Briggs & Stratton 030722-00 Manual Del Usuario página 46

Tabla de contenido

Publicidad

Idiomas disponibles
  • ES

Idiomas disponibles

  • ESPAÑOL, página 18
Jedwali la Yaliyomo
Alama za Usalama na Udhibiti. . . . . . . . . . . . . . . . . . 4
Maelezo ya Kifaa . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . 4
Vipengele na Vidhibiti. . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . 5
Uendeshaji . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . 5
Udumishaji. . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . 8
Uhifadhi . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . 8
Kutatua Matatizo. . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . 9
Maelezo . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . 9
Hakikisho. . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . 10
Alama za Usalama na Udhibiti
Alama ya tahadhari ya usalama inaonyesha hatari iliyopo
ya majeraha ya kibinafsi. Alama ya usalama inaweza
kutumika kuwakilisha aina ya hatari. ONYO inaonyesha
hatari ambayo, isipoepukwa, inaweza kusababisha kifo
au jeraha mbaya sana. TAHADHARI inaonyesha hatari
ambayo, isipoepukwa, inaweza kusababisha jeraha dogo
au wastani. ILANI inaonyesha maelezo ynayozingatiwa
kuwa muhimu, lakini hayahusiani na hatari.
Alama ya
Mwongozo wa
Tahadhari
Maagizo
ya Usalama
Moto
Mshtuko wa
Umeme
King'ora
Wanya Baki
Ambao
cha Kaboni
Haijaunganishwa
Monoksidi
na Chochote
Kiwango cha
Oili
Oili
Washa/
Zima
Endesha
Utoshaji
Utoshaji
Anza
4
Kuvutwa
Moshi
Nyuma kwa
wenye Sumu
Haraka
Mlipuko
Eneo Moto
Waya wa Ardhini
Mafuta
!
Kidhibiti cha
Usiwashe
Injini
Injini
Umeme wa AC
Swichi ya
Kukata
Umeme
Choki
Endesha
Maelezo ya Kifaa
Soma mwongozo huu kwa makini na
ufahamu kuitumia jenereta yako ya nje. Jua
matumizi yake, upungufu wake, na hatari
zozote zinazohusika. Hifadhi maagizo haya asili kwa
marejeleo ya siku zijazo.
Jenereta ya nje ni jenereta inayoendeshwa na injini,
yenye sumaku inayozunguka, inayotumia mfumo wa
umeme (AC) yenye kidhibiti cha volteji. Kidhibiti cha
volteji kimeundwa ili kidumishe kiotomatiki kiwango cha
volteji kinachotolewa.
Jenereta ya kubebeka inazalisha umeme wa kutosha
kutumiwa na vifaa vya nje kwa kutumia kebo ndefu au
urejeshaji umeme mara ya kwanza wa muda nyumbani.
Kabla upoteze umeme nyumbani mwako, weka swichi ya
ubadilisha ya kuwasha mwenyewe. Swichi ya ubadilisha
ni kifaa tofauti kinachowekwa na fundi wa umeme
kinachoruhusu jenereta ya kubebeka kuunganishwa moja
kwa moja kwenye mfumo wako wa umeme nyumbani.
Kebo ndefu zinazounganishwa kwenye paneli ya udhibiti
ya jenereta ya kubebeka hazikusudiwi kuwa suluhisho la
kudumu wakati zinaunganishwa kwenye vifaa ndani ya
nyumba.
ILANI Ikiwa una maswali kuhusu matumizi
yaliyokusudiwa, muulize muuzaji au wasiliana na kituo
cha huduma kilichoidhinishwa. Kifaa hiki kimeundwa
kutumiwa na sehemu vilizoidhinishwa vya Briggs &
Stratton pekee.
Kila jitihada imefanywa ili kuhakikisha kwamba maelezo
katika mwongozo huu ni sahihi na ya sasa. Hata
hivyo, tunahifadhi haki ya kubadilisha, kurekebisha, au
vinginevyo kuboresha bidhaa hii na waraka huu wakati
wowote bila arifa ya mapema.
Msingi wa Mfumo
Jenereta hii ina msingi wa mfumo unaounganisha vijenzi
vya fremu ya jenereta kwa nyaya za ardhini kwenye plagi
za kutoa umeme za AC. Waya baki (neutral) ya jenereta
haijaunganishwa na chochote, ikimaanisha kwamba
mtatio wa rota ya AC umetengwa na kitango ardhini cha
plagi ya pini za AC za ardhini. Vifaa vya umeme, kama vile
RCD, vinavyohitaji waya baki (neutral) ya ardhi huenda
visifanye kazi vyema vinapotumia jenereta hii. Kuweka
waya ya ardhi (earth) hakuhitajiki unapotumia jenereta hii.
Mahitaji Maalum
Kunaweza kuwa na kanuni, sheria za ndani, au sheria
zinazohusu matumizi yaliyokusudiwa jenereta hii.
Tafadhali pata ushauri wa fundi umeme aliyehitimu,
mkaguzi wa umeme, au wakala wa ndani wenye
mamlaka.
Jenereta hii haijakusudiwa kutumika katika eneo la
ujenzi.
BRIGGSandSTRATTON.COM

Publicidad

Tabla de contenido
loading

Este manual también es adecuado para:

8500ea

Tabla de contenido