Snapper 2691382-00 Manual Del Operador página 102

Ocultar thumbs Ver también para 2691382-00:
Tabla de contenido

Publicidad

Idiomas disponibles
  • ES

Idiomas disponibles

  • ESPAÑOL, página 31
Klachi/Breki - 7028514
Huonyesha matumizi ya Klachi/Breki. Kanyaga pedali ya
Klachi/Breki ili kulemaza klachi na kuweka breki.
Breki ya Kuegesha - 7103219
Huonyesha matumizi ya lachi ya breki ya kuegesha. Rejelea
"Uwekaji wa Breki ya Kuegesha".
14
7103219
Ubatilishaji wa Kuzuia Kurudi Nyuma - 7104796
Hutambua eneo la Wenzo wa Kubatilisha Kuzuia Kurudi
Nyuma. Rejelea "Mtambo wa Kuzuia Kurudi Nyuma".
!
ONYO
Usikate nyasi kwa kurudi nyuma ispokuwa inapohitajika.
Urefu wa Kukata - 7103440
Hutambua urefu wa mikao ya kukata. Rejelea "Usogezaji wa
Urefu wa Kukata".
1
1760758
Ubapa umewashwa/Ubapa umezimwa - 1760758
Huonyesha matumizi ya ubapa wa mashine ya kukatia nyasi.
Rejelea "Kuwezesha Ubapa wa Mashine ya Kukatia Nyasi"
na "Kuzima Injini, Uendeshaji wa Magurudumu na Ubapa wa
Mashine ya Kukatia Nyasi".
7104796
2
1
www.snapper.com
!

Publicidad

Tabla de contenido
loading

Este manual también es adecuado para:

2691383-00

Tabla de contenido