Ukarabati - Snapper 2691382-00 Manual Del Operador

Ocultar thumbs Ver también para 2691382-00:
Tabla de contenido

Publicidad

Idiomas disponibles
  • ES

Idiomas disponibles

  • ESPAÑOL, página 31
ONYO
!
ANGALIA na UONE nyuma na chini ukitafuta watoto, wanyama
kipenzi na uwezekano wa hatari kabla na wakati unarudi
nyuma.
MUHIMU: USITUMIE Ubatilishaji Mtambo wa Kuzuia Kurudi
Nyuma kama hali ya kawaida ya kutumia. Ili kurejea kwenye hali
ya Mtambo wa Kuzuia Kurudi Nyuma, achilia pedali za bapa
ili uzime bapa. Ubatilishaji utaweka upya kwa Kuzuia Kurudi
Nyuma. Kagua Mtambo wa Kuzuia Kurudi Nyuma mara kwa
mara kwa matumizi sahihi. Pedali za bapa zikiwa zimekanyagwa,
wenzo wa kubadilisha gia haupswi kurudi nyuma. USITUMIE
mashine ikiwa Mtambo wa Kuzuia Kurudi Nyuma haufanyi kazi
vizuri. Wasiliana na muuzaji wako aliyeidhinishwa kwa usaidizi.
HATARI
!
ANGALIA na UONE nyuma na chini ukitafuta watoto, wanyama
kipenzi na uwezekano wa hatari kabla na wakati unarudi
nyuma.
Lazima BAPA zisimwe kabla ya kurudisha mashine nyuma.
USIRUHUSU watoto kwenye mashine (hata paba zikiwa
zimezimwa) au uwanjani wakati unakata nyasi.
Ufungaji Kikengeusha cha Kutoa
ONYO
!
USIJARIBU kusawazisha, kukarabati, au kutengeneza wakati
injini inaguruma. ZIMA injini. SIMAMISHA bapa. Weka breki
ya kuegesha. Ondoa ufunguo. Ondoa waya ya plagi kutoka
kwenye plagi na uifungilie mbali na plagi. Injini na vipengele
vyake huwa MOTO. Epuka kuchomeka vibaya, wacha sehemu
zote zipoe kabla ya kushughulikia mashine. Lazima Kifuniko
cha Kuweka Mafuta na tundu zifungwe vizuri ili kuzuia mafuta
kumwagika.
1. Ondoa nati
(A, Picha ya 18)
bamba la chini la kifuniko cha matandazo
deki ya mashine ya kukatia nyasi.
ONYO
!
Lazima kifuniko cha matandazo kibakie kwenye mashine
wakati wote. Usiondoe.
2. Inua kifuniko cha matandazo. Weka walsha na nati kwenye
bolti inayoshikilia katika deki, uzikaze vizuri.
3. Funga kigengeusha cha kutoa
deki ya mashine ya kukatia nyasi, ukihakikisha kwamba
sloti
zilizo katika diflekta zinatoshea juu ya tabo za
(B)
kufunga
kwenye mabano ya bawaba ya kifuniko
(C)
cha matandazo.
4. Teremsha kifuniko cha matandazo.
5. Kuondoa diflekta ya kutoa:
• Inua kifuniko cha matandazo.
• Inua na uondoe diflekta ya kutoa kutoka kwa deki ya
mashine ya kukatia nyasi.
!
!
!
na washeli
inayoshikilia
(B)
kwenye
(C)
!
kwenye
(A, Picha 19)
• Ondoa nati na walsha kutoka kwa bolti ya kushikilia
katika deki.
• Teremsha kifuniko cha matandazo, ukikishikilia na
walsha na nati. Kaza vizuri.

Ukarabati

Chati ya Ukarabati
!
ONYO
USIJARIBU kusawazisha, kukarabati, au kutengeneza wakati
injini inaguruma. ZIMA injini. SIMAMISHA bapa. Weka breki
ya kuegesha. Ondoa ufunguo. Ondoa waya ya plagi kutoka
kwenye plagi na uifungilie mbali na plagi. Injini na vipengele
vyake huwa MOTO. Epuka kuchomeka vibaya, wacha sehemu
zote zipoe kabla ya kushughulikia mashine. Lazima Kifuniko
cha Kuweka Mafuta na tundu zifungwe vizuri ili kuzuia mafuta
kumwagika.
TREKTA NA MASHINE YA KUKATIA NYASI
Kila Saa 8 au Kila Siku
Kagua mfumo wa salama wa intaloki
Safisha mabaki kwenye trekta na deki ya mashine ya
kukatia nyasi
Safisha mabaki kwenye sehemu ya injini
Kila Saa 25 au Kila Mwaka *
Kagua upepo wa tairi
Kagua muda wa kusimama kwa bapa la mashine ya
kukata nyasi
Kagua trekta na mashine ya kukatia nyasi kwa vifaa
vilivyolegea
Kila Saa 50 au Kila Mwaka *
Kagua betri na kebo
Kagua breki za trekta
Mtembelee Muuzaji Kila Mwaka ili
Kulainisha trekta na mashine ya kukatia nyasi
Kagua mabapa ya mashine ya kukatia nyasi **
* Chochote kinachokuja kwanza
** Kagua mabapa mara nyingi zaidi katika maeneo yenye
udongo wa kichanga au hali za vumbi kali.
!
19
sw

Publicidad

Tabla de contenido
loading

Este manual también es adecuado para:

2691383-00

Tabla de contenido