Briggs & Stratton 130000 Manual Del Operario página 46

Ocultar thumbs Ver también para 130000:
Tabla de contenido

Publicidad

Idiomas disponibles
  • ES

Idiomas disponibles

  • ESPAÑOL, página 15
• Iwapo fueli itamwagika, subiri hadi ivukize kabla ya kuwasha injini.
• Sehemu za ubadilishaji lazima ziwe sawa na zilizosakinishwa katika eneo sawa
kama sehemu asili.
Kichujio cha Fueli, iwapo kipo
1.
Kabla ya kusafisha au kubadilisha kichujio cha fueli (A, Kielelezo 20), ondoa
mafuta kwenye tangi au funga vali ya kifuniko cha fueli. Vinginevyo, fueli inaweza
kuvuja na kusababisha moto au mlipuko.
2.
Tumia koleo kufinyiza vichupo (B, Kielelezo 20) kwenye vibanio (C), kisha
telezesha vibanio kutoka kwenye kichujio cha fueli (A). Zungusha na uvute tundu
za fueli (D) kutoka kwenye kichujio cha fueli.
3.
Angalia tundu za fueli (D, Kielelezo 20) kwa nyufa na uvujaji. Badilisha
ikiwezekana.
4.
Badilisha kichujio cha fueli kwa kichujio asili cha kifaa cha ubadilishaji (A,
Kielelezo 20).
5.
Linda tundu za fueli kwa vibanio (C) kama ilivyoonyeshwa (D, Kielelezo 20).
Kichujio cha Fueli, iwapo kipo
1.
Ondoa kifuniko cha fueli (A, Kielelezo 21).
2.
Ondoa kichujio cha fueli (B, Kielelezo 21).
3.
Iwapo kichujio cha fueli ni kichafu, safisha au kibadilishe. Iwapo utabadilisha
kichujio cha fueli, hakikisha umetumia kichujio asili cha fueli cha ubadilishaji.
Shughulikia Mfumo wa Kupoesha
Onyo
Injini inayoendesha inazalisha joto. Sehemu za injini, hususan mafla, huwa
moto zaidi.
Kuchomeka vikali kunaweza kusababishwa unapogusana nazo.
Uchafu unaoweza kuwaka, kama vile majani, nyasi, brashi, n.k., unaweza
kushika moto.
• Ruhusu mafla, silinda na mapezi ya injini kupoa kabla ya kugusa.
• Ondoa uchafu uliokusanyika kutoka kwenye eneo la mafla na eneo la silinda.
Notisi
Usitumie maji kusafisha injini. Maji yanaweza kuchafua mfumo wa fueli.
Tumia brashi au kitambaa kilichokauka kusafisha injini.
Hii ni injini inayopoeshwa na hewa. Uchafu unaweza kuzuia mtiririko wa hewa na
kusababisha injini kuchemka kupita kiasi, na kusababisha utendakazi mbaya na
kupunguza maisha ya injini.
1.
Tumia brashi au kitambaa kilichokauka kuondoa uchafu kutoka kwenye grili ya
kuingiza hewa.
2.
Weka uhusiano, springi na vidhibiti safi.
3.
Weka ene lililo karibu na nyuma ya mafla, iwapo ipo, huru kutokana na uchafu
wowote unaoweza kuwaka.
4.
Hakikisha mapezi ya kupoesha mafuta, iwapo yapo, yako huru kutokana na
uchafu.
Baada ya kipindi cha muda, uchafu unaweza kukusanyika kwenye mapezi ya
kupoesha silinda na kusababisha injini kuwa moto kushinda kiasi. Uchafu huu hauwezi
kuondolewa bila kutokusanyika kwa kiasi fulani kwa injini. Ruhusu Mtoa Huduma wa
Briggs & Stratton Aliyeidhinishwa kukagua na kusafisha mfumo wa kupoesha hewa
kama ilivyopendekezwa kwenye Ratiba ya Udumishaji.
Hifadhi
Onyo
Mafuta na mvuke wake unaweza kuwaka moto na kulipuka kwa haraka sana.
Moto au mlipuko unaweza kusababisha majeraha mabaya kuchomeka au kifo.
Wakati wa Kuhifadhi Mafuta Au Kifaa Kilicho na Mafuta Kwenye Tangi
• Hifadhi mbali na tanuu, stovu, hita za kuchemshia maji, au vitu vingine ambavyo
vina taa za moto au vyanzo vya mwako kwa sababu vinaweza kuwasha moto
kwenye mvuke wa mafuta.
Mfumo wa Mafuta
Tazama Kielelezo: 22 
Hifadhi kiwango cha injini (mkao wa kawaida wa kuendesha). Jaza tangi la mafuta (A,
Kilelezo 22) kwa mafuta. Ili kuruhusu uvukizi wa mafuta, usijaze kupita chini ya shingo
ya tangi la mafuta (B). 
46
Mafuta yanaweza kuharibika yanapohifadhiwa katika kontena ya uhifadhi kwa zaidi ya
siku 30. Kila mara unapojaza kontena kwa mafuta, ongeza kiimarishaji mafuta kwenye
mafuta kama ilivyobainishwa na maagizo ya mtengenezaji. Hii inafanya mafuta kukaa
yakiwa safi na kupunguza matatizo yanayohusiana na mafuta au uchafu katika mfumo
wa mafuta.
Si lazima umwage mafuta kutka kwenye injini wakati kiimarishaji mafuta kinapoongezwa
kama ilivyoagizwa. Kabla ya kuendesha, WASHA injini kwa dakika 2 ili kueneza mafuta
na kiimarishaji kote kwenye mfumo wa mafuta.
Ikiwa petroli ndani ya injini haijatibiwa kwa kiimarishaji mafuta, ni lazima imwagwe
kwenye kontena iliyoidhinishwa. Endesha injini hadi isimame kutokana na ukosefu wa
mafuta. Matumizi ya kiimarishaji mafuta kwenye kontena ya uhifadhi yanapendekezwa ili
kudumisha usafi. 
Mafuta ya Injini
Wakati injini bado ina joto, badilisha mafuta ya injini. Tazama sehemu Kubadilisha
Mafuta ya Injini.
Utafutatuzi
Kwa usaidizi, wasiliana na mhudumu wa karibu au nenda kwenye
BRIGGSandSTRATTON.com au piga 1-800-233-3723 (Marekani).
Vipimo
Modeli: 130000 
Umbali 
Kuzalisha 
Mpigo 
Kiwango cha Mafuta ya Mtambo 
Nafasi ya Kuziba Cheche 
Toku ya Kuziba Cheche 
Nafasi ya Koili inayozunguka ya Hewa 
Uingizaji wa Vali ya Kuingiza hewa 
Uondoaji wa Vali ya Eneo la Kutolea
moshi 
Kitengo cha Kupunguza Gia cha 6:1 (iwapo kipo) 
Gia ya Kupunguza Aina ya Mafuta 
Gia ya Kupunguza Kiwango cha Mafuta 
 Nguvu ya injini utapungua kwa 3.5% kwa kila futi 1,000 (mita 300) juu ya mwinuko
wa bahari na 1% kwa kila 10° F (5.6° C) juu ya 77° F (25° C). Injini itaendesha kwa
kuridhisha katika pembe ya hadi 15°. Rejelea mwongozo wa mhudumu wa kifaa kwa
viwango salama vinavyoruhusiwa kwenye mteremko. 
Sehemu ya Huduma - Modeli: 130000 
 Sehemu ya Huduma 
Kichujio cha Hewa, Karatasi (Kielelezo 15) 
Kisafishaji cha Mwanzo cha Kichujio cha Hewa,
(Kielelezo 15) 
Kichujio cha Hewa, Povu (Kielelezo 16) 
Kichujio cha Hewa, Kishikiliaji (Kielelezo 16) 
Kichujio cha Hewa, Karatasi (Kielelezo 17) 
Kisafishaji cha Mwanzo cha Kichujio cha Hewa,
(Kielelezo 17) 
Mafuta, Mtambo 
Kiziba Cheche 
Kifaa kinachotumiwa kutega Kuziba Cheche 
Kijaribio cha Cheche 
 Tunapendekeza kuwa umwone Mtoa Huduma yeyote wa Briggs & Stratton
Aliyeidhinishwa kwa udumishaji na huduma zote za injini na sehemu za injini. 
Ukadiriaji wa Nishati: Ukadiriaji wa pato la nishati kwa kila modeli ya injini ya petroli
imewekwa alama kwa kuzingatia SAE (Jumuiya ya Wahandisi wa Magari) msimbo
J1940 Nishati ya Injini Ndogo & Utaratibu wa Ukadiriaji wa Toku, na umekadiriwa
kwa kuzingatia SAE J1995. Thamani ya toku inafikia 2600 RPM kwa injini hizi kwa
 12.69 ci (208 cc) 
 2.756 in (70 mm) 
 2.13 in (54 mm) 
 18 - 20 oz (,54 - ,59 L) 
 .030 in (,76 mm) 
 180 lb-in (20 Nm) 
 .010 - .014 in (,25 - ,35 mm) 
 .004 - .006 in (,10 - ,15 mm) 
 .006 - .008 in (,15 - ,20 mm) 
 80W-90 
 4 oz (,12 L) 
 Nambari ya Sehemu 
 590601 
 590602 
 696263 
 543442 
 491588, 5043 
 493537, 5064 
 100005 
 491055 
 816206 
 19368 
BRIGGSandSTRATTON.com

Publicidad

Tabla de contenido
loading

Tabla de contenido