Briggs & Stratton Vanguard 290000 Manual Del Operario página 52

Ocultar thumbs Ver también para Vanguard 290000:
Tabla de contenido

Publicidad

Idiomas disponibles
  • ES

Idiomas disponibles

  • ESPAÑOL, página 15
Advanced Formula Fuel Treatment & Stabilizer, inayopatikana mahali popote ambapo
sehemu halisi za Briggs & Stratton zinauzwa.
Hakuna haja ya kumwaga petroli kutoka kwenye injini ikiwa kiimarishaji mafuta kimeongezwa
kulingana na maagizo. Endesha injini kwa dakika mbili (2) ili kueneza kiimarishaji kote
kwenye mfumo wa mafuta kabla ya kuhifadhi.
Ikiwa petroli ilio kwenye injini haijatibiwa kwa kiimarishaji mafuta, ni lazima imiminwe
kwenye kontena iliyoidhinishwa. Endesha injini hadi isimame kutokana na ukosefu wa
mafuta. Matumizi ya kiimarishaji mafuta kwenye kontena ya uhifadhi yanapendekezwa ili
kudumisha usafi.
Mafuta ya Injini
Wakati injini bado ina joto, badilisha mafuta ya injini. Tazama sehemu Kubadilisha Mafuta
ya Injini.
Utafutatuzi
Kwa usaidizi, wasiliana na mhudumu wa karibu au nenda kwenye VanguardEngines.com
au piga 1-800-999-9333 (Marekani).
Vipimo
Modeli: 290000, 300000
Umbali
Kuzalisha
Mpigo
Kiwango cha Mafuta
Nafasi ya Kuziba Cheche
Toku ya Kuziba Cheche
Nafasi ya Koili inayozunguka ya Hewa
Uingizaji wa Vali ya Kuingiza hewa
Vali ya kutolea moshi Kusafisha
Modeli: 350000
Umbali
Kuzalisha
Mpigo
Kiwango cha Mafuta
Nafasi ya Kuziba Cheche
Toku ya Kuziba Cheche
Nafasi ya Koili inayozunguka ya Hewa
Uingizaji wa Vali ya Kuingiza hewa
Vali ya kutolea moshi Kusafisha
Modeli: 380000
Umbali
Kuzalisha
Mpigo
Kiwango cha Mafuta
Nafasi ya Kuziba Cheche
Toku ya Kuziba Cheche
Nafasi ya Koili inayozunguka ya Hewa
Uingizaji wa Vali ya Kuingiza hewa
Vali ya kutolea moshi
Nguvu ya injini itapungua kwa 3.5% kwa kila futi 1,000 (mita 300) usawa wa bahari na 1%
kwa kila faranehaiti 10° (nyuzi 5.6° C) zaidi ya faranehaiti 77° (nyuzi 25° C). Injini itaendesha
kwa kuridhisha katika pembe ya hadi 15°. Rejelea mwongozo wa mhudumu wa kifaa cha
kwa viwango salama vinavyoruhusiwa kwenye mteremko.
52
29.23 ci (479 cc)
2.677 in (68 mm)
2.598 in (66 mm)
46 - 48 oz (1,36 - 1,42 L)
.030 in (,76 mm)
180 lb-in (20 Nm)
.008 - .012 in (,20 - ,30 mm)
.004 - .006 in (,10 - ,15 mm)
.004 - .006 in (,10 - ,15 mm)
34.78 ci (570 cc)
2.835 in (72 mm)
2.756 in (70 mm)
46 - 48 oz (1,36 - 1,42 L)
.030 in (,76 mm)
180 lb-in (20 Nm)
.008 - .012 in (,20 - ,30 mm)
.004 - .006 in (,10 - ,15 mm)
.004 - .006 in (,10 - ,15 mm)
38.26 ci (627 cc)
2.972 in (75,5 mm)
2.756 in (70 mm)
46 - 48 oz (1,36 - 1,42 L)
.030 in (,76 mm)
180 lb-in (20 Nm)
.008 - .012 in (,20 - ,30 mm)
.004 - .006 in (,10 - ,15 mm)
.004 - .006 in (,10 - ,15 mm)
Sehemu ya Huduma - Modeli: 290000, 300000, 350000,
Sehemu ya Huduma
Kichujio cha Hewa (isipokuwa Modeli 358700/380000
Kichujio cha Hewa (Modeli 358700, 380000)
Kichujio cha Hewa Kisafishaji awali (isipokuwa Modeli za
358700, 380000)
Kichujio cha Hewa Kisafishaji awali (Modeli za 358700, 380000)
Mafuta - SAE 30
Kichuja Hewa
Kichujio cha Fueli - tanki la fueli
Kichujio cha Fueli - pampu ya fueli
Kichujio cha Fueli - bila pampu ya fueli
Matibabu ya Fomula ya Fueli Yaliyoboreshwa Kiimarishaji
Kuziba Cheche ya Kifaa kisichopitisha nishati
Kuziba Cheche ya Platinamu ya Maisha Marefu
Kifaa kinachotumiwa kutega Kuziba Cheche
Kijaribio cha Cheche
Tunapendekeza kuwa umwone Mtoa Huduma yeyote wa Briggs & Stratton Aliyeidhinishwa
kwa udumishaji na huduma zote za injini na sehemu za injini .
Ukadiriaji wa Nishati: Ukadiriaji wa pato la nishati kwa kila modeli ya injini ya petroli
imewekwa alama kwa kuzingatia SAE (Jumuiya ya Wahandisi wa Magari) msimbo J1940
Nishati ya Injini Ndogo & Utaratibu wa Ukadiriaji wa Toku, na umekadiriwa kwa kuzingatia
SAE J1995. Thamani ya toku inafikia 2600 RPM kwa injini hizi kwa "rpm" iliyowekwa
kwenye lebo na 3060 RPM kwa vingine vote; thamani ya nishati ya chaja inafikia 3600
RPM. Vizingo vya mapato ya nishati vinaweza kutazamwa katika
www.BRIGGSandSTRATTON.COM. Thamani halisi ya nishati inachukuliwa kwa eneo la
injini la kutolea injini na kisafishaji wa injini iliyosakinishwa ambapo thamani ya mapato ya
injini yanakusanywa bila viambatisho hivi. Mapato halisi ya nishati ya injini yatakuwa juu
kuliko nishati ya injini na yanaathiriwa na, miongoni mwa mambo mengine, hali iliyoko ya
kuendesha na utofauti wa injini hadi nyingine. Kwa kuwa mpangilio mpana wa bidhaa
ambayo injini imewekwa, injini ya petroli inaweza kuwa na mapato ya nishati iliyokadiriwa
wakati inatumika katika kifaa fulani cha nishati. Tofauti hii inatokana na sababu mbalimbali
zikijumuisha, lakini zisizokithi kwa, vijenzi mbalimbali vua injini (kisafishaji cha hewa, eneo
la injini la kutolea moshi, pampu ya fueli n.k.), upungufu wa utekelezaji, hali zilizoko za
kuendesha (hali joto, unyevunyevu, mwinuko), na utofauti wa injini hadi injini. Kutokana
na upungufu wa utengenezaji na viwango, Briggs & Stratton inaweza kubadilisha injini na
nishati iliyokadiriwa juu kwa injini hii.
Udhamini
Hakikisho la Injini ya Briggs & Stratton
Kuanzia Januari 2018
Hakikisho lenye Kipimo
Briggs & Stratton inatoa hakikisho kwamba, wakati wa kipindi cha hakikisho kilichobainishwa
hapa chini, itafanyia ukarabati au kubadilisha, bila malipo, sehemu yoyote ambayo ina
matatizo katika nyenzo au ufanyakazi au yote mawili. Gharama za usafirishaji bidhaa
zilizowasilishwa ili kufanyiwa ukarabati au kubadilishwa chini ya hakikisho hili ni lazima
zigharimiwe na mnunuzi. Hakikisho hili linatumika na liko chini ya vipindi vya muda na
masharti yaliyoelezwa hapa chini. Ili kupata huduma ya hakikisho, tafuta Muuzaji Huduma
Aliyeidhinishwa aliye karibu zaidi nawe kwenye ramani yetu ya kutafuta wauzaji kwenye
BRIGGSandSTRATTON.COM. Ni lazima mnunuzi awasiliane na Muuzaji Huduma
Aliyeidhinishwa, na kisha apeleke bidhaa kwa Muuzaji Huduma huyo Aliyeidhinishwa ili
kufanyiwa ukaguzi na majaribio.
Hakuna hakikisho lingine la haraka. Hakikisho zilizoashiriwa, ikiwa ni pamoja na lile
wa uuzaji na uzima kwa ajili ya dhumuni fulani, zina kipimo cha kipindi cha hakikisho
kilichoorodheshwa hapa chini, au kwa kiasi kilichoruhusiwa na sheria. Dhima ya
uharibifu wa kimatukio au unaotokana na jambo jingine haijajumuishwa kwa kiasi
kinaruhusiwa na sheria. Baadhi ya majimbo au nchi haziruhusu vipindi vya hakikisho
lililoashiriwa kuwekewa vipimo, na baadhi ya majimbo au nchi haziruhusu kutojumuishwa
au kipimo cha uharibifu wa kimatukio au unaotokana na jambo jingine, kwa hivyo kipimo
na kutojumuishwa huku huenda hakukuhusu wewe. Hakikisho hili linakupa haki maalum
za kisheria na pia huenda ukawa una haki nyingine ambazo zinatofautiana kutoka jimbo
moja hadi jingine au nchi moja hadi nyingine
380000
Nambari ya Sehemu
394018
692519
272490
692520
100028
842921
808116
691035
298090
100117, 100120
491055
696202, 5066
19374
19368
4
.
VanguardEngines.com

Publicidad

Tabla de contenido
loading

Este manual también es adecuado para:

Vanguard 300000Vanguard 350000Vanguard 380000

Tabla de contenido