9. Utatuzi
!
ONYO! Kabla ya kufanya ukarabati au usafishaji
wowote, zima injini na usubiri hadi ubapa wa mashine
usimame kabisa. Ondoa buti ya spaki plagi kutoka kwa spaki
plagi.
!
TAHADHARI! Marekebisho yasiyofaa yanaweza
kusababisha mashine isiwe salama kutumia ambayo
inaweza kuumiza opereta watu wengine au uharibifu wa mali:
• Masuala yoyote ambayo hayawezi kurekebishwa kwa
msaada wa jedwali lifuatalo lazima lirejelewa kwa ajenti
aliyethibitishwa wa Briggs & Stratton.
• Marekebisho yasiyofaa yanaweza kubatilisha udhamini
na gharama za ziada pia zinaweza kuongezwa.
• Kwa masuala hatua za marekebisho zilizotajwa hapa
ambazo zinarejelea sehemu ya injini, rejelea Mwongozo
wa Opereta wa injini kwa ukarabati wa injini kwa maelezo
zaidi.
!
KUMBUKA! Tumia sehemu asili na zilizopendekezwa
pekee za Briggs & Stratton. Sehemu zingine zozote
zinaweza kuwa hazifai na zinaweza kuhatarisha usalama.
!
KUMBUKA! Kwa ajili ya kutoa au kuweka spaki plagi,
epuka matumizi ya bisibisi inayobadilika ambayo
inaweza kuharibu spaki plagi. Tumia bisibisi ya spaki plagi ya
ukubwa ulio sahihi.
!
KUMBUKA! Chunga wakati unarudia kuweka kisafisha
hewa kwa sababu kisafisha hewa kilichowekwa vibaya
itaruhusu uchafu kuingia kwa injini, na kusababisha
uwezekano wa uharibifu wa kudumu.
16
www.murray.com