Vipengele na Vielekezi
Kielelezo
1
A
Tangi la Mafuta
Swichi ya injini
B
Kifaa ya Kuvunja Saketi
C
D
Kifaa Kikuu ya Kuvunja
Saketi (6200A PEKEE)
E
230 Volt AC kifaa cha
kupokea
F
Kitango cha kutuliza
G
Kitambulisho cha injini
H
Kifuniko cha kujaza
mafuta/kijiti cha kupimia
Operesheni
Hatua 1: Eneo Salama
Kabla ya kuanzisha jenereta ya kubebeka kuna mambo
mawili muhimu ya kuzingatiwa kuhusiana na sumu ya
kaboni monoksidi na moto ambayo lazima yazingatiwe.
Eneo la operesheni ya jenerata ya kubebeka ili
KUPUNGUZA HATARI YA SUMU YA KABONI MONOKSIDI
ONYO! Kitolea moshi cha injini kinayo gesi
yenye sumu ya kaboni monoksidi, inayoweza
kuua kwa dakika chache. Huwezi kuinusa, kuiona,
au hata kuiramba. Hata kama huwezi kunusa mafusho
yanayotolewa, bado unaweza kukumbana na gesi ya
kaboni monoksidi. Tumia bidhaa hii nje ya nyumba pekee
mbali na madirisha, milango matundu ya kupitishia hewa ili
kupunguza hatari ya Kaboni monoksidi dhidi ya
kukusanyika na kuwa na uwezo wa kuvutwa kuelekea
kwenye nafasi zile Zingine. Weka ving'ora vya Carbon
Monoxide vinavyoendeshwa betri au ving'ora vya kaboni
monoksidi vya kuchomekwa vilivyo na chelezo cha betri
kulingana na maelekezo ya mtengenezaji. Ving'ora vya
moshi haviwezi kugudua gesi ya kaboni monoksidi.
Usitumie bidhaa hii ndani ya nyumba, gareji, vyumba vya
chini kwa chini, nafasi za kutambalia, vibanda vya
kuifadhia vitu, au sehemu nyingine zilizofunikwa-kiasi ata
kama unatumia feni au unaifungua milango na madirisha
kwa minajili ya kupitisha hewa. Kaboni monoksisdi
inaweza kushinikiza kwenye nafasi hizi na kubakia hapo
kwa saa kadhaa, hata baada ya bidhaa hii kuzimwa. SIKU
ZOTE weka bidhaa hii mahali ambapo upepo unavuma
ukielekea na uelekeze kitolea moshi cha injini mbali na
nafasi hizi tumika. Ukianza kuhisi mgonjwa, kisuzi, au
mnyonge wakati unatumia bidhaa hii, nenda mahali penye
hewa safi mara moja. Muone daktari. Huenda unaweza
kuwa umepumua sumu ya kaboni monoksidi.
TUMIA NJE - ZUIA SUMU YA KABONI MONOKSIDI
USE OUTDOORS - AVOID CARBON MONOXIDE POISONING
KIFAA CHA KUNYAMAZISHA EKSOZI
MUFFLER
elekeza mbali
point away
na boma
from home
4
J
Plagi ya Kumwaga Oili
Kichujio cha Hewa
K
Leva ya Kusakama
L
M
Kiwashi cha Waya
N
Valvu ya Mafuta
P
Lebo ya Utambulisho
Q
Cheche za kuzuia mafula
Eneo la Operesheni la Jenereta ya Kubebeka ya
KUPUNGUZA HATARI YA MOTO
ONYO! Joto ya gesi ya Eksozi/inaweza kuwasha
vitu vinavyoweza kuwaka, haribu miundo au tenki
ya mafuta na kusababisha athari ya moto, ambayo
inaweza sababisha kifo au majeraha makubwa. Ni lazima
jenereta ya kubebeka iwe mita 1.5 (futi 5) mbali na jengo
lolote, ikining'inia, miti, madirisha, milango au kuta zozote,
vichaka au mimea yenye urefu wa zaidi ya sentimita 30.5
(inchi 12). Usiweke jenereta ya kubebeka chini ya staha
ama aina nyingine yoyote ya jengo ambalo litazuia
upitishaji wa hewa nyingi. Lazima ving'ora vya moshi
viwekwe na vihifadhiwe ndani kulingana na maelekezo na
mapendekezo ya mtengenezaji. Ving'ora vya kaboni
monoksidi haviwezi gundua moshi. Usiweke jenereta ya
kubebeka kwa njia nyingine isipokuwa ile imeonyeshwa.
Mita 1.5 (Futi 5).
KIFAA CHA
KUNYAMAZISHA EKSOZI
Mita 1.5
(Futi 5).
VING'ORA VYA KABONI
CARBON MONOXIDE ALARM(S)
MONOKSIDI
Install carbon monoxide alarms
Weka ving'ora vya kaboni monoksidi
inside your home. Without working
kwa boma lako. Bila ving'ora vya kaboni
carbon monoxide alarms, you will
monoksidi vinavyofanya kazi, hutaweza
not realize you are getting sick
kugundua unapoa endelea kugonjeka na
and dying from carbon monoxide.
pia kufa kwa sumu ya kaboni monoksidi.
BRIGGSandSTRATTON.COM