Vanguard 290000 Manual Del Usuario página 53

Ocultar thumbs Ver también para 290000:
Tabla de contenido

Publicidad

Idiomas disponibles
  • ES

Idiomas disponibles

  • ESPAÑOL, página 15
Shughulikia Mfumo wa Kupoesha
Onyo
Injini inayoendesha inazalisha joto. Sehemu za injini, hususan mafla, huwa moto
zaidi.
Kuchomeka vikali kunaweza kusababishwa unapogusana nazo.
Uchafu unaoweza kuwaka, kama vile majani, nyasi, brashi, n.k., unaweza kushika
moto.
Ruhusu mafla, silinda na mapezi ya injini kupoa kabla ya kugusa.
Ondoa uchafu uliokusanyika kutoka kwenye eneo la mafla na eneo la silinda.
Notisi
Usitumie maji kusafisha injini. Maji yanaweza kuchafua mfumo wa fueli. Tumia
brashi au kitambaa kilichokauka kusafisha injini.
Hii ni injini inayopoeshwa na hewa. Uchafu unaweza kuzuia mtiririko wa hewa na
kusababisha injini kuchemka kupita kiasi, na kusababisha utendakazi mbaya na kupunguza
maisha ya injini.
1.
Tumia brashi au kitambaa kilichokauka kuondoa uchafu kutoka kwenye grili ya
kuingiza hewa.
2.
Weka uhusiano, springi na vidhibiti safi.
3.
Weka ene lililo karibu na nyuma ya mafla, iwapo ipo, huru kutokana na uchafu wowote
unaoweza kuwaka.
4.
Hakikisha mapezi ya kupoesha mafuta, iwapo yapo, yako huru kutokana na uchafu.
Baada ya kipindi cha muda, uchafu unaweza kukusanyika kwenye mapezi ya kupoesha
silinda na kusababisha injini kuwa moto kushinda kiasi. Uchafu huu hauwezi kuondolewa
bila kutokusanyika kwa kiasi fulani kwa injini. Ruhusu Mtoa Huduma wa Briggs & Stratton
Aliyeidhinishwa kukagua na kusafisha mfumo wa kupoesha hewa kama ilivyopendekezwa
kwenye Ratiba ya Udumishaji.
Hifadhi
Onyo
Mafuta na mvuke wake unaweza kuwaka moto na kulipuka kwa haraka sana.
Moto au mlipuko unaweza kusababisha majeraha mabaya kuchomeka au kifo.
Wakati wa Kuhifadhi Mafuta Au Kifaa Kilicho na Mafuta Kwenye Tangi
Hifadhi mbali na tanuu, stovu, hita za kuchemshia maji, au vitu vingine ambavyo vina
taa za moto au vyanzo vya mwako kwa sababu vinaweza kuwasha moto kwenye
mvuke wa mafuta.
Mfumo wa Mafuta
Tazama Kielelezo: 18
Hifadhi kiwango cha injini (mkao wa kawaida wa kuendesha). Jaza tangi la mafuta (A,
Kielelezo 18) kwa mafuta. Ili kuruhusu uvukizi wa mafuta, usijaze kupita chini ya shingo
ya tangi la mafuta (B).
Mafuta yanaweza kuharibika yakihifadhiwa kwa zaidi ya siku 30. Mafuta yaliyoharibika
yanasababisha mabaki ya asidi na gundi kukusanyika katika mfumo wa mafuta au kwenye
sehemu muhimu za kabureta. Ili kuhifadhi usafi wa mafuta , tumia Briggs & Stratton
Advanced Formula Fuel Treatment & Stabilizer, inayopatikana mahali popote ambapo
sehemu halisi za Briggs & Stratton zinauzwa.
Hakuna haja ya kumwaga petroli kutoka kwenye injini ikiwa kiimarishaji mafuta kimeongezwa
kulingana na maagizo. Endesha injini kwa dakika mbili (2) ili kueneza kiimarishaji kote
kwenye mfumo wa mafuta kabla ya kuhifadhi.
Ikiwa petroli ilio kwenye injini haijatibiwa kwa kiimarishaji mafuta, ni lazima imiminwe
kwenye kontena iliyoidhinishwa. Endesha injini hadi isimame kutokana na ukosefu wa
mafuta. Matumizi ya kiimarishaji mafuta kwenye kontena ya uhifadhi yanapendekezwa ili
kudumisha usafi.
Mafuta ya Injini
Wakati injini bado ina joto, badilisha mafuta ya injini. Tazama sehemu Kubadilisha Mafuta
ya Injini.
Utafutatuzi
Kwa usaidizi, wasiliana na mhudumu wa karibu au nenda kwenye VanguardEngines.com
au piga 1-800-999-9333 (Marekani).
Vipimo
Modeli: 290000, 300000
Umbali
Kuzalisha
Mpigo
Kiwango cha Mafuta
Nafasi ya Kuziba Cheche
Toku ya Kuziba Cheche
Pengo la Hewa la Armature - Modeli za
Kabureta
Uingizaji wa Vali ya Kuingiza hewa
Uondoaji wa Vali ya Eneo la Kutolea moshi
Modeli: 350000
Umbali
Kuzalisha
Mpigo
Kiwango cha Mafuta
Nafasi ya Kuziba Cheche
Toku ya Kuziba Cheche
Pengo la Hewa la Armature - Modeli za
Kabureta
Uingizaji wa Vali ya Kuingiza hewa
Uondoaji wa Vali ya Eneo la Kutolea moshi
Modeli: 380000
Umbali
Kuzalisha
Mpigo
Kiwango cha Mafuta
Nafasi ya Kuziba Cheche
Toku ya Kuziba Cheche
Pengo la Hewa la Armature - Modeli za
Kabureta
Uingizaji wa Vali ya Kuingiza hewa
Uondoaji wa Vali ya Eneo la Kutolea moshi
Nguvu ya injini utapungua kwa 3.5% kwa kila futi 1,000 (mita 300) juu ya mwinuko wa
bahari na 1% kwa kila 10° F (5.6° C) juu ya 77° F (25° C). Injini itaendesha kwa kuridhisha
katika pembe ya hadi 15°. Rejelea mwongozo wa mhudumu wa kifaa kwa viwango salama
vinavyoruhusiwa kwenye mteremko.
Sehemu ya Huduma - Modeli: 290000, 300000, 350000,
Sehemu ya Huduma
Kichujio cha Hewa (chenye fueli tanki, Kiolezo 16)
Kichujio cha Hewa (isipokuwa Modeli 380000, Kiolezo 15)
Kichujio cha Hewa (Modeli 380000, Kielezo 15)
Kichujio cha Hewa Kisafishaji cha awali (chenye tanki ya fueli,
Kiolezo 16)
Kichujio cha Hewa Kisafishaji cha awali (isipokuwa Modeli
380000, Kiolezo 15)
Kichujio cha Hewa Kisafishaji cha awali (Modeli 380000,
Kiolezo 15)
Mafuta - SAE 30
Kichuja Mafuta
Kichujio cha Fueli (tanki la fueli)
Kichujio cha Fueli (pampu ya fueli)
29.23 ci (479 cc)
2.677 in (68 mm)
2.598 in (66 mm)
46 - 48 oz (1,36 - 1,42 L)
.030 in (,76 mm)
180 lb-in (20 Nm)
.008 - .012 in (,20 - ,30 mm)
.004 - .006 in (,10 - ,15 mm)
.004 - .006 in (,10 - ,15 mm)
34.78 ci (570 cc)
2.835 in (72 mm)
2.756 in (70 mm)
46 - 48 oz (1,36 - 1,42 L)
.030 in (,76 mm)
180 lb-in (20 Nm)
.008 - .012 in (,20 - ,30 mm)
.004 - .006 in (,10 - ,15 mm)
.004 - .006 in (,10 - ,15 mm)
38.26 ci (627 cc)
2.972 in (75,5 mm)
2.756 in (70 mm)
46 - 48 oz (1,36 - 1,42 L)
.030 in (,76 mm)
180 lb-in (20 Nm)
.008 - .012 in (,20 - ,30 mm)
.004 - .006 in (,10 - ,15 mm)
.004 - .006 in (,10 - ,15 mm)
380000
Nambari ya Sehemu
383857
394018
692519
271794
272490
692520
100028
842921
808116
845125
53

Publicidad

Tabla de contenido
loading

Productos relacionados para Vanguard 290000

Este manual también es adecuado para:

300000350000380000

Tabla de contenido