo wa
(A, Picha ya 14)
kuelekea nyuma kwa mkao wa "IMEZIMWA".
(B)
ONYO
, telezesha lachi ya beeki ya
(A, Picha ya 9)
katika mkao wa imewekwa, na uachilie
(B)
ONYO
(A, Picha ya 15)
ina springi, na itarejea mkao wake
(B)
(A, Picha ya 16)
(B)
.
!
!
. Lachi ya breki
kwenye nafasi
.
(A, Picha
www.snapper.com

Publicidad

Tabla de contenido
loading

Este manual también es adecuado para:

2691383-00

Tabla de contenido