Briggs & Stratton 130000 Manual Del Operario página 42

Ocultar thumbs Ver también para 130000:
Tabla de contenido

Publicidad

Idiomas disponibles
  • ES

Idiomas disponibles

  • ESPAÑOL, página 15
Q.
Upunguzaji Gia wa 2:1 (iwapo upo)
Ishara za Kudhibiti Injini na Maana
Kasi ya injini - HARAKA 
Kasi ya injini - SIMAMA 
Kuwasha injini - Choki
IMEFUNGWA 
Kifuniko cha Mafuta
Kizima fueli -
KILICHOFUNGULIWA 
Kiwango cha mafuta -
Upeo
Usijaze kupita kiasi 
Oparesheni
Mapendekezo ya Oili
 Kiwango cha Oili: Tazama sehenmu ya Vipimo. 
Notisi
Injini hii ililetwa kutoka Briggs & Stratton bila oili. Watengenezaji au wauzaji vifaa
huenda waliongeza mafuta kwenyeinjini. Kabla ya kuwasha injini kwa mara ya
kwanza, hakikisha umekagua kiwango cha oili na uongeze oili kulingana na maagizo
kwenye mwongozo huu. Iwapo utawasha injini bila mafuta, itaharibika hadi kushindwa
kukarabatiwa na hutafidiwa chini ya udhamini huu. 
Tunapendekeza matumizi ya oili Zilizoidhinishwa na Hakikisho la Briggs & Stratton
kupata utendakazi bora. Oili nyingine za usafishaji zinakubalika ikiwa zimebainishwa
kwa huduma ya SF, SG, SH, SJ au ya juu zaidi. Usitumie vitegemezi maalum. 
Hali joto ya nje inabainisha mnato sahihi wa oili kwa injini. Tumia chati kuchagua mnato
bora zaidi kwa hali joto ya nje inayotarajiwa. Injini katika vifaa vingi vya nje zinafanya
kazi vyema zikitumia oili ya 5W-30 Synthetic. Kwa vifaa vinavyoendeshwa katika joto la
®
juu, oili ya Vanguard
15W-50 Synthetic inatoa ulindaji bora. 
 
 
 A 
 SAE 30 -  Chini ya 40 °F (4 °C) matumizi ya SAE 30 yatasababisha ugumu wa
kuwasha. 
 B 
 10W-30 -  Juu ya 80 °F (27 °C) matumizi ya 10W-30 yanaweza kusababisha
ongezeko la matumizi ya oili. Kagua kiwango cha oili mara nyingi zaidi. 
 C 
 5W-30 
 Sinthetiki 5W-30 
 D 
42
Angalia Kiwango cha Mafuta
Tazama Kelelezo: 6, 7
Kasi ya injini - POLEPOLE 
Kabla ya kuongeza au kuangalia mafuta
WASHA - ZIMA 
Kifaa Kifupi cha Kuangalia Mafuta, iwapo kipo
1.
2.
Kuwasha injini - Choki
IMEFUNGULIWA 
3.
Kizima fueli -
4.
KILICHOFUNGW 
5.
Kifaa kipana cha kuangalia mafuta, iwapo kipo
1.
2.
3.
4.
5.
Mfumo wa Ulinzi wa Chini wa Mafuta
(iwapo upo)
Baadhi ya modeli zina kihisio cha mafuta ya chini. Iwapo mafuta yako chini, kihisio aidha
kitaamilisha mwangaza wa tahadhari au kusimamisha injini. Simamisha injini na ufuate
hatua hizi kabla ya kuwasha tena injini.
®
 ili
Mapendekezo ya Mafuta
 Mafuta ni lazima yatimize mahitaji haya: 
Ili kulinda mfumo wa mafuta kutokana na utengenezaji wa gundi, changanya kiimarishaji
mafuta ndani ya mafuta. Tazama  Uhifadhi.  Mafuta yote sio sawia. Iwapo matatizo
ya kuwasha au utendakazi yatatokea, badilisha unakonunua mafuta au ubadilishe
aina. Injini hii imeidhinishwa kuendeshwa kutumia petroli. Mfumo wa kudhibiti mafukizo
wa injini za kabureta ni EM (Engine Modifications (Marekebisho ya Injini)). Mifumo ya
kudhibiti mafukizo kwa injini zilizo na unyonyaji mafuta kielektroniki ni ECM (Engine
Control Module (Moduli ya Kidhibiti Injini)), MPI (Multi Port Injection (Unyonyaji kwa
Matundu Kadhaa)) na ikiwa ina O2S (Oxygen Sensor (Sensa ya Oksijeni)).
Mwinuko wa Juu
Katika mwinuko wa zaidi ya futi 5,000 (mita1524), kiwango cha chini cha okteni 85 /85
AKI (89 RON) petroli inakubaliwa.
Kwa injini iliyo na kabureta, marekebisho ya mwinuko wa juu yanahitajika ili kudumisha
utendakazi. Oparesheni bila marekebisho unaweza kusababisha kupunguka kwa
utendakazi, matumizi ya fueli yalioongezeka, na uchafuzi ulioongezeka. Wasiliana na
Mtoa Huduma wa Briggs & Stratton Aliyeidhibishwa kwa maelezo ya marekebisho ya
 E 
®
 Vanguard
  Synthetic 15W-50 
• Hakikisha kuwa mtambo uko katika kiwango.
• Safisha eneo la kujaza mafuta kutokana na uchafu wowote.
Ondoa kifaa cha kuangalia kiwango cha mafuta (A, Kielelezo 6) na upanguse kwa
kitambaa safi.
Sakinisha kifaa cha kupima kiwango cha mafuta (A, Kielelezo 6). Usigeuze au
kukaza.
Ondoa kifaa cha kupima mafuta na ukague kiwango cha mafuta. Kiwango sahihi
cha mafuta kiko juu ya kiashiria kilichojaa kwenye kifaa cha kuangalia kiwango
cha mafuta (B, Kielelezo 6) kwenye kifaa cha kuangalia kiwango cha mafuta.
Iwapo kiwango cha mafuta kiko chini, kwa utaratibu ongeza mafuta kwenye eneo
la mafuta (C, Kielelezo 6). Jaza hadi sehemu ya kufurika.
Sakinisha upya na ukaze kifaa cha kuangalia kiwango cha mafuta (A, Kielelezo 6).
Ondoa kifaa cha kuangalia kiwango cha mafuta (A, Kielelezo 7) na upanguse kwa
kitambaa safi.
Sakinisha na ukaze kifaa cha kuangalia kiwango cha mafuta (A, Kielelezo 7).
Ondoa kifaa cha kupima mafuta na ukague kiwango cha mafuta. Kiwango sahihi
cha mafuta kiko juu ya kiashiria kilichojaa kwenye kifaa cha kuangalia kiwango
cha mafuta (B, Kielelezo 7) kwenye kifaa cha kuangalia kiwango cha mafuta.
Iwapo kiwango cha mafuta kiko chini, kwa utaratibu ongeza mafuta kwenye eneo
la mafuta (C, Kielelezo 7). Usijaze kupita kiasi. Baada ya kuongeza mafuta,
subiri dakika moja na kisha angalia kiwango cha mafuta.
Sakinisha upya na ukaze kifaa cha kuangalia kiwango cha mafuta (A, Kielelezo 7).
• Hakikisha injini iko katika sehemu laini.
• Angalia kiwango cha mafuta. Tazama sehemu Kuangalia Kiwango cha Mafuta.
• Iwapo kiwango cha mafuta kiko chini, ongeza kiwango sahihi cha mafuta. Washa
injini na uhakikishe mwangaza wa tahadhari (iwapo upo) haujaamilishwa.
• Iwapo kiwango cha mafuta hakiko chini, usiwashe injini. Wasiliana na Mtoa
Huduma wa Briggs & Stratton Aliyeidhinishwa ili kurekebisha matatizo ya mafuta.
• Petroli safi, freshi, isiyo na risasi (unleaded). 
• Kiwango cha chini zaidi cha okteni 87/AKI 87 (91 RON). Matumizi katika mwinuko
wa juu, tazama hapa chini. 
• Petroli iliyo na hadi ethanoli 10% (gasoholi) inakubalika. 
Notisi
Usitumie petroli ambayo haijaidhinishwa, kama vile E15 na E85.
Usichanganye oili kwenye petroli au kurekebisha injini ili itumie mafuta mbadala.
Utumizi wa mafuta ambayo hayajaidhinishwa utaharibu vipengele vya injini, jambo
ambalo halijasimamiwa na hakikisho. 
BRIGGSandSTRATTON.com

Publicidad

Tabla de contenido
loading

Tabla de contenido