Kielelezo. 18
Kielelezo 20.
6.4 Jinsi ya Kufunga sehemu ya kando ya kuelekeza uchafu
unaotolewa.
• Inatumika kwa modeli zilizo na sehemu ya kando ya
kuelekeza uchafu unaotolewa pekee (ona Sehemu ya 2.
Vipengele Maalum).
Tafadhali fuata jedwali lifuatalo la kuweka sehemu ya
kando ya kuelekeza uchafu unaotolewa.
Kumbukumbu
Modeli
ya Picha
MP450D20
Kielelezo 21.
MP625MD21H
Kielelezo 22.
MP550RMD21 /
MP675RMD21H /
Kielelezo 23.
MX675RMD22H
MP625MD21H
Kielelezo 24.
MP550RMD21 /
MP675RMD21H /
Kielelezo 25.
MX675RMD22H
!
KUMBUKA! Ili utumie mashine zin-
azoweza kukusanya kutoka nyuma
MP550RMD21 /
katika mbinu ya kutoa na kando
MP675RMD21H /
(mahali inatumika), plagi ya matandazo
MX675RMD22H
inafaa kuwekwa kama ilivyoelezwa hapo
juu na inavyoonekana katika Kielelezo.18,
Kielelezo.19 na Kielelezo.20.
10
Kielelezo.19
Jinsi ya Kufunga Diflekta
ya Kutoa
Rekebisha sehemu ya
kando ya kuelekeza ucha-
fu unaotolewa kwa kutu-
mia seti mbili za komeo na
parafujo.
Hakuna zana zinahitajika;
1. Inua kifuniko ya kifaa
kinachotoa chaji na mkono
mmoja na uweke vifaa vya
ndoano vya sehemu ya
kando ya kuelekeza ucha-
fu unaotolewa katika kifu-
niko ya kifaa kinachotoa
chaji kutoka kando.
2. Wachilia kifuniko ya
kifaa kinachochaji kutoka
kando ili ufunge kifaa
cha kutoa uchafu na kub-
adilisha mwelekeo katika
nafasi yake.
Kielelezo. 21
Kielelezo. 23
Kielelezo 25.
6.5 Oili ya Injini na Mafuta
6.5.1 Jinsi ya Kukagua na Kujaza Mafuta
!
TAHADHARI! Ili kuzuia uharibifu wa injini, injini
inasafirishwa bila mafuta yoyote. Injini lazima ijazwe na
mafuta ambayo yamekubaliwa na sehemu ya Mapendekezo
ya Mafuta katika mwongozo wa opereta wa injini. Ili udumishe
injini yako, ni muhimu mafuta kubadilishwa baada ya masaa 5
ya matumizi.
!
ILANI! Kabla ya kuangalia kiwango ya mafuta au
kuongeza mafuta, zima injini na uweke mashine ya
kukata nyasi katika ardhi tambarare.
!
KUMBUKA! Ni muhimu kuzingatia sehemu ya Jinsi ya
Kuangalia/Kuongeza Mafuta katika mwongozo wa
opereta wa injini ili kuangalia na kuongeza mafuta kwa
usahihi.
!
KUMBUKA! Kuendesha injini na kiwango kidogo cha
mafuta itaharibu injini. Kutumia mafuta yasiyo na sabuni
inaweza kufupisha maisha ya injini mafuta na kutumia mafuta
ya pistoni mbili itaharibu injini.
Kielelezo.22
Kielelezo.24
www.murray.com