Vanguard 290000 Manual Del Usuario página 48

Ocultar thumbs Ver también para 290000:
Tabla de contenido

Publicidad

Idiomas disponibles
  • ES

Idiomas disponibles

  • ESPAÑOL, página 15
Usigongegonge gurudumu la kuongeza kasi ya injini kwa nyundo au kifaa kigumu
kwa sababu gurudumu la kuongeza kasi ya injini linaweza kuvunjika wakati wa
kuendesha.
Wakati wa kujaribu cheche:
Tumia kifaa kilichoidhinishwa cha kujaribu plagi ya spaki.
Usikague cheche na kiziba cheche imeondolewa.
Vipengele na Vidhibiti
Vidhibiti vya Mtambo
Linganisha mfano (Kielelezo: 1, 2, 3, 4) na injini yako ili kujifahamisha na eneo la vipengele
na vidhibiti mbalimbali.
A.
Nambari Tambulishi za Injini Modeli - Aina - Msimbo
B.
Kiziba Cheche
C.
Kisafishaji cha Hewa (bila Tanki la Mafuta)
D.
Kisafishaji cha Hewa (pamoja na Tanki la Mafuta)
E.
Kifaa cha Kupima mafuta
F.
Mjazo wa Hewa
G.
Kichujio cha Fueli (iwapo kipo)
H.
Kuziba ya Kumwaga Mafuta
I.
Sensa ya Kani ya Mafuta
J.
Kilinda Kidole
K.
Kianzishi cha Umeme
L.
Rudisha nyuma Kianzishi, (iwapo ipo)
M.
Kabureta - Modeli za Kabureta
N.
Mafla (iwapo ipo)
O.
Pampu ya Fueli
1
P.
Swichi ya Kianzishi
Q.
Kidhibiti cha Transfoma ndogo ya gari
R.
Kidhibiti cha Choki 1
S.
Kichujio cha Fueli (iwapo kipo)
T.
Tanki la Fueli (iwapo kipo)
1
U.
Kizima Fueli (iwapo kipo)
V.
Swichi ya Kusimamisha (iwapo ipo)
W.
Kipozaji cha Fueli (iwapo kipo)
X.
Moduli ya Pampu ya Fueli - Modeli za EFI
Y.
Moduli ya Kidhibiti cha Elektroniki - Modeli za EFI
Z.
Kitemaji Fueli - Modeli za EFI
1
Baadhi ya injini na vifaa vina vidhibiti vya mbali. Tazama mwongozo wa kifaa kwa
utambuzi na uendeshaji wa vidhibiti mbali.
Ishara za Kudhibiti Injini na Maana
Ishara
Maana
Kasi ya injini - HARAKA
Kasi ya injini - SIMAMA
Kuwasha injini - Choki
IMEFUNGWA
48
1
1
Ishara
Maana
Kasi ya injini - POLEPOLE
WASHA - ZIMA
Kuwasha injini - Choki
IMEFUNGULIWA
Ishara
Maana
Kifuniko cha Mafuta
Kizima fueli -
KILICHOFUNGULIWA
Kiwango cha mafuta - Upeo
Usijaze kupita kiasi
Oparesheni
Mapendekezo ya Mafuta
Kiwango cha Mafuta: Tazama Vipimo Maalum sehemu.
Notisi
Injini hii ililetwa kutoka Briggs & Stratton bila mafuta. Watengenezaji au wauzaji vifaa
huenda waliongeza mafuta kwenye injini. Kabla ya kuwasha injini kwa mara ya kwanza,
hakikisha umekagua kiwango cha mafuta na umeongeza mafuta kulingana na maagizo
kwenye mwongozo huu. Iwapo utawasha injini bila mafuta, itaharibika hadi kushindwa
kukarabatiwa na hutafidiwa chini ya udhamini huu.
Tunapendekeza matumizi ya mafuta Yaliyoidhinishwa na Udhamini wa Briggs & Stratton
kwa utendakazi bora. Mafuta mengine yaliyo na sabuni ya kiwango cha juu yanakubalika
iwapo yamebainishwa kwa huduma ya SF, SG, SH, SJ au ya juu zaidi. Usitumie vitegemezi
maalum.
Halijoto ya nje inatambua mnato sahihi wa mafuta wa injini. Tumia chati kuteua mnato
bora wa masafa ya halijoto ya nje inayotarajiwa. Injini katika vifaa vingi vya nje huendeshwa
vizuri na mafuta ya Kisinthetiki ya 5W-30. Kwa vifaa vinavyoendeshwa katika halijoto ,
mafuta ya Kisinthetiki ya Vanguard™ 15W-50 hutoa ulinzi bora zaidi.
A
SAE 30 - Chini ya 40 °F (4 °C) matumizi ya SAE 30 yatasababisha ugumu wa
kuwaka.
B
10W-30 - Juu ya 80 °F (27 °C) matumizi ya 10W-30 yanaweza kusababisha
uongezekaji wa matumizi ya mafuta. Angalia kiwango cha mafuta mara kwa mara.
C
5W-30
D
Sinthetiki 5W-30
E
Vanguard™ Synthetic 15W-50
Angalia Kiwango cha Mafuta
Tazama Kelelezo: 5
Kabla ya kuongeza au kuangalia mafuta
Hakikisha kuwa mtambo uko katika kiwango.
Safisha eneo la kujaza mafuta kutokana na uchafu wowote.
1.
Ondoa kifaa cha kuangalia kiwango cha mafuta (A, Kielelezo 5) na upanguse kwa
kitambaa safi.
2.
Sakinisha kifaa cha kupima kiwango cha mafuta (A, Kielelezo 5).
3.
Ondoa kifaa cha kupima mafuta na ukague kiwango cha mafuta. Kiwango sahihi cha
mafuta kiko juu ya kiashiria kilichojaa kwenye kifaa cha kuangalia kiwango cha mafuta
(B, Kielelezo 5) kwenye kifaa cha kuangalia kiwango cha mafuta.
Ishara
Maana
Kizima fueli -
KILICHOFUNGWA
VanguardEngines.com

Publicidad

Tabla de contenido
loading

Productos relacionados para Vanguard 290000

Este manual también es adecuado para:

300000350000380000

Tabla de contenido