Briggs & Stratton 1200A Manual Del Usuario página 183

Tabla de contenido

Publicidad

Idiomas disponibles
  • ES

Idiomas disponibles

  • ESPAÑOL, página 53
Ukarabati
Ratiba ya Udumishaji
Fuata kila saa au vipinda vya kalenda, kwa namna
yoyote itakayotokea ya kwanza. Huduma ya mara kwa
mara zaidi inahitajika wakati unapoendesha kwenye hali
mbaya zaidi.
Masaa matano ya kwanza
• Badilisha mafuta ya injini
Kwa kila masaa hamsini ama kila mwaka
• Safisha kichujio cha hewa cha injini
Kwa kila masaa hamsini ama kila mwaka
• Badilisha mafuta ya injini
Kila Mwaka
• Badilisha kichujio cha hewa cha injini
• Hudumia valvu ya mafuta
• Hudumia Spaki Plagi
• Kagua kifaa cha kunyamazisha eksozi na ya
kushika cheche
• Safisha mfumo wa kupooza
Hudumia mara nyingi zaidi katika hali chafu au iliyo na vumbi.
1
Mapendekezo Kwa Ujumla
Ukarabati wa mara kwa mara utaboresha utendakazi
na kurefusha maisha kwa kioshaji kwa presha. Muone
Mhudumu yeyote wa Briggs & Stratton Aliyeidhinishwa
kwa huduma na udumishaji. Kufunga na pia ukarabati
mkubwa pia lazima ufanywe na mtu ambaye amefunzwa
hasa kushughulikia jambo hilo.
Marekebisho yoyote na huduma zinafaa kufanywa
angalau mara moja kila msimu. Cheche mpya za
kuziba na kichujio cha kusafisha hewa ili kuhakikisha
mchanganyiko mzuri wa hewa na mafuta ili kusaidia
injini yako kuendeshwa vyema na pia kudumu kwa muda
mrefu. Fuata matakwa kwa Ratiba ya Udumishaji.
ONYO! Ili kuhakikisha usalama wa mashine,
tumia vipuri asili tu kutoka kwa watengenezaji au
vilivyothibitishwa na watengenezaji. Endapo
utakuwa na maswali yoyote kuhusu kusawazisha vipuri hivi
kwenye kioshaji kwa shinikizo yako, tafadhali tembelea
tovuti yetu katika BRIGGSandSTRATTON.COM.
TAHADHARI Kasi za juu au chini zaidi zinaweza
kusababisha majeraha madogo. Usichokore
springi ya gavana, viungo au sehemu zingine ili
kubadilisha kasi. Usifanye mabadiliko kwenye jenereta kwa
namna yoyote ile.
1
1
1
1
Uhifadhi
Kama unahifadhi kifaa hiki kwa zaidi ya siku 30, tumia
miongozo ifuatayo ili kuandaa hifadhi.
Maelekezo ya Uhifadhi wa Muda Mrefu
Mafuta yanaweza kuharibika endapo yatahifadhiwa zaidi
ya siku 30. Mafuta yaliyoharibika yanaweza kusababisha
mabaki ya asidi na gamu na kufanya mabaki haya
kubakia kwenye mfumo wa mafuta au kwenye sehemu
muhimu za kabyureta. Ili uweke mafuta yakiwa sawa,
tumia Fomyula Bora ya Dawa & Kisawazisha Mafuta ya
Briggs & Stratton
, inayopatikana mahali popote vipuri
®
halisi vya ukarabati vinauzwa.
Hakuna haja ya kuondoa mafuta kutoka kwenye injini
kama kidhibiti cha mafuta kitaongezwa kulingana na
maelekezo yaliyotolewa. Endesha injini kwa dakika 2
ili kuzungusha kidhibiti kwenye mfumo wote wa mafuta
kabla ya uhifadhi.
Kama mafuta kwenye injini hayajatiwa dawa kwa kutumia
kidhiti cha mafuta, lazima yaondolewe na kuwekwa
kwenye mkebe ulioidhinishwa. Endesha injini mpaka pale
itakaposita kutokana na ukosefu wa mafuta. Matumizi
ya kidhibiti cha mafuta kwenye mkebe wa kuhifadhi
yanapendekezwa ili kuhakikisha mafuta hayo ni mazuri.
ONYO! Mafuta na mivuke yake
yanaweza kuwaka na kulipuka hivyo
yanaweza kuchoma, washa moto au
mlipuko na kusababisha kifo au majeraha makubwa.
Wakati unahifadhi mafuta au mitambo iliyo na mafuta
kwenye tangi, ihifadhi mbali na tanuu, stovu, vipashaji
maji moto, vikaushaji vya nguo, au mitambo mingineyo
iliyo na taa zilizoko kwenye sehemu ya mbele au chanzo
kingine cha kuwaka kwa sababu inaweza kuwasha
mivuke ya mafuta. Unapoondoa mafuta zima jenereta na
uwache ipoe angalau dakika 2 kabla ya kutoa kifuniko
cha mafuta. Legeza kifuniko taratibu ili kupungua
shinikizo kwa tanki. Jaza tangi la mafuta ukiwa nje ya
nyumba. Weka mafuta mbali na cheche, moto ulio wazi,
taa ya kujaribia, joto, na vyanzo vingine vya moto. Angalia
mistari ya mafuta, tenki,kofia na sehemu za kuunganisha
mara nyingi kwa nyufa au mtiririko. Badilisha kama
itahitajika.
Vidokezo Vingine vya Kuhifadhi
1. Safisha jenereta kama ilivyoainishwa kwa Kusafisha.
2. Weka jenereta mahali pasafi na pakavu na ufunike na
kifaa zha kukinga ambacho hakileti unyevunyevu.
ONYO! Fifuniko vya uhifadhi vinaweza
kusababisha moto na hatimaye kifo au majeraha
mabaya. Usiwekee kifuniko ya kihifadhi juu ya
jenereta iliyo moto.Wacha vifaa vipoe kwa muda wa
kutosha kabla ya kuweka kifuniko juu yake.
7

Publicidad

Tabla de contenido
loading

Tabla de contenido