Briggs & Stratton VANGUARD 25V000 Manual Del Operador página 58

Ocultar thumbs Ver también para VANGUARD 25V000:
Tabla de contenido

Publicidad

Idiomas disponibles
  • ES

Idiomas disponibles

  • ESPAÑOL, página 26
6.
Legeza skrubu (I, Kielelezo 11). Funga vazi la kebo (N) chini ya klampu (M) na
ukaze skrubu (I).
7.
Kagua utendakazi wa kidhibiti injini kwa mbali. Sogeza kidhibiti injini kwa
mbali kutoka eneo linaloonyesha polepole hadi haraka mara 2-3. Hakikisha
kwamba kidhibiti injini kwa mbali na kebo (L, Kielelezo 11) zinasoga kwa urahisi.
Rekebisha nati (P, Kielelezo 3) inavyohitajika for ajili ya eneo husika.
Kasi ya Injini Isiyobadilika (Hakuna Kebo ya Kidhibiti Injini)
Inapogeuzwa kuwa Kasi ya Injini Isiyobadilika, hakuna kebo ya kidhibiti injini na kasi
haijachaguliwa. HARAKA ndio kasi pekee ya injini.
1.
Sogeza wenzo wa kidhibiti injini / TransportGuard® (A, Kielelezo 12) hadi kwenye
eneo linaloonyesha ZIMA.
2.
Ondoa springi (S, Kielelezo 12).
3.
Sogeza wenzo wa kidhibiti injini / TransportGuard
eneo la HARAKA.
4.
Hakikisha skrubu ya kufunga waya (V, Kielelezo 12) inapimana na shimo katika
bano. Kaza skrubu (V) hadi 25 lb-in (2,8 Nm).
5.
Ondoa kiungo cha kidhibiti (H, Kielelezo 12).
KUMBUKA: Wakati huu, wenzo wa kidhibiti injini / TransportGuard
maeneo mawili pekee: Eneo la kuonyesha SIMAMA / ZIMA na eneo la kuonyesha
ENDESHA.
6.
Weka lebo mpya ya TransportGuard
lebo iliyopo ya udhibiti kasi iliyo kwenye paneli ya kando (F).
Uendeshaji
Kagua Kiwango cha Oili
Kabla ya kukagua au kuongeza oili
Hakikisha injini haijainama.
Safisha vifusi kutoka kwenye eneo la oili.
Tazama sehemu ya Vipimo ili kujua kiwango cha oili.
NOTISI 
Injini hii ililetwa kutoka Briggs & Stratton bila oili. Watengenezaji au wauzaji vifaa
huenda waliongeza oili kwenye injini. Kabla ya kuwasha injini kwa mara ya kwanza,
hakikisha umekagua kiwango cha oili ni sahihi. Ongeza oili kama ilivyobainishwa na
maagizo kwenye mwongozo huu. Ukiwasha injini bila oili, injini itaharibika na haiwezi
kukarabatiwa chini ya waranti.
1.
Ondoa kifaa cha kupima kiwango cha oili (A, Kielelezo 14) na upanguze kwa
kitambaa safi
2.
Weka na ukaze kifaa cha kupima kiwango cha oili (A, Kielelezo 14).
3.
Ondoa kifaa cha kupima oili na ukague kiwango cha oili. Hakikisha kwamba
kiwango cha oili kiko juu ya alama inayoashiria kujaa (B, Kielelezo 14) kwenye kifaa
cha kupima kiwango cha oili.
4.
Innini ina matundu mawili ya kujazia oili (C, G, Kielelezo 15). Iwapo kiwango cha
oili kiko chini, polepole weka oili kwenye tundu la kujazia oili kwenye injini (C, G).
Usiongoze oili nyingi kupita kiasi. Baada ya kuongeza oili, subiri dakika moja na
kisha ukague kiwango cha oili tena. Hakikisha kwamba kiwango cha oili ni sahihi.
5.
Weka na ukaze kifaa cha kupima kiwango cha oili (A, Kielelezo 14).
Mapendekezo ya Oili
Kiwango cha Oili: Tazama sehemu ya Vipimo.
NOTISI 
Injini hii ililetwa kutoka Briggs & Stratton bila oili. Watengenezaji au wauzaji vifaa
huenda waliongeza oili kwenye injini. Kabla ya kuwasha injini kwa mara ya kwanza,
hakikisha umekagua kiwango cha oili ni sahihi. Ongeza oili kama ilivyobainishwa na
maagizo kwenye mwongozo huu. Ukiwasha injini bila oili, injini itaharibika na haiwezi
kukarabatiwa chini ya waranti.
Tunapendekeza matumizi ya oili Zilizoidhinishwa na Hakikisho la Briggs & Stratton
kupata utendakazi bora. Oili nyingine za usafishaji zinaruhusiwa ikiwa zimebainishwa
kwa huduma ya SF, SG, SH, SJ au ya juu zaidi. Usitumie vitegemezi maalum. 
Tumia chati kuchagua mnato bora zaidi kwa hali joto ya nje inayotarajiwa. Injini katika
vifaa vingi vya nje zinafanya kazi vyema zikitumia oili ya 5W-30 Synthetic. Kwa vifaa
vinavyoendeshwa katika joto la juu, oili ya Vanguard
bora.
58
®
(A, Kielelezo 12) hadi kwenye
®
utakuwa na
®
ya WASHA / ZIMA (O, Kielelezo 13) juu ya
®
15W-50 Synthetic inatoa ulindaji
A
SAE 30 - Chini ya 40 °F (4 °C) matumizi ya SAE 30 yatasababisha ugumu wa
kuwasha.
B
10W-30 - Juu ya 80 °F (27 °C) matumizi ya 10W-30 yanaweza kusababisha
ongezeko la matumizi ya oili. Kagua kiwango cha oili mara nyingi.
C
5W-30
D
Sinthetiki 5W-30
E
®
Vanguard
 Synthetic 15W-50
Mfumo wa Ulinzi dhidi ya Oili Chache (iwapo upo)
Kihisio cha oili chache kimesakinishwa kwenye baadhi ya injini. Iwapo oili iko chini,
kihisio kitaonyesha mwangaza wa onyo au kuzima injini. Zima injini na ufuate hatua
zifuatazo kabla ya kuwasha injini.
Hakikisha injini haijainama.
Kagua kiwango cha oili. Rejelea sehemu ya Kagua Kiwango cha Oili.
Iwapo kiwango cha oili kiko chini, ongeza kiwango sahihi cha oili. Washa injini
na uhakikishe kwamba mwangaza wa onyo (iwapo upo) hauwashi.
Iwapo kiwango cha oili hakiko chini, usiwashe injini. Wasiliana na Muuzaji
Huduma Aliyeidhinishwa wa Briggs & Stratton ili kurekebisha tatizo hilo la oili.
Mapendekezo ya Mafuta
Mafuta ni lazima yatimize mahitaji haya:
Petroli safi, freshi, isiyo na risasi (unleaded).
Kiwango cha chini zaidi cha okteni 87/AKI 87 (91 RON). Matumizi katika
mwinuko wa juu, tazama hapa chini.
Petroli iliyo na hadi ethanoli 10% (gasoholi) inaruhusiwa.
NOTISI 
Usitumie petroli ambayo haijaidhinishwa, kama vile E15 na E85. Usichanganye oili
kwenye petroli au kurekebisha injini ili itumie mafuta mbadala. Matumizi ya mafuta
ambayo hayajaidhinishwa yataharibu vipengele vya injini, na haitakarabatiwa chini ya
waranti.
Ili kulinda mfumo wa mafuta kutokana na utengenezaji wa gundi, na ubabuzi,
changanya kiimarishaji mafuta bila alkoholi na tiba ya ethanoli ndani ya mafuta. Rejelea
sehemu ya Uhifadhi. Mafuta yote si sawa. Iwapo matatizo ya kuwasha au utendakazi
yatatokea, badilisha unakonunua mafuta au ubadilishe aina. Injini hii imeidhinishwa
kuendeshwa kutumia petroli. Mfumo wa kudhibiti mafukizo wa injini za kabureta ni EM
(Engine Modifications (Marekebisho ya Injini)). Mifumo ya kudhibiti mafukizo kwa injini
zilizo na unyonyaji mafuta kielektroniki ni ECM (Engine Control Module (Moduli ya
Kidhibiti Injini)), MPI (Multi Port Injection (Unyonyaji kwa Matundu Kadhaa)) na ikiwa ina
O2S (Oxygen Sensor (Sensa ya Oksijeni)).
Mwinuko wa Juu
Katika minuko zaidi ya fiti 5,000 (mita 1524), kiwango cha chini cha okteni 85 / AKI 85
(RON 89) cha petroli kinakubalika.
Kwa injini iliyo na kabureta, marekebisho ya mwinuko wa juu yanahitajika ili kudumisha
utendakazi. Uendeshaji bila marekebisho haya unaweza kusababisha kupunguka kwa
®
 ili
utendakazi, matumizi ya mafuta kuongezeka, na mafukizo kuongezeka. Wasiliana na
Mtoa Huduma wa Briggs & Stratton Aliyeidhinishwa kwa maelezo ya marekebisho ya
mwinuko wa juu. Uendeshaji injini katika mwinuko wa chini ya fiti 2,500 (mita 762) na
marekebisho ya mwinuko wa juu hayapendekezwi.
Kwa injini za Uingizaji Mafuta wa Kielektroniki (EFI), hakuna marekebisho ya mwinuko
wa juu yanahitajika.

Publicidad

Tabla de contenido
loading

Tabla de contenido