Briggs & Stratton Victa 46 23HP Manual Del Operador página 102

Tabla de contenido

Publicidad

Idiomas disponibles
  • ES

Idiomas disponibles

  • ESPAÑOL, página 22
TATIZO
KAGUA
Ekzosi ya injini ni nyeusi.
Chujio la hewa ni chafu.
Kidhibiti cha choki cha
injini kipo katika eneo la
kuonyesha imefungwa.
Injini inafanyakazi, lakini
Klachi na gea
kifaa hakiendi.
vimeondolewa.
Mkanda wa kuendeshea
Kapi au mkanda una au
kifaa unateleza.
oili.
Kifaa kinaenda au kwa
Unganisho la uendeshaji
njia isivyofaa.
limelegea.
Kwa masuala mengine yote, mtembelee muuzaji aliyeidhinishwa.
Kutatua Matatizo ya Mashine ya Kukatia
Nyasi
TATIZO
KAGUA
Mashine ya kukatia nyasi
Deki ya mashine ya
haiinuki.
kukatia nyasi haijafungwa
vizuri.
Ukataji wa mashine ya
Mashine ya kukatia nyasi
kukatia nyasi sio sawa.
haijasawazishwa vizuri.
Matairi ya kifaa
hayakuwekwa pumzi kwa
usawa au vizuri.
Ukataji wa mashine ya
Kasi ya injini iko chini
kukatia nyasi
sana.
unaonekana sio laini.
Kasi ya ardhini iko juu
sana.
Injini inachelewa kwa
Kasi ya injini iko chini
urahisi wakati mashine
sana.
ya kukatia nyasi
imewashwa.
Kasi ya ardhini iko juu
sana.
Urefu wa kukata uko
chini sana.
Ondoa njia zilizozibwa na
majani yaliyokatwa.
Vipimo vya Umeme
Kipimo kamili cha umeme kwa miundo ya injini za petroli kimewekwa kulingana na SAE (Jamii ya Wahandisi wa Magari) msimbo
J1940 Utaratibu wa Kipimo cha Umeme & Mkufu wa Injini Ndogo na umepimwa kulingana na SAE J1995. Viwango vya mkufu
vinafikia 2600 RPM kwa injini zenye "rpm" iliyowekwa kwenye lebo na 3060 RPM kwa injini zingine zote; viwango vya nguvu ya
injini vinafikia 3600 RPM. Vizingo vya umeme kamili vinaweza kutazamwa katika www.BRIGGSandSTRATTON.COM. Viwango
jumla vya umeme vinachukuliwa ekzosi na kisafishaji hewa vimewekwa ilhali viwango vya umeme jumla vinachukuliwa bila
vipengee hivi kuwekwa. Nguvu kamili halisi ya injini itakuwa juu zaidi kuliko nishati ya injini na yanaathiriwa na, miongoni mwa
mambo mengine, hali iliyoko ya kuendesha na utofauti wa injini hadi nyingine. Kukiwa na bidhaa nyingi ambazo zimewekwa
injini, injini ya petroli huenda ikakosa kufikia kadirio la nguvu kamili inapotumiwa katika kifaa cha umeme. Tofauti hii inatokana
na vipengele mbalimbali zikijumuisha, lakini sio tu, vijenzi mbalimbali vya injini (kisafishaji cha hewa, ekzosi, kuchaji, upunguzaji
halijoto, kabureta, pampu ya mafuta, n.k), vipimo vya matumizi, hali zilizoko za kuendesha (halijoto, unyevunyevu, mwinuko), na
utofauti kati ya injini moja hadi injini nyingine. Kutokana na vipimo vya utengenezaji na uwezo, Briggs & Stratton wanaweza
kuibadilisha injini hii na injini iliyo na nguvu nyingi zaidi.
102
SULUHU
TATIZO
Badilisha chujio la hewa.
Mtetemeko zaidi wa
mashine ya kukatia
Fungua kidhibiti cha
nyasi.
choki (ikiwa kipo).
Kwa masuala mengine yote, mtembelee muuzaji aliyeidhinishwa.
Fungua wenzo za
Maelezo
kuruhusu mzunguko.
Safisha inavyohitajika.
INJINI
Kagua na ukaze
Briggs & Stratton
miunganisho yoyote
iliyolegea.
Intek™ Series
Unyonyaji Mafuta
Professional Series™
Unyonyaji Mafuta
Injini Zote
Kiwango cha Oili
SULUHU
Pengo la Plagi ya Spaki
Tazama Uondoaji Na
Mkufu wa Plagi ya Spaki
Ufungaji Mashine ya
Kukatia Nyasi .
CHESISI
Tazama sehemu ya
Usawazishaji Deki ya
Ukubwa wa Tangi la Mafuta
Mashine ya Kukatia
Pumzi za Kuvimbisha
Nyasi .
- Magurudumu ya Mbele
Tazama sehemu ya
Udumishaji .
- Magurudumu ya Nyuma
UBADILISHAJI GIA
Weka kidhibiti cha kasi
ya injini kuwa HARAKA
Aina
(FAST).
Punguza kasi ya ardhini.
MASHINE YA KUKATIA NYASI
Weka kidhibiti cha kasi
ya injini kuwa HARAKA
Upana wa Kukata
(FAST).
Punguza kasi ya ardhini.
Kata majani marefu kwa
urefu wa juu kabisa
wakati wa pitio la
Urefu wa Kukata
kwanza.
Majani yaliyokatwa
yanaelekezwa kwenye
eneo lililokatwa
mwanzoni.
KAGUA
SULUHU
Sehemu ya kushikilia
Kaza hadi 50-60 ft-lbs
visu imelegea.
(68-81 Nm).
44.18 cu in. (724 cc)
44.18 cu in. (724 cc)
64 oz (1,9 L)
0.030 in. (0,76 mm)
180 in-lbs (20 Nm)
3 gal (11,4 L)
22 psi (1,52 bar)
12 psi (0,83 bar)
Hydro-Gear® EZT®
Hydro-Gear® ZT-2800®
42" (107 cm)
44" (112 cm)
46" (117 cm)
48" (122 cm)
52" (132 cm)
1.5" - 3.75" (3,8 - 9,5 cm)
1.5" - 4.5" (3,8 - 11,7 cm)

Publicidad

Tabla de contenido
loading

Tabla de contenido